Habari zenu wana jf,mi mgen humu ndani,nilikuwa naomba msaada wenu wa kimawazo kuhusu hili.
Kaka yangu alimpenda msichana mmoja.mara za mwanzo mwanzo msichana alikuwa hampendi,ikafika sehemu...
Ndugu zangu naomba usauri wenu ,,, nini ni mwanafunzi wa chuo.nilikuwa na nchumba wangu wa kidato cha 6,,alikuwa akinidharau sana,matusi sana,na alikuwa hakiniwekea masharti wakati wa kula...
Kwaniini wasomi wengi wanaume particularly Tanzania are too boast-ful kwa wake zao ambao hawakubahatika kufuta ujinga??
Why too braggy about your Masters/Ph.D. e.t.c. ? Na ikumbukwe kuwa ni wao...
aaaaaghrr!! niko na ka hangover ka jana, nimejipumzisha nikiwaza na kuwazua jinsi ya kureplace pesa niliyotumia jana bila mpangilio maalumu, mlangoni ngo ngo ngo, nauliza nani, naitwa jina...
Nimechoka na vituko vyake,ananijbu dharau,anapokea simu akijsikia,txts hazijibiwi kwa wakati na mambo mengne mengi ya mauzi ambayo nikiyaandka hapa mnaweza kunihurumia,eti sababu ya yote haya ni...
Eti, hivi ni kweli kwamba kumpatia binti yako "pocket money", let's say Tshs. 200/- (Tshs. Two hundred Only) kila aombapo pindi aondokapo asubuhi kwenda shule ni kumfundisha mtoto tabia mbaya...
Luka 16:1 8 "Kila amwachaye mkewe na kumuoa mke mwingine azini naye amwoaye yeye aliyeachwa na mumewe azini." Wapendwa katika Bwana, nawasalimu wote katika Jina la Yesu Kristo Mwokozi wetu...
Kama ambavyo wengi tunatambua kuwa
sehemu kubwa (asilimia 99.5) ya kufurahia
ngono ni Mapenzi ya kweli juu ya mpenzi
wako ikisaidiwa na utundu wako wewe
mwenyewe manamke na sio mwanaume...
Wanajf habari zenu?mimi na mpenzi wangu na nampenda sana.Tatizo lililojitokeza hivi karibuni ni kwamba kila siku lazima nimuanze mimi kumsalimia,na mimi huwa naona kawaida si mpenzi wangu?na...
Kesi ya wanaume kupungukiwa nguvu za kiume zimezidi kushika kasi, kiasi cha kufanya dawa za kuongeza nguvu hizo kuwa maarufu na zenye mahitaji makubwa katika jamii.
Waganga wa kienyeji...
In a continent where half the men do not know their daughters birthday, their wedding anniversary or the menstrual cycles of their wives, there is a reason these men are the way they are.
It is...
Leo ofisini kwangu nimeshuhudia tukio la kushangaza..Katibu muhtasi wangu[P/S] alimkimbia mgeni wake na kwenda kujificha.Mgeni baada ya kuona hapewi ushirikiano aliamua kuaga na kuondoka.
Cha...
A new study finds that not only do men often say "I love you" first in relationships, they're often happier than women when they hear the three little words said to them.
The bigger happiness...
Hi, wana jamii,
Ndo kwaaaaaanza natokea kwa mara ya kwanza na mada yangu hii, ivi ebu vuta hisia siku ambayo unahisi kukutana na msichana au mvulana katika mazingira flani ya sherehe au...
Jana katika pitapita nikakutana na jamaa amekaa na binti mmoja sehemu ninapopata kinywaji
jamaa alipoenda toilet nikaomba namba kutoka kwa yule binti na mistari miwili ya kiutani
baada ya...
Nimemvalisha mchumba wangu pete ya gharama last week nimemfumania na jana usiku ameolewa na huyo jamaa nilomkuta nae.
Inauma sana nafikiria nijiue au niende mbaya ya tanzania.coz anajulikana...
Hello everyone, what vital factors are you supposed to consider as you prepare to meet a blind date, that gonna happen tommorrow. what do you think?
Please help me?
1. USIWEKE PASSWORD KWENYE SIMU KWA KUMWOGOPA MWENZA AU MCHUMBA WAKO
2. USINDANGANYE UMRI ILI KUKUBALIWA
3. USIWE NA NYUMBA NDOGO
4. USIDANGANYE KUWA BIKRA WAKATI HUNA
5. USIFANYE MAPENZI KABLA YA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.