1 - First Important Lesson - Cleaning Lady. During my second month of college, our professor
Gave us a pop quiz. I was a conscientious student
And had breezed through the questions until I read...
Kuna wengine kazi wanasema ni muhimu sana, kuna wengine wanasema familia ni muhimu sana, la mwisho vyote(familia &kazi) ni muhimu. Sasa kama mtu ambaye ameweka kazi kipaumbele zaidi kuliko familia...
Takribani miaka mitatu sasa nimekuwa msomaji mzuri sana wa hili jukwaa (MMU) na baada ya kupitia "threads" takribani 500 nimeona kuna kitu kimoja kinachofanana sana katika hizi "threads"... Nyingi...
Kila mara wanaume tunapojadili masuala ta ndoa na matatizo yake..
ni kawaida mno kwa wanaume kutaja TALAKA kama moja ya suluhisho
kwa wanaume kumshauri mwenzio 'kutoa talaka' akiona hakuna namna...
Habari za asubuhi wadau,napenda kuwajulisha kuwa Baba yetu Mzee Mtambuzi amepata ajali asubuhi ya saa kumi na mbili leo ya kugongwa na gari daladala T.837 AUK na wakati akivuka barabara maeneo ya...
Mimi ni mvulana nina miaka 27. Kwa umri huu nilionao nimisha lamba wasichana sita hadi sasa,cha ajabu kati ya hao hakuna alienitongoza hata mmoja ilikuwa ni kiherehere changu changu ndo maaana...
Jamani naomba tufahamishane labda mimi huwa nafanya makosa. Hivi kati ya mwanamke na mwanaume walioko ndani ya ndoa ni nani anayepaswa kumwambia mwenzake kuwa nahitaji kufanya tendo la ndoa...
Wana JF Rafiki yangu mpenzi amekwama, ana huzuni kubwa sana ya yaliyompata. Naomba ushauri wenu. Sitaweza kueleza kila kitu. lakini ni long story.
Kifupi. Ana jamaa ambaye ni mume wa mtu...
mpenz wako anatakiwa akufanyie nn ili ujue kweli anakupenda sana na kila neno analosema juu yako kweli lamtoka moyoni.......msinishushue naitaji tu kujua ..natanguliza shukurani zangu za dhati...
Watu wengi tumewaona kwenye ndoa wakiishi katika hali tofauti za maisha, wako wenye fedha na wasionazo, wako wenye furaha na wasio na wasionao. Yote hii huweza kuchangiwa na sababu nyingi ikiwemo...
Kwanza anza kujipenda wewe mwenyewe. Kama wewe mwenyewe hujipendi, usitegemee kuwa wengine watakupenda. Ukimudu kujipenda, utamudu kumpenda kila mtu na suala la kuolewa na nani, linakuwa halina...
Jamani naingia kwenye hili jamvi nikiwa na masikitiko makubwa.mwenzenu nina tatizo ktk mahusiano yangu ya kimapenzi,mwenzenu nina tatizo la kuachwa na wanawake kisa kwamba sijatoa go**i na kwenda...
Mbarikiwe wote Wana JF! Leo nakuja kwenu kuomba ushauri, natumaini kwa kutumia uzoefu,ujuzi na Upendo mtanipa suruhisho! Nimienzi kama mitatu hivi tulitofautiana na msichana niliyetegemea...
Ni galfrd wangu wa muda mrefu,alikua na kawaida ya kunipgia simu zaidi ya mara 3 kwa siku,siku za hvi karibuni ameanzsha tabia ya kun2mia txts mbili kwa cku,moja asubuh ya kunisabah na nyngne...
Kuna kasheshe hapa kijijini ambapo mwalimu wa kike miaka 26 anadaiwa kutoka na mwanafunzi wake wa miaka 15. Mjadala mkubwa uliokuwepo unahusiana kosa ni la nani?
Kuna watu wanasema kuwa hivi...
Wana JF...
Nimejaribu kufanya tafiti kidogo kwenye jambo hili kupitia kwa jamaa zangu wa karibu..
Katika tafiti zangu sehemu kubwa za nyumba zetu nimeona kina mama ndio wenye sauti kubwa ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.