Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

One knowz dat 2 luz de one u love z 2 luz ur future, happynes n so on.. why one aact rude towardz me' asinishow dat ananipenda' afiche dat m special in her heart' astake nijue kua she cnt live...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
yani ilikua ajari mbaya sana nikajikuta nimeoa mke,ambaye muda mfupi bdae nikagundua hanifai,nakiri nilikurupuka,simmaind *ila yy hajui na sitaki agundue mapema,ananipenda ila me no! so nataka...
0 Reactions
59 Replies
8K Views
Salam MMU membaz miss u big T. Naanza na mkasa unaonishangaza ! Huyu jamaa ,Kabla hajaoa alienda kijijini kwao na kuleta binti mrembo akiwa ni mfanyakazi wake wa ndani Amekaa nae muda mrefu huku...
6 Reactions
52 Replies
4K Views
Wakati fulani tulikuwa tunajadiliana mambo mbali mbali, lilipokuja suala la mapenzi na jinsia, nikaibua swali ambalo lilibadili kabisa upepo mahali pale, nalo lilikuwa ni: Hivi itakuwaje ikitokea...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Nimezidiwa na penzi la punda - adai Mzimbabwe! HARARE, Oct 26 - Mkazi mmoja wa mji wa Zvishavane, takribani maili 185 kusini mwa Harare anatuhumiwa kumlawiti/kufanya ngono na punda. Lakini kwa...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Utakuta mwanamme ana mke na watoto,hao watoto mkeo ni mama yao wa kambo, na huyo mke anawanyanyasa kishenz hao watoto,lakni wanaume tunauchuna kama hatuoni vile.hadi hao watt wanapata madhara...
6 Reactions
41 Replies
4K Views
Mungu awabariki nyote mpendanao
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Yapata zaidi ya wiki sasa nimekuwa naonekana kwa machale hapa jukwaani, Hii imekuwa ikitokana na sababu mbalimbali zilizokuwa nje ya uwezo wangu jamani, Mwanzoni ka kompyuta kangu kaligoma...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
huu wimbo cjui umetoka lini..ila nimeusikia jana usiku wapi pedesheee Rejao a.k.a handsome boi... wapi papaa Mwita25 muzee wa kiingereza wapi mama Faiza Foxy ... wapi mopao...MTM mutoto wa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
wanaume zaidi ya wawili wanao mng'ang'ania demu mmoja vs wanawake zaidi ya mmoja wanao mng'ang'ania mwanaumme mmoja. Usiku mwema.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mmmh, Habarini za asubuhi waungwana, poleni na misukosuko na gwaride la maisha.................. Unajua tena bongo, vijimaneno huwa haviishi, kama kawaida vinaibuka na kupotea kwenye jamii...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Type of Men/Husbands And Their Characters 1. BACHELOR HUSBAND These are men who: Love to do things on their own without consulting their wives Love to hang a lot with their friends...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Kuna house girl nilikua naye kwa mwaka 1 ss yy ni mzaliwa wa Tanga, dada huyu nimeish naye vzr sn na alikua anamlea mwanangu wa miaka 4 vizuri sn, lkn kwa kipindi choche nilichoish naye mwanangu...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
You can measure your commitment to your marriage by your willingness to unconditionally love and forgive your spouse. You can measure their commitment to you by the same. Are you EQUALLY...
3 Reactions
6 Replies
842 Views
Mama kaweka mtego wa kumkamata muharibifu wa mwanae kakutana na pedeshee moja lenye mihela likamnunua na yeye na sasa kamnyang'anya kabisa utamu mwanae....hii ndo bongo bana
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwanin wanawake hawaridhiki kuwa na mwanaume mmoja? Au ndio msemo wa figa moja haliivishi chakula unaukweli uliojificha?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Namshukuru sana Mungu kwa uamuzi wa busara wa kunipendelea na kuniumba mwanaume. Kwakweli utamu wa kitumbua unazidi raha zote duniani. Hivi kuna kitu kizuri kama kitumbua duniani? Lakini najiuliza...
0 Reactions
83 Replies
13K Views
Nilikuwa napitia makabrasha hapa nikavutwa na maneno haya "............As the records show that the Black man is dying to go to bed with the White woman..........." Botha's Speech -1985 - Racism...
1 Reactions
57 Replies
4K Views
Utafiti uliofanywa huko Italia umeonyesha kuwa kutembelea website za pono kuna madhara yake soma hii link: POPOTE TZ
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wewe na mkeo mlikutana wapi? Sisi tulikutana kwenye daladala
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Back
Top Bottom