Unapomchukia adui yako, haisaidii, sana sana unampa nguvu dhidi yako, dhidi ya usingizi wako, dhidi ya hamu yako ya kula, dhidi ya msukumo wako wa damu, dhidi ya afya yako, na dhidi ya furaha...
Kiukweli wadau wote wa hapa kijiwe cha mmu nyie ni rafiki zangu na ninawapenda sana,nimeona si vibaya nikatoa upendeleo juu ya hili swala kwenu
kwa wale wanaotafuta kazi
kama una bachelor or adv...
Soma huu wimbo na kama yamekukuta haya,unaweza ukatoa chozi,na hapo kwenye red...dah!
"Someone Like You" by Adele
I heard that you settled down
That you found a girl and you're married now.
I...
Hapa nimetulia kwenye computer lab ya shule moja nimeenda kudowea net sasa wakati nikiwa naendelea
wanafunzi wako bizy na hii mitandao .sasa sijui kama kweli watakua wanasoma au ndio hii mitandao...
When I got home that night as my wife served dinner, I held her hand and said, I've got something to tell you. She sat down and ate quietly. Again I observed the hurt in her eyes. Suddenly I...
Hiyo siyo kauli yangu mimi Mtambuzi, bali ni kauli ambayo inawezekana hata wewe umewahi kuisikia au kuitoa pale unaposikia au kupata tetesi kuwa kuna mtu anatembea na mkeo au mpenzi wako. Mimi...
MKAZI wa jijini Mwanza, Thomas Jilala (22), anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma kwa tuhuma za kumuua anayedaiwa kuwa mpenzi wake, Levina Kiwili (26), mkazi wa Mfaranyaki katika Manispaa...
habar zunyu baana. Dunia imefikia kubaya! Kuna dada mmoja rafk yangu huwa tunaongea mambo mbali2. Jana kaniita akiomba ushaur akiwa hajui la kufanya. Dada ni mdogo ndo amemaliza f4 mwaka huu...
We are all good and always happy with our married lives, but in that room there are many things nobody know... some people snore, talk in their sleep, good manners, bad manners etc
i will start...
Kwa Miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana kukupenda kutunzwa na kulelewa na mimama badala ya kuchapa kazi kwa mikono yao na kujiongezea kipato. Binafsi nina orodha ya majina...
naomba ni-share na wanajamvi hiki kisa kinachonitesa kwa saa...
Hapo zamani za mwaka 1987 nikiwa nimemaliza fom 4 alitokea kijana mmoja akaniambia ananipenda, let me call him mr. X, wakati huo na...
Mara kwa mara wanaume tumekua tukilaumiwa na wanawake kuwa ni chanzo cha vurugu ktk mapenzi na hata ndoa pia.
Kwa upande mwingine,wanaume tumekua tukiwashutumu wanawake kuwa ndo waanzilishi wa...
Baada ya ku sort issue na Y na kumueleza ukweli kuhusu X,ilimuuma sana na baadaye akaahidi kunisamehe,as days goes on nikaona sijitendei haki ya kuwa na Multiple relations,nikaaamua kuwa muwazi...
What are the qualities that, in your view lie behind the success of your husband, wife or fiancee in life be it in business or relationship??
1.LOVE
2.CARING
3.UNDERSTANDING
4.SUPPORT...
Imetokea huku kijijini kwetu Pugu-Majohe.
Mkaka kakatwa vidole vyote vya mkono kwa kula mke ya mtu, mume kakuta sms imeandikwa 'bebi tukutane Kisarawe' na kila siku alikuwa anashuku mawasiliano...
Yaani asikuambie mtu,mapenzi ni kitu kingine kabisa.iwapo tuliachana naye kwa maneno makali na kujiapiza hamna anayemuhitaji mwenzake lakini kila nikiskia huu wimbo wa "chukua yote yako" huwa...
Kinababa hufurahi sana wakisikia kuwa wamefanana na baba zao, hali kadhalika nasi kina mama hufurahia kusikia watoto wetu wamefanana na Baba zao.
Hii inatujengea imani kwa wanao tuzunguka kuwa...
Wana JF,
nimegundua threads nyingi members wanaleta zinahusu matatizo na namna matatizo hayo yanasababisha matokeo katika maisha yao (au jamii, au taifa, ulimwengu etc), zaidi matokeo mabaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.