Habari zenu wana jamii?
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 20,nina boyfriend ambaye tulitokea kupendana sn. Ktk mahusianö ye2 ikatokea kuwa nimepata ujauzito kwa bahati mbaya.
Kiukweli cjawah...
Yani kila nikipiga simu kuongea na na wangu wa moyon, Bibi yake Mzaa Mama lazima atataka kunisalimia,akipewa Line tu ataanza na Ma Kiss ya ajabu anbayo hata wifi/shemej yenu anakiri hajafikia...
Ilikuwa ni mwaka 1987, wakati huo nilikuwa naishi na kaka yangu mkubwa maeneo ya Kinondoni Msufini. Basi siku moja asubuhi tukapata mgeni na hakuwa mwingine bali ni mjomba wetu ambaye alikuwa ni...
Jamani leo nimemkumbuka Daudi Kabaka, enzi hizo ndio nilikuwa namchumbia mama Ngina wangu………………..
Hebu sikiliza huu wimbo...
Wanawake waliosoma wengi hushindwa kuolewa na hawajui mapenzi ukilinganisha na wanawake ambao hawajasoma sana (Uwongo).
(Ukweli) Utafiti wa karibuni unaonesha kwamba wanawake waliosoma sasa wana...
Najua siku za karibuni mada ya wasaidizi wa nyumbani zimekua nyingi,lakini swali hili litaweza kujaribu kuona namna wanandoa wanavyotazamaHebu fikiri umeolewa,wewe ni muajiriwa pamoja na mumeo nae...
Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.
Msiwe na tabia ya kupenda fedha; mwe radhi na vitu mlivyonavyo
I'm a teenage boy(11-19)
chukulia kwamba we ni mazazi wangu,umepata ushahidi kwa kadi au barua au msg kwenye simu yangu kwamba nina demui.
We kama mzaz wangu tanikataza nisiwe na demu,au...
Wanaume sometimes tunakuwa wabishi na tunashikiria mambo fulani ambayo hata hayana maana. Tuna poteza vionjo kidogo kidogo na siku tunajikuta kwenye ndoa zenye zero gravity bila hata wenyewe...
Can we go to the days our
love was strong
can you tell me how a perfect love goes wrong
can somebody tell how to get things back
the way they use to be
oh God give me a reason
i'm down on...
habari zeni Great thinkers, Naanza kama ifuatavyo, Kitambo niliwahi kuomba msaada kupitia Jamvi hili kuhusu Mchumba wangu.
Mimi ni kijana wa Kiume Nilieko Ughaibuni na nilimchumbia Msichana mmoja...
Kumekuwa na wimbi kubwa la wanaume kuamua kwenda kinyume na maumbile na kundi hili sasa
aliangalii kama ni wakurugenzi ma engineer yaani imeenda beyond limit..
sasa basi tumekuwa ama tumeona...
... kuna mwanamke mmoja nilikua naongea nae tena ye ni mke wa mtu (ni kawaida yangu kuwa na mazoea na wake za watu japo kwa nia njema)...and katika stori stori za hapa na pale nikamwambia, 'me i...
Sijui ni kukosa utu, kujali, au kukosa maadili! Inakuwaje watuwengine wanaishi maghorofani ni kana kwamba hawajali wanaoishi chini. Kwani ni lazima iwe ugomvi. Maana angalau nyumba zinazopakana...
JUzi tu nilimfumania live demu mmoja aliyekua demu wangu wa karibu yaani my soulmate
inaniuma ila sijui ni solve vipi
tulikua tunapita kwenye uchochoro fulanai mitaa ya uswahilini mererani...
Binti kaniacha njia panda,nilipomseduce aliniambia ana mchumba,nilipoendelea kumapproach anasema atanifikiria nimpe wiki moja . I m stuck kama ana mchumba ananifikiria ili iweje ? Au ndo danganya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.