WANAUME WENGI NI WAOGA MBELE YA WANAWAKE WALIOSOMA AU WENYE PESA.
UTAKUTA SABABU NYINGI ZINALETWA ETI HOO WALIOSOMA NA WENYE PESA HAWAPENDEKI ETC LAKINI UKIFATILIA CHANZO NI WOGA.
NAFIKIRI BABU...
1. Touch her waist.
2. Actually talk to her.
3. Share secrets with her.
... ...4. Give her your jacket.
5. Kiss her slowly.
Are you remembering this?
6. Hug her.
7. Hold her.
8. Laugh with her...
Jamani mwenzenu niko njia panda kuna msichana ananipenda sana na amenitamkia waziwazi sasa kwa upande wangu mimi simpendi na kumwambia namuonea huruma na sijawahikuchakachua nae,ila kuna msichana...
Jamani naomba kuuliza ndg zangu wana jf, ni dalili zipi ambazo anakuwa nazo mwanamke anayetumia vidonge au sindano za uzazi wa mpango? Na dalili hizi(kama zipo) huanza kujitokeza baada ya mda...
Jamani naomba kuuliza mwenye ufahamu wa kutosha juu ya suala hili, mimi nina muda kama wa miaka minne sijatongoza binti yeyote sasa juzi nilikutana na nikampenda binti mmoja na nikaamua kumtongoza...
I have looked in the mirror every morning and asked myself, If today were the last day of my life, would I want to do what I am about to do today? And whenever the answer has been No for too...
Mkilazimishwa kuingia ndani mnatamani dunia ipasuke. Acheni futibol kama kucheza ndani hamtaki.
Mgongano wa mawazo.
1.labda ndani nyasi nyingi kunateleza
2.kwa sababu wanawake hamtaki kuolewa...
Darling, I feel shocked with this silent situation, like I have upset you. Don't hold to tell the truth because it pains me when you are hurt. Please dear let me know!
Kabla ya ndoa, wanandoa huwa na ndoto tamutamu ambazo sio halisi kuhusu ndoa. Kwa kuwa tuna hizi ndoto tamu, tunapokuja kuingia kwenye ndoa na kugundua kwamba tulichofikiria hakipo, ndipo...
Imepungua kwa Albino sasa imehamia kwa wanaume!!
"Uchawi mpya umeibuka nchini Zimbabwe ambapo mbegu za uzazi za wanaume zimekuwa dili kiasi cha kundi la wanawake kuwabaka wanaume na kisha kuiba...
wakuu tushirikishane katika hili, hivi hii kitu "Love at first sight" ina exist na inakua ni real au ni sahihi kusema
"Tamaa at first sight"?..
amani kwenu.
Wakuu, naomba ushauri katika mkwamo huu!Nilimpa mke wangu gari atumie kwa ajili ya shughuli zake za biashara ya duka la nguo. Kwa kwenda na kurudi nyumbani na kwa ajili ya kufuatilia mabo ya...
Ni zaidi ya mwaka sasa nilikuwa Nchi za watu hakika nilikuwa katika wakati mgumu sana kila nilipojaribu wenyeji wa huku kweli walikuwa ni wachoyo kupita kiasi na hata mimi niliogopa sana hata...
Habarini wapendwa wana jf, jamani naombeni mnifundishe mbinu za aina yyt nitakazotumia kumshkisha adabu mana kazidi,
1. MMBEA yani akiskia kitu atakitangaza kila mtaa
2. ANAJISKIA na ANADHARAU...
Umeenda dangulo au sehemu yoyote Zinako patikana nyumba ndogo, umetongoza kama dakika mbili unagundua ni binti yako.
Utafanyaje mzee mzima na ndevu zako??? Na binti anaende kumwambia mama.
Natanguliza salamu kwa wana jf wote nawatakieni afya njema.Naomba michangio yenu,me ni kijana wa makamo tu,bado nipo single kama miaka 3 nyuma nilipata kuanzisha urafiki na msichana,mwanzo wetu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.