Kipekee niwapongeze kwa kuwa na familia.
Raha ya familia hunifanya niamini kuwa family is a gift from God na sote tuna responsibility ya kuwajibika kuifanya kuwa sehemu ya pekee kwenye mzunguko...
Woman Stabbed Boyfriend Over Alleged Monopoly CheatingBy Colleen Curry | ABC News Blogs 13 hours ago
tweet93
Share10
Email
Print
Laura Chavez is shown in this Santa Fe County Jail booking...
A person who responds to you with patience, kindness, and he/she is not envious of you?
A person who is not boastful or prideful?
A person who is not rude toward you or self-seeking or easily...
Ameamua kutoro na elfu22 saa mbili usiku.saa nee ikatolewa taarifa polisi.kesho tukampigia rafiki yake wa kiume kijijini kama ana taarifa nae.yule wa kajijini kasema amepigiwa simu na huyo...
Ninaangalia Kenya's TV inayoitwa K24 kipindi kinaitwa connect, wadada wawili wajadili sababu za mwanaume kukojoa mapema wakati wa kufanya mapenzi (Premature ejaculation) na jinsi ya kufanya ili...
ni makosa makubwa kwa mtu yeyote kukujua au kujua id yako hapa jf
kuna dada mmoja amenijua na tukapeana user name zetu huko facebook
yaani ananifatilia sana halafu inaonekana ni mfuasi wa magamba...
Jamani nisaidieni huyu mwana mke simuelewi sijui ndo usomi mimi na yeye wote tume graduate mwaka jana.mkewangu akiwa na mimba tulielewana kuwa akiwa mtoto wa kike jina amchagulie yeye na akiwa...
Nimegundua nowdays sio kama enzi za wazazi wetu yani watoto hasa wa kiume hawataki kuoa kabisaa ispokuwa wachache yani vijana wako radhi kubanjuka kila baada ya wiki katika malodge na mahotel...
Kuna mzozo mkubwa umeibuka katika ndoa fulani baada ya mdada mmoja kuwa na mazoea ya kupiga simu redioni kumtakia njozi njema mpenzi wake xxx (akimtaja kwa majina matatu)...
Jamaa anayetajwa ni...
Polen na kifo cha ghadaffi wakuu!!eti wadau,mimi ntakua na shida gani maana nina aibu mpaka najhc mim co binadamu wa kawaida,yani nikiwa naongea na mtu yeyote hata ndugu yangu wa damu cwezi...
:unakuta anajifanya busy for nothing.
:ukipisha nae ukamsalimia anajifanya kuuchubua.
:kama umezoeana nae ukamsalimia anakujibu halafu anaongezea nipe hela ninunue kitu fulani
:ukiongea nae kwa...
Umefukuzia kutaka kumwoa dada mtu, kakuchomlea. Baadaye uNagundua anamdogo wake ambaye alikuwa hata hajui ya dada ake, unamsomesha anakubali . Je kumchumbia mdogo mtu wakati dadamtu kakuchomolea...
Wadau habarini?.........
Kuna usemi wa kingereza usemao The more mistakes one makes in life, the smarter one gets in life ------ I ask if it s applicablle in mapenzi na...
Nimewaza mambo milioni kidogo bila majibu ........
Nimepanda kitandani sijapata usingizi hata kidogo.....
Ndani ya masaa nimewaza mazuri yote na mabaya zaidi nimechoka kiakili...
I wish nilie kwa...
Kila ninapomtokea msichana ananiambia ngoja nikafikilie nitakupa jibu, nasubili weeee namkumbushia tena ananipa jibu hilo hilo. Baadaaae anakubali tena kwa mbinde sana wakati upendo wangu...
".....i hate alcohol including smoking and i've loved just one man all my life but he ended up breaking my heart. I don't ever wanna experience heart break again because i don't think i can take...
Wazazi wenzangu jamani hebu tujuzane,nyie ma last born wenu mna wa handle vipi.Wa kwangu yaani pasua kichwa,homework kufanya kwa mbinde,nguo ndo hivo anavaa zimejikunja,ukiingia chumbani mwake...
ni makosa makubwa kwa mtu yeyote kukujua au kujua id yako hapa jf
kuna dada mmoja amenijua na tukapeana user name zetu huko facebook
yaani ananifatilia sana halafu inaonekana ni mfuasi wa magamba...
Hi guys!!
Najua kwamba wote tuliomo hapa tumeshaishi na kujifunza mambo mawili matatu kuhusu maisha.
Katika maisha yako so far ni lazima umeshapata mafanikio makubwa au madogo ...umeshashindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.