Mimi ni mwanaume nina mpenzi wangu ambaye anapenda sana kutishia kuniacha kila inapotokea ugomvi kidogo tu. Mara nyingi nimekuwa nikijitahidi sana kuomba msamaha hata kama kosa ni la kwake, ili tu...
SIRI moja kubwa ya kuwa na ndoa imara, ni wanandoa wenyewe kujiona kuwa wao ndiyo wenye deni la kuimarisha uhusiano wao.
Ndiyo kusema kuwa kila siku katika maisha yako, unapaswa kutafuta mbinu za...
Utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha Bristol umebaina kwamba mwanaume au mwanamke akiutwika huwaona wengine wanavutia sana.
Mwanaume huona wanawake wanavutia na ni warembo kwelikweli, na wanawake...
Wanajf poleni na kazi /mihangaiko ya mchana kutwa
Nimekuwa na swali najiuliza .Chakula cha sahani ya mwenzio mara zote huonekana na ubora zaidi ya kile chako?wangapi kati yenu wanaoamini haya...
Mwanamke akijisikia vizuri basi furaha yake humpeleka kuwa juu sana (peak) na mood ikibadilika basi hali yake hubadilika ghafla na kuvunjika hadi chini kabisa kama mawimbi, wakati huohuo akiwa...
A Malawi newspaper the Nyasa Times is reporting that a man died in the commercial city of Blantyre after engaging himself beyond the limit of sexual frenzy. Fletcher Jere died riding a...
naomba niwasilishe mtazamo wangu wa masuala ya mahusiano na urafiki.....
unakuta mwanaume mtu mzima ana mpenzi/mke na wanaishi pamoja au hata mbali kidogo,jamaa kila kukicha ni ugomvi na...
Haijalishi wewe maarufu namna gani linapokuja suala la kitandani huwezi kujua hadi uwe hapo Tunapozungumzia mwanaume kushindwa kitandani (impotency) tuna maana kwamba ni mwanaume kutokuwa na uwezo...
TABUTUPU ALIOA MIAKA MITANO ILIYO PITA BAHATI MBAYA HAWAISHI TENA NA MKEWE TATU. NINI KILITOKEA?
MKASA: BAADA YA MIAKA YA NDOA, HAKUNA MTOTO ALIYE ZALIWA . MAMA MKWE (MAMA TABUTUPU) KILA WEEKEND...
Jaman wanajf ivi kama mwanamama kajigundua ana saratani ya shingo ya kizazi na uwezekano wakupata mtoto hakuna. Je aifiche hii siri asimwambie mume wake au amwambie. Na hajawah kupata mtoto
Uzoefu unaonesha kwamba baadhi ya wanaume au wanawake hutumia kile walichokiona kutoka kwa wazazi wao katika ndoa zao. Tabia za wazazi huakisi sana maisha ya watoto wao hususan katika maisha yao...
jamni inajulikana kwa wanaume ambao wanaangalia picha za ngono kuwa mara nyingi tunatokea wanatamani ku-do na wanawake kama wale wanao onekana kwenye hizo picha.....sasa nataka jua je wanawake pia...
Wanasayansi hivi sasa wanakiri kwamba, huwa inatokea mpenzi akamshika mpenzi wake kwenye akili, yaani akili yako inaweza kushikwa na mpenzi wako na ukasumbuka sana. Kwenye lugha za mitaani hali...
WAPO WATU WANAOGOPA KUOGA TANGU WAKIWA AWAJAOA AMA KUOLEWA NA MPAKASASA WAMEOA AMA KUOLEWA BADO WAKIFIKA NYUMBAN JUOGA NI TATIZO KUBWA SANA
Nirudi kwenye kichwa cha habari Yawezekana wewe ni...
Binamz na Wapwaz!
Niwapongeze na kuwatia moyo wote wenye mapenz mema na mliotayari kutoa msaada pale amabpo imehitajika na kubidi! Ila kuna suala moja moja limekuwa likijitokeza katika michango...
Hii silaha si maarufu sana kwa wanawake, ipo silaha nyingine ambayo wapo wanawake wanaipenda sana kuitumia wakiwa kwenye ndoa.
Kwa nini baadhi ya wanawake hupenda kutumia silaha ya kuwanyima...
Assallamu Aleikum!
Nimekuwa na bwanangu miaka 13 bila shida na watoto wawili.
Mara si mara, tulihamia mombasa na bwanangu kapata msichana wa kikamba.
Nikapata mimba na huyo msichana kasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.