Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Hivi maana yake nini, unaishi na mwanaume miaka 5 mmezaa watoto wawili,kiuchumi kidogo mnajiweza, lakini hataki kutangaza ndoa, kwenda kwenu wala kukupeleka kwao. na kila siku yupo busy na bint...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
mi wana jamvi kuna swali najiuliza maana huwa naona wapenzi wengi wanapenda kuongea kwa simu na wapenzi wao usiku. sasa swali usiku ndo muda wa bure, malavidavi ndo yananoga au usiku una nini kwa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ntampata wapi kama yule,mwenye tabia kama zile,nimpende na yeye anipende,NTAMPATA WAPI MWENZENU NATESEKA!
0 Reactions
20 Replies
3K Views
swali hapo juu lahusika...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
hadi sasa hivi sijaelewa kama ni heshima,utii au adabu. wasichana wa nachingwea ni watu wanaopenda story sana.sisi huku dar tumezoea kuagana na marafiki zetu kwa kusema "badae". lakini wale wa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakubwa kwema? Jamani mwenzenu nimepata kanyumba ndogo kapya yani maisha raha kweli kweli. Shida kanasema lazima nikapige bao zisizopungua tatu na mimi kweli siwezi nimezoea kabao kamoja v2 na...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Wadada tujuzane kuhusu hili. Nikimwambia mpnz wangu anenepe(anakunja sura kuonyesha kutokubaliana na ninalosema)na kuanza kusema eti mbona kanenepa sana siku hizi,nikijaribu kumng'ang'aniza...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna mdada nafanye naye kazi, kweli ananikera 1. Nikiacha koti analivaa 2. Nikijisahau anazigusa nanili zangu makusudi , sijui anapima nini 3. Atagusisha nyonyo zake makusudi na hadi aone...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Nimesoma riwaya moja inaitwa'TANGU NIPENDE',kilicho nishangaza jinsi mhusika mkuu alivyo zama kumpenda changudoa ambaye akaishia kuwa mke wake.Ivi hii inawezekana,binti unakutana naye kama kahaba...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Napata wakati mgumu kujua hasa in kipi cha muhimu zaidi kati ya kupenda na kupendwa na ni kipi ambacho watu tunahitaji,je tunahitaji kupendwa au tunahitaji tupate watu tutakao wapenda katika...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Hata ukimwambia una mtu atasubiri hadi kipyenga cha mwisho, na akidhibitisha atalia na siku inayo fuata atasahau pamoja na kuwa amesubiri miaka Nirahisi kumpiga kibuti mwanamke uliyempenda...
2 Reactions
61 Replies
15K Views
Hali hii inahitaji uvumilivu kwa kuwa endapo utagundua mahusiano ya mwanamke huyo na mme wake wa zamani yanaendelea, tena jamaa anakuja hadi nyumbani kwako wakati umekwenda kutafuta. Je cha...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Mambo ya uswahili ni kawaida sana kuona choo cha passport size. Kuna wapenzi huwa wanapenda sana kuoga pamoja bafuni hata chooni wanapenda kwenda pamoja. Sasa kwa wale wapenzi wanao tumia vyoo vya...
3 Reactions
54 Replies
9K Views
Mimi napenda mwanamke awe na sifa hizi:- Kwanza awe natural!hata akiongezea makeup siyo mbaya kwa mbali lakini siyo kujikoboa!!Mpaka moyo unauona na mishipa No way!!! Mweusi kido mweupe kidogo...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Habari za wakati huu wakuu!!kuna msichana mmoja nimekuwa nikichat nae facebook kwa muda mrefu sasa,imetokea hvi karibuni tumepeana namba za simu,katika kuongea kwenye simu,binti anadai amevutiwa...
0 Reactions
54 Replies
4K Views
inabidi kitanda kiwe na vyuma juu vya yy kuweza kumsaidia wakati wa kusimama.........wat a lovely smile he has
1 Reactions
38 Replies
9K Views
Ni umri upi au kati ya miaka mingapi hadi mingapi unamfaa mwanaume kuoa.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni miaka mingi hatujaonana, leo maazimisho ya Kifo cha Mwalimu, nipo katika usafiri wa umma (daladala) nikiwa kituoni, watanzania wenzangu wakiteremka, natizama dirishani, namwona jamaa ninae...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Wadau wa JF, Kwa wale waliowahi kuangalia hii movie wake/waume mmejifunza nini? Nawasilisha.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wanaume hawapendi Mwanamke Kulalamika Ile unarudi tu home kutoka kazini kila siku jioni kiumbe huyu ndo anakutazama hivi? Nahisi baada ya siku kadhaa utatamani urudi yeye tayari kalala! Binadamu...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Back
Top Bottom