Kila mara ninapoangalia movie huwa najifunza mambo mengi. Kwa hii movie waliowahi kuiona,wake/waume, GF/BF/Nyumba ndogo etc inatufundisha nini?
Muwe na siku njema.
Mlawi.
Nilioana na mume wangu miaka mitatu iliyopita,tumebahatika kupata mtoto mmoja.Bahati nzuri alipata nafasi ya kwena masomoni nnje ya nchi miaka miwili iliyopita. Tatizo langu ni kwamba ninashikwa...
Rafiki yangu alifunga ndoa miezi miwili iliyopita na mchumba wake wa siku nyingi.
Kutokana na ukali wa foleni huwa ninakuwepo maeneo ya mjini nikipata moja baridi, moja vuguvugu na nyingine moto...
This is too much...
Hii inshu ilitokea miaka kadhaa iliyopita (miaka kama 18), maeneo ya Dodoma. Asubuhi na mapema dada mtu ambaye wakati huo alikuwa na miaka 3 na mtoto mmoja katika ndoa yake...
Within these last few decades of the Millennium have been horrendously destructive to the ability of men and women to relate, commit and enjoy building and being a family.
Instead of taking time...
Nakutakia Weekend Njema yenye Upendo, Amani na Furaha Ktk Mahusiano yako na Umpendaye Huku Ukiburudika na Kaka Bonn Mwaitege na wimbo wa Mke Mwema Anatoka kwa Bwana
Habari wana JF wenzangu? Naimani mmeianza weekend vyema,
Nduguzangu mie kunajambo ningependa kufahamishwa inakuaje hapa, nimepata kushuhudia baadhi ya vichaa/wagonjwa wa akili wakiwa...
Wanawake hawapendi wanaume wanao otea, wanataka mwanaume mwenye subira na anaye fanya mambo kwa uratatibu. Wakati wanaume wanachokuwa nacho makini ni any hole/ opportunity/njia wazi/ au nafasi...
This is my dedication to all JF members! A song sang by Natalie Cole,
I Miss You Like Crazy lyrics
Even though it's been so long
my love for you keeps going strong
i remember the things that we...
Leo usiku wa saa8 nilistuka toka usingizini,kwa kuwa huwa na mazoea ya kumpigia simu mpenzi wangu muda wowote,nikaona si vibaya kumpigia simu na kuzungumza naye(ikumbukwe ni kawaida yetu)...
Nina g.f kwa mwezi wa nne sasa yeye anasoma mkoani chuo fulani.. ni mpole mnoo chochote nitakachosema basi anatekeleza na kiukweli nampenda sana nilimgusia kuhusu kuoana next yr akiitimu akasema...
Who travel for love finds a thousand miles not longer than one
sometimes the heart sees what is invisible to the eye
It is obvious that all sense has gone out of modern marriage: which is...
Malezi huweza kuwaathiri!
Mwanamke ambaye ana tabia a kujilaumu yeye kama mwanamke na kulaani kuwa kwake mwanamke, yuko kwenye nafasi kubwa ya kumuuwa mtoto wake wa kike kisaikolojia...
Kama kubaka ni hali ya mwanaume au mwanamke kulazimisha kufanya tendo la ndoa bila hiyari ya mwingine, basi wanawake wengi sana walioko kwenye ndoa hubakwa na waume zao kila siku.
Kubakwa...
Kuna thread moja nimeiona jamvini kama siku mbili tatu zilizopita (bahati mbaya sikumbuki ilirushwa na nani..., naomba mnisamehe kwa hili). Kifupi mrushaji wa thread hiyo (nahisi alikuwa ni...
umeenda club huko ume enjoy vakutosha na ukaamua kuchukua dem au msela wa kupunguza maukame ya miaka nenda rudi .........
mnacheza game ucku kucha na kulala fofofo zen mnapoamka asubui unaanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.