Kwanini sisi wasichana tukitongoza wanaume tunadharaulika?ukimwambia mwanaume unampenda unaonekana malaya.Kwanini iwe hivo?halafu wasichana wakitembea na wanaume wengi wanaonekana malaya,wakati...
Wameoana kwa ndoa ya Kikristo na kubahatika kupata watoto wawili, wote wa kike.
Tatizo ni kwamba mtoto mmoja yuko upande wa kiumeni na mwingine upande wa kikeni.
Pia baba na mama licha ya kuwa...
Dalili za wanawake wanaosaliti ndoa zao hazitofautiani sana na zile za wanaume. Kuna maelezo ya kitaalamu kwamba, mwanamke anapotoka nje ya ndoa yake, inakuwa rahisi sana kubainika au kufumaniwa...
Habarini wana JF!
wanawake wanaotafuta wanaume wa kushi nao hapa MMU wana umri mkubwa sana tofauti na wanaume wanaotafuta wanawake wa kuishi nao ndani ya ndoa au hata katika mahusiano ya kawaida...
Habari zenu wana MMU, Siku hizi kumekuwa na msemo kwa wasichana wengi kuwa hawezi olewa na mtu ambaye hana MSIMAMO WA MAISHA.
Hii imekuwa kama kaugonjwa kapya ka wasichana kukimbilia wanaume...
Zifuatazo ni baadhi ya dalili ambazo endapo mwanandoa atazibaini kwa mwenzake, anapaswa kuanza uchunguzi au kujadili naye jambo hilo ili kujiondoa katika wasiwasi. Lakini nitahadharishe kwamba...
..Wana MMU salaam!
Nina jirani yangu ambaye mkewe ni rafiki ya wife wangu..of coz mie kwangu 'pilau' namaanisha picha za wakubwa sio issue yaan ninazo za kumwaga na huwa tunatizamaga sana na wife...
Tumekuwa tukizoea kitchen party makungwi wake ni wanawake wenzetu kukueleza nn unatakiwa kumfanyia mumeo mm leo naomba kuwauliza wahusika wenyewe, ww kama mwanaume ungependa mkeo aweje kwa maana...
Kuna mtafiti mmoja alisema, kuzaa watoto wengi intokana na ugum wa maisha kwani, msongo wa mawazo na vp tutakula humsababisha mke au mme awe na mawazo mengi, so the only way ya kupunguza mawazo...
Kuna akina dada wawili wapo live studio wakitetea hoja ya kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja. Mmoja anasema anao watatu ambao anawapanga na hawajawahi kugongana. Kuna mwanaharakati anapinga hii ishu...
Wanandoa wengi sana wapo hatarini kuachana au kutengana na wengine tayari wameshapigiana stop ya usinijue, kila mtu kivyake
ni vyema tukajikumbusha mambo ambayo yanachangia sana kuvunjika na...
Habari zenu wadau,leo nimekuwa na asubuhi mbaya sana na hata itapelekea kuifanya siku yangu nzima ya leo kuwa mbaya,nikiwa njian nakuja kazini asubuhi kutokea mwenge kuja posta,nashukuru nilipata...
ASLAM ALLEIKHUM WAHENGA !Asee katika maisha yangu naconfess nimewahi kuwa na ka uzuzu ka kufikili kumaliza mademu ni ujanja hivi karibuni
nimejikuta from no were nkitoka kazini duka la movie huyo...
ni mwaka3 sasa tangu nianze uhusiano na huyu kaka,kiuwezo tunatofautina sana but sikujali hilo nami nmejitahidi sana kumpa penzi langu,nimejitahidi kumtunza na nimekuwa nikimvumilia sana nami...
Hivi mpenzi wako au mwenza wako anapokasiria umekuwa ukichelewa chelewa nyumbani na hivyo anakujia juu na kukuambia rudi huko huko kweli anafikiria nini? Hivi ukiamua kugeuza mlangoni na kwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.