Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

NINA Jirani na ninao ishi kuna msichana (BINTI WA MWENYE NYUMBA NILIPO PANGA), ni rafiki na jirani yangu (tanga). Kitu ninacho shindana naye, anataka nimwoe. Na imefika wakati sasa hataki...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Na watu hao upenda sana vya wenzao, kwa ufupi naweza sema "chako changu changu changu" ndio style yao, kwani kuna mtu anazikwa na pesa au gold,jamani? Some people need change,
0 Reactions
89 Replies
5K Views
Unaweza usiniamini haya niyaelezayo hapa, lakini ni ukweli mtupu na sasa sijui namna ambavyo ninaweza kutoka katika uhusiano huu maana sitaki kumkosesha raha mke wangu, ni kwamba mwaka 2007...
0 Reactions
95 Replies
6K Views
Eishh wakuu natembea na mama mmoja ana 51 years old,nikimwangalia usoni kidogo kazeeka lakini kwenye majamboz kitandani ni mtamu sijawahi ona,mama mwenyewe hataki kuniachia,je nifanye nini?ni vema...
0 Reactions
86 Replies
7K Views
Naishi na Shemeji yangu ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa Kwanza chuo kikuu. Aka kabinti mara mbili nimekakuta chumbani kwangu kanatumia make up ya dada yake akiwa amekaa kwenye kitanda chetu? Jee...
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Wadau,kwanza polen sana na mzigo wa deni la dowans!!ni hv,nlikua na gal wangu,baadae 2kaachana na yeye ndo alyekua wa kwanza kuniambia 2achane,tukakatiana mawasliano kwa muda wa miezi 6,juzi...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Katika utafiti uliofanywa na kituo cha kuthibiti magonjwa ya zinaa huko Chicago (CDC) Marekani na kutangazwa rasmi kwenye vyombo vya habari tarehe 11/03/2008, inakisiwa kwamba asilimia 26 ya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
wakati tanzania ikiazimisha miaka 50 vya vituko na ufisadi,,,naomba jukwa letu tuwaheshimu wote waliofwahi kupitia mizigo na kufikia 50 ama zaidi kwa kuwa wanaimarisha jukwaa letu na kuweka...
0 Reactions
0 Replies
669 Views
Jamani wandugu, heshima zenyu bana. Mimi ni kijana mwenye maisha na kipato cha kawaida, naona umri unasonga kwa kasi ya ajabu, na hivyo kuifanya nafsi yangu inishawishi ya kwamba wakati wa kuoa...
2 Reactions
64 Replies
11K Views
Nimeskia mjadala leo asubuhi kwenye redio (classic FM-Kenya) kuhusu wanaume wa Kenya. Je mwanaume anaweza itiwa kazi na mwanamke hivi na akatae? Please click to the link usikie hiyo conversation...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nipo kwangu naangalia tv mara simu kutoka kwa rafiki yangu kuhusu mkasa uliomkuta nusu saa nyuma akiomba ushauri kwangu..... Kuna g.f alifika kwake kutokea MZA siku ya 4 sasa lakini akiwa ndani...
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Kama kuna mtu anajua jinsi ya ku divert namba ya mtu mwingine kama akipigiwa simu niweze kusikiliza anachokiongea pleas kwa anaye jua anisaidie
0 Reactions
34 Replies
10K Views
Nachokijua binadamu wote tuna kasoro!kwa misingi hiyo wewe unaona nini kwa mpenzi wako au wapenzi uliowahi kuwa nao nini kasoro walizokuwa nazo?nawewe hukuzipenda?na ukilinganisha na uliyenaye...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ivi ingekuwaje pale mtu kafunga ndoa tu na hisia zake zinakatika zinaamia kwa mwenza wake tu. Au ingekuwaje hisia za mapenzi zinakuja tu pale unapokutana na mwanaume/mwanamke sahihi kwa maisha...
0 Reactions
0 Replies
888 Views
Ww ni mwanaume ulioa miaka 6 iliyopita, wakati unamchumbia mkeo ulikua hn mali wl chcht ulikua unalalia kitanda cha 3 kwa 6 na mke kwao walikua wanamaisha mazuri, mke akakupenda km ulivyo mkaoana...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
wadau, najitokeza katika hili jukwaa kuomba ushauri. Nina miaka 27 na kuna binti ambae nimetokea kumpenda na nimeamua kumuoa awe mke wangu. kwa vile nimekuwa sina mazoea nae ya karibu sana...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari wanajamvi! Kwa mara nyingine tena najimwayamwaya jamvini nikija na 'kamba' nyingine ya kimalezi zaidi. Awali ya yote niwaombe samahani wale waliokwazika na 'thread' yangu ya awali ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu nilileta mada hapa kuhusu mama wa 51 years week mbili zilizopita hatua tuliyofikia sasa hivi ni kwamba mama anaishi peke yake na anataka nihame nilikopanga nikasihi naye du!naona kama...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
NDOA INA SIRI KUBWA KWA WALE WALIO KATIKA NDOA WANAWEZA KUSHUHUDIA HAYA: Kama umegombana na una hasira kali dhidi ya mwenzio, mara zote inapofikia kwenye hitaji la "ndoa", hasira huwa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom