Nilipomwambia nataka kuoa alinikataza akasema mpaka nijijenge kimaisha
Kutokana na kuzidiwa na matamanio nilikuwa nalala kitandani na kuimage kuwa
niko na mwanamke mpaka ninapee.... Huu ni mwaka...
Nawasalim wote,
1. Naomba kufaham kulingana na mnavyo faham,
biashara ya haisi (hiace) kwa siku hulaza sh.ngapi kwa tajiri
na makubaliano hua yapoje kulingana na sehem yenyewe
(kama ni dar, mwanza...
Kuna Mambo sisi wanaume lazima tuyaache na tujue jinsi ya kuwa wasafi.
1. Mtu soksi zinanuka kwa sababu ya kuvaliwa kwa muda mrefu haoni kama ni tatizo
2. Hotelini mtu anasukutua na kutemea mate...
"Mimi TGR ninakuchukua wewe SSS kuwa mke wangu wa ndoa nina ahidi kukupenda na kukuheshimu,nitakufanyia fadhila na kukujali.nitakua pamoja na wewe katika shida na raha,magonjwa na afya,hadi kifo...
Wapendwa wana JF,
Salaams!
Napenda kushirikiana nanyi katika hili kwa kuwa uzoefu umenifundisha kwamba wengi wetu tunapenda sana tuwe na mahusiano yaliyokamilika kadri tunavyoona inafaa. Ila...
Looking out
Across the night-time
The city winks a sleepless eye
Hear her voice
Shake my window
Sweet seducing sighs
Get me out
Into the night-time
Four walls won't hold me tonight
If...
Ndugu wana JF,
Tunasikitika kuwataarifu kuwa mwenzetu Lunyungu ambaye ni JF member, anaugua mno, hawezi kusimama wala kukaa, anaishi kwenye wheelchair.
His lower disc has been compressed ,ana...
Naombeni great thinkerz wenzangu tusaidiane jamani, miaka 7 iliyopita nlkutana na bint m1 (tulikuwa sekondar) nlimtongoza! Alinizungusha sana hatimaye alkubali na kuniambia yeye ni bikra hivyo...
kATIKA HALI ISIYOKUA YA KAWAIDA JIRANI YANGU, bINTI NZURI HUWA ANANIPA CHAKULA ila hasemi chochote.Naogopa usikute ananipenda kimapenzi.
Nilikua nasomea upadri na naogopa asijenimiliki, angali...
habari zenu wana jf.. Jana kunakitu kimenikera sana, nilipokuwa nikitoka kazini mida ya sa4 nilipita eneo fulani nikakuta vijana kama sita wakiwa mamemfunga kijana mwingine kamba miguuni na...
Ni jambo ambalo litawashtua wanawake, hasa walioolewa au ambao wana wapenzi wanaoaminika, kwamba, kila wanaume kumi ambao unakutana nao kila siku, watano kati yao ni lazima wameshakutana na...
...nimetokea kuvutiwa na kasichana kazuri, na yeye anaonyesha kuwa na interest na mimi, lakini ni mtoto wa boss.....wanaseama mtoto wa bosi ni bosi....ukizingatia mambo ya mahusiano yana ups and...
Umemnunulia mkeo gari, unashngaa jioni ya jumapili anarudi kwa daladala. Gari wapi, anakwambia kapanda mbengu kanisani ili apate baraka. Japo ni swala la kidini utafanyaje funguo pastor kesha...