Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

upo kwenye pati alone anakuja mkaka anakuomba kampani anadai yuko single tena lonely sana wisho wa siku mnapeana number kesho yake anakupigia mchana inafika siku umetoka kwenye mahangaiko ni...
2 Reactions
130 Replies
8K Views
Kuna usemi uliozoeleka ya kwamba chakula fulani ni kitamu au vyakula fulani ni vitamu. Binafsi nakataa kwa sababu chakula chochote ili kiwe kitamu kinahitaji mapishi mazuri. Ndio maana ukienda...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Natanguliza na salaam. Kuna dada flani amepatwa na tukio ambalo hakutarajia japo ni mtu amekomaa.Anadai kuwa katika kabila na mila zao hajawahi kuliskia ila ndilo hili linamsumbua akili. Ni wa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
for those in relationship or married consider this parable and deduce the lesson you can learn to enhance your r/ship or marriage. A little bird was flying in winter..The bird froze and fell on...
0 Reactions
1 Replies
940 Views
Wanajamii katika maisha ya ndoa binadamu tunakutana na mengi. Ni hili lililotokea karibuni ndio limenishangaza zaidi mwenzenu! Jamaa amemuacha mke na watoto wake na kutimkia kwa mama yake! Hii...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kama wewe ni kizazi cha Adam na Hawa basi suala la ndoa linakuhusu sana na ndoa ni kitu beautiful, Kwani huleta mahusiano ya kutosheleza yanayowaunganisha watu wawili mke na mume.Inapendeza kwamba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF ... hili limekaa vipi?.. Mie nimetoka Mkoani nimekuja Jijini(DAR).. kwa Mapumziko kidogo, kusalimia ndugu na marafiki zangu.... sasa jamani ugumu nimeukuta ktk ishu moja... Rafiki zangu...
6 Reactions
117 Replies
9K Views
Kama nimeipenda, utaipenda tu :) ******************** Photo/FILEFor various reasons, remaining legally married but leading separate lives under the same roof is a trend...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Yawezekana aijakukuta lakini nakutaarifu tu mistake za kuwazoesha waume zenu na mashoga zenu madhara yake ni makubwa sana sipendi kukimbilia kila kosa shetan shetani lakini kama tunaweza kuavoid...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
The home great thinkers,hv kuna namna yoyote m2 anaweza apply ili kupunguza au kuzuia kabisa kuwaka kwa tamaa za mwili ambazo lengo lake kubwa ni kutuangamiza?
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Katika familia yangu nina mke wangu, kijana wa kiume na nina msichana. Vijana wangu wwana umri wa miaka 20 na msichana ana miaka 25. Mimi huwa nachanganyikiwa na si siri huwa naumiwa endapo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Watu hawahofii kufa, Biashara ya short time naona imekuwa utaratibu wa kawaida manake jana katika kutafuta Mahala pa kulala nimeshuhudia mengi. Watu wametoka ofisi moja wanapitiliza guest then...
0 Reactions
50 Replies
10K Views
AT least kwa hapa TZ, hususani ukanda wa pwani, wanawake ni watu wanaopenda sana mipasho na maongezi ya mafumbo!!! Bila shaka ni wahitimu wazuri wa baadhi ya tanzu za fasihi simulizi. Last week...
2 Reactions
102 Replies
8K Views
....Kutokana na maisha kuwa magumu kwa kila mwanadamu lakini kwa kiasi kikubwa tukiwa tunapishana hata uwezo wa kimaisha,jamii yetu leo hii imekuwa ya kukwepa majukumu ambayo kimsingi ina ulazima...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
ukifuatilia kwa makini habari zinazochapishwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari hapa nchini tabia za ushoga na usagaji zinazidi kushika kasi. siku hata siku. Jee kuna haja ya serikali kupitisha...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Shirika la ujasusi la Marekani linatutabiria waafrika zaidi ya milioni mia sita kupoteza uhai kati ya miaka 10 hadi 15 ijayo kutokana na ngono zembe.................hali hii yamaanisha ya kuwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Hili ni tukio la kweli lililo tokea last weekend mjini Dar es Salaam pande za Masaki. Kisa chenyewe kilikuwa hivi, kuna kijana mmoja wa pande za Usukumani alipata msichana kwenye facebook...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Katika familia yangu nina mke wangu, kijana wa kiume na nina msichana. Vijana wangu wwana umri wa miaka 20 na msichana ana miaka 25. Mimi huwa nachanganyikiwa na si siri huwa naumiwa endapo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Pole wana Jf na shughuli za ujenzi wa taifa. Naomba msaada wenu wa kimawazo kwa kujaribu kunijibu kwa umakini zaidi. Miaka ya nyuma nilikuwa na girl friend kwa muda wazaidi ya miaka 2 lakini...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
habarini JF nipo dms nafanya kazi kampuni fulani ya simu.nimepata kibarua kingine kwenye kampuni nyingine ya simu kwa tofauti ya mshahara ya laki 2...i mean ya mkoani imezidi kwa laki 2 mshahara...
0 Reactions
67 Replies
6K Views
Back
Top Bottom