Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Mwanamke unayempenda unamweleza vile unavyojisikia juu yake ila ujue ukweli. Inapaswa pia na wale tusiowapenda (tunaowachukia) tuwaeleze vile tunavyojisikia juu yao ili wajue ukweli. Kwanini...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ni galfrd wa rafiki yangu kipenzi ambae 2mekua 2kisaidiana v2 mbalimbal tangu utoton,nlianza kuzoeana na huyu galfrd wake tangu mwaka 2009,mazoea yakawa mazoea,cku ya kwanza alinambiaga anataka...
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Ni asubuhi njema natumahi. Mara nyingi tumekuwa tukipata compliments nyingi makazani pale tunapokuwa tumefanya vyema kwenye kazi. Compliments zinaweza toka kwa wafanyakazi wenzako na hata kutoka...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Sex strike brings peace to Filipino village CNN) -- A group of women in a violence-plagued area of the Philippines came up with their own weapon to end the fighting -- a sex strike.The women...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za uzima wana JF, Kuna jambo linanitatiza sana pale unaposhuhudia mke/girlfriend au mme/boyfriend wa mtu anaendeleza uhusiano wa kimapenzi na mpenzi wake wa zamani au mpenzi wake...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau wa MMU tumsaidieje huyu? "Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22, ninakaa na dada yangu hapa jijini Dar ambaye ameolewa na wana mtoto mmoja na kwa sasa dada ni mjamzito tena. Mimi...
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Ndugu yangu mtu mzima sana ananizidi umri, siku nyingi nikiwa nae alikuwa anaonekana mwenye mawazo mengi sana (hakuwa anasema kinachomsumbua), hivi karibuni aliibukia kuwa mnywaji sana wa pombe...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna jamaa alipigiwa simu na mwanamke wakati wamepumzika na mkewe. Jamaa alimjibu uyo mwanamke ntakutafuta baadae. Mkewe akahoji ni nani uyo? Jamaa akajibu ni mjinga flan na ni demu wa rafiki...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwenye maisha lazima utahitaji kuvijua vitu fulani kwa undani (Udadisi) ili kupunguza mawazo juu ya hicho kitu na kukielewa vizuri, Leo naomba kufahamu juu ya uvaaji wa pete mbili kwa akina mama...
1 Reactions
16 Replies
10K Views
Naitwa joseph natafuta msichana aliye umbika yeyote aliye tayari adisplay sifa zake
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Nilikuwa mpambe wa bw. Harusi, Tulienda kijiji fulani ( ..) Baada ya kukamilika taratibu zote ukafika muda wa unyumba ambao bwana Harusi alitakiwa kukutana na mkewe Kwanza kikatandikwa kitambaa...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
jaman kuna msichana m1 ninampenda sana, nilivyokutana nae kwa mara ya kwanza nilijua yeye ndiye atakuwa my wife tatizo siku ya kwanza kwenda kuchakachua niliyoyakuta huko noma unaambiwa kinu kina...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Tamaa ina changia, binti anajikuta anahitaji nguo nzuri, viatu, hand bag na amechishe kuanzia hereni, nguo, viatu, mkoba mpaka nywele, halafu mtu wenyewe masikini wakati kilasiku anahitaji...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari ya mapimziko. Mapenzi ni ujinga na ujinga huu ndio unaonisumbua. Ni kawaida yetu mimi na wangu mwandani kunyoana kila jumamosi ya katikati ya mwezi na mwishoni mwa mwezi. Kilichonikera...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
MMU Members hamjambo? wikiend iko vipi? Sina mengi ya kusema kwa leo bt nataka kuwapa ZAWADI, hii ni kama dedication yangu kwenu kwa upendo wenu na urafiki wetu tunao uonyesha humu jamvini...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Mtu atamwacha baba na mama na kumfwata mumewe alichokiunga MUNGU mwanadamu awezi kukitengenisha Tangu Mwanzo mpaka kitabu cha ufunuo sijaona Mungu aliumba kaka na dada ama mjomba na shangazi ama...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Mambo ya ujana.
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Baada ya kuwa na aina tofauti tofauti za uhusiano nikitafuta furaha na ule upendo wa wawili ,nimeishia kuvuruga hata ile furaha nliyokuwa nayo !nachukua likizo fupi ya kujipenda let me see if i...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
habari wana jf, kuna bar moja huwa napendelea kushinda kwa siku za ijumaa, jmosi na j2 kwa kupata maji ya baraka, chakula na kutazama soka. kuna baamedi mmoja tumezoeana sana.yaani imefika wakati...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Back
Top Bottom