I love this picture of the family which had sextuplets, "By the end of the day, Rozonno and Mia change 36 diapers, prepare 24 bottles, and dish out 12 bowls of cereals.
Nimejiuliza swali 36...
Jamani mwenzenu najiona wazi naelekea kumkosa yule niliyempenda kwa dhati ya moyo wangu kwa sababu kadhaa ambazo hazikuwa na uhalisia kama anavyodai mwenza wangu! Kiukweli nlibaini kuwa mwenzangu...
Jana nilifanya kitu kinacho ninyima raha sana, stori yenyewe ipo hivi.
Kuna msichana tuliwahi kuwa na uhusiano zamani kabla sijaoa na yeye kuolewa, kwa sasa anafanya kazi RITA. Kutokana na...
Nimepitia majadiliano yaliyomo kwenye vyombo vya habari hapa nchini (soma majira ya leo utaona kuna kichwa cha habari ukurasa wa 1 kisemacho "Mashoga Dar wataka kutambuliwa kikatiba" na kwenye...
Kwa wapenzi wa Jukwaa la MMU,
Wiki hii tumefahamishwa na moderators kuwa kuanzia sasa threads zote ambazo zitakuwa posted hapa MMU zitakuwa under moderation kabla hazijawa approved kama lilivyo...
Jitahidi kuhakikisha unalinda moyo wako na moyo wa mpenzi wako; usije ukaupasua na kuuumiza.
Wanandoa wengi hujikuta wamefika mahali ambapo ndoa haiwezi kuwepo tena (talaka) na tatizo kubwa ni...
Niko hapa katikati ya jiji hili la Dar, kwenye Hoteli moja iliyobadilishwa jina hivi karibuni.
Niko a wageni wangu, na pembeni wapo kina dada wanaojiuza, maarufu kama makahaba. Wapo ambao...
Baada ya jana kukiri nimelikoroga nawashukuru mlionipa pole,mambo yote kwa sasa ni muswano.
Sasa ndugu zangu hebu tushauriane hapa.Nina jamaa yangu ambaye alipata sekeseke miaka michache iliyopita...
Kuna kutupiana sana mipira na kulaumiana kati ya wanandoa vijana kuliko mtu anavyoweza kufikiria. Kila mmoja anataka mwenzake abebe majukumu makubwa na pengine zaidi kuliko mwingine.
Pengine baba...
wandugu, nilipata mtoto na binti mmoja miaka kadhaa iliyopita, hatukuoana wala kuwahi kuishi pamoja, nilimchukua mtoto akiwa na miaka miwili (pls dont ask why)na nilimlea mwenyewe hadi nilipooa...
Salamu tele toka kwangu ziwafikie popote mlipo wanaJF/MMU! Ni matumaini yangu tu salama na twasonga mbele ktk shughuri na majukumu yetu ya kila siku.
Leo ninajambo moja nitakalo lijadiliwe kwa...
Huwa napata na mshangao siku hizi ninaposikia watu wakiwasema wenzao eti kisa wameamua kuachana na mke au mume, na kuwaona kama ni malaya kwa maamuzi hayo, kuna watu wanamsema kwa mfano JLO eti...
Wanaume hutoka nje kwa sababu ambazo zinatofautiana na zile za wanawake. Wanaume hutoka nje kwa sababu ambazo zinaonekana wazi kwamba hazina mashiko, angalau kwa nje.
Kama ilivyo kwa wanawake...
Nina best yangu ameolewa mwaka sasa, recently amepata kazi nje ya tz (UN) kwa mkataba wa miaka 2,yupo kwenye maandalizi kuondoka nchini amepewa miezi 2 ya kujiandaaa. Ameongea na mumewe kuhusiana...
Nataraji kufunga ndoa katikati ya mwaka ujao mjini Dodoma na mchumba wangu tuliyedumu naye kwenye urafiki kwa muda wa miaka 4 sasa, tatizo limekuja baada ya kwenda kupima na mwenzangu amekutwa...
habari wana jf. mlinishauri sana ktk thread ambayo nli2ma hapa kuhusu baba mtoto wangu na x-bf.
nmeamua kuachana na hyu baba mtoto lakini yeye hataki kuniacha. anaapa haniachi na anasema kaenda...
kuna dada mmoja alikuwa na mchumba wake ambaye walipendana sana but becuase ya tamaa zao wote wawili kilitokea hiki kifuatacho:.............................:walitaka kusalitiana lakn hakuna hata...
Wote tunajua kuwa mwanamke ni ubavu wetu na mfariji pia.haifurahishi kumfokea nakumdhalilisha mkubwa mwenzio mbele za watu.anapokosea aelekezwe kwa upole na unyenyekevu.
Wanaume dhibiti hasira...
Hapa naongelea wanaume wanaofanya maamuzi ya kuachana na wake zao na kuoa mke mwingine au wake wengine - kutokana na sababu wanazozijua wao. Kwa waliofiwa na wake zao - poleni sana - hii mada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.