SIKUOMBEI UACHIKE KILA JARIBU LINA MLANGO WA KUTOKEA
Kuvunjika moyo, kukatishwa tamaa, upweke, nk ni maneno yanayoelezea feelings za uzoefu ambao binadamu hupitia pale mahusiano yanapovunjika iwe...
Kina dada ni watu wenye huruma sana na huweza kusamehe hata kosa kubwa kiasi gani . They are emotional and full of love Mfano
Kuna cases kama tatu ambapo mwanamume anamtelekeza mke na watoto...
Hellow JF, leo nimekaa nikatafakari safari yangu ya maisha hasa upande wa shule. 1. Nakumbuka nikiwa std 5 kuna mtoto alihamia skul kwetu, tulitokea kuzoeana sana na karibu darasa lote walijua...
Nilimeshawishika kufungua hii thread ingawa ni habari ya mwaka jana mwishoni.
Niliwaahidi watu kuwa nitakuja kuandika hii habari ingawa nimesita kwa siku nyingi. Nimepata nguvu baada ya kuona...
Mapenzi mahali pa kazi au maofisini ni kitu cha kawaida sana kusikia siku hizi, hii ni kwa sababu kushuka kwa nidhamu makazini na kwamba tunatumia muda mwingi sana kuwa ofisini kuliko nyumbani...
Ninaposema wanawake wazuri nina maana pana sana na yenye utata kwa kiasi kikubwa kwa sababu uzuri kama dhana dhahania inachanganya sana. Je wanawake wazuri ni wenye sifa zipi na hasa ni wazuri kwa...
mwanaume kakuzalisha mtoto halafu hataki kutoa barua,ukimwambia kajitambulishe kwa wazazi hataki na anataka kuendeleza uhusiano. Je, huyo mwanaume ni mkweli au anataka kunipotezea muda tu. Tuna...
Lindi la wanaume kukataa watoto na wengine kuwatelekeza linazidi kuchukua chat,tatizo lenu nini hasa? Kama hujawa tayari si uache kuliko kutelekeza mama na mtoto?
Inaumaaaaaaaaaaaaa.
Katika utafiti uliofanywa kwa vijana 1,500 kuanzia miaka 20 na kuendelea huko Australia ilionesha kwamba asilimia 25 wana matatizo ya jogoo kuwika na asilimia 8 hali ni mbaya zaidi.
Jogoo...
mwanaume kakuzalisha mtoto, ukimwambia nenda kajitambulishe kwa wazazi hataki, halafu bado anataka kuendelea na uhusiano na huyo binti. Je, huyo mkaka ana mapenzi ya kweli au ni mlaghai?
Tafiti nyingi zinaonesha kwamba, karibu wanawake tisa kati ya kila kumi wanaridhishwa na maumbile ya sehemu za siri za waume au mabwana zao. Kwa hiyo, ni mmoja tu kati ya wanawake kumi ambaye...
1> Giving the 1st salary to your parent
2>Thinking your love with tears
3>looking old photo$ smiling
4>A sweet $ emetional chat with friends
5>holding hands with your loved ones for a walk...
Nijambo la kawaida mkena mume walianzia kwenye urafiki wa kawaida na baada ya muda mfupi au hata kipindi kireeefu kua marafiki hatimae hufunga pingu za maisha je? Tuwaangalieje hawa wadada bilaya...
Hitma ya aliyekuwa Branch Director wa CRDB Bank, Vijana Branch, Mr. Sekoutoure 'Toure' Mndeme itafanyika tarehe 17/09/2011 nyumbani kwake Kunduchi mtongani kuanzia saa 7:00 mchana
Jamani niwape kisanga hiki jana niko kwenye basi akapigiwa mwanaume mmoja na mkewe ama hawara wake atujui lakini yaonyesha wanaishi pamoja,samahani hata kama wanaishi pamoja sijajua wamekaa miaka...
Habari zenu wadau.
Jamani wadau wa humu ndani, mimi nataka kuanzisha kituo cha kusaidia watoto wa mitaani. na wewe mdau nakupa nafasi ya kuchangia kidogo unipe mawazo ni jina lipi litumike kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.