Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Heshma mbele ndugu zangu wa Tz na wana jf kwa ujumla. Polen kwa msiba. Mungu azilaze roho za marehem mahal pema pepon. Kwanza naomben ukarbsho wa dhati katka MMU. Nimekuwa nkivnjar kwingne kabla...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nyumba ni ya familia na wanaishi pamoja na wapangaji. Binti kamaliza elimu yake ya juu na kufanikiwa kupata kazi, ili aweze kuwa huru kaamua kuhama nyumbani na kutafuta nyumba ya kupanga. Baba...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Kusamehe ni kitu kigumu sana ingawaje ni tendo zuri sana kwa upande mwingine .Kwanini ni msamehe mwingine ambaye ananikosea mara kwa mara na wakati mwingine kwa makusudi na wala harudi...
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Nipo hapa idara ya uhamiaji Nyerere Road, kijana mmoja mwenye mlegezo na sauti ya kisharabaro analiona jina lake kwenye ubao wa matangazo, lakini anaambiwa passport yake bado haijatoka...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Moved to another jukwaa
1 Reactions
8 Replies
2K Views
moved to another jukwaa
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana wa JF mambo vp?.Kama kichwa cha habari kilivyojieleza ni mkasa ulomkuta shemeji yangu mdogo wake na mke wangu.Kama anavyoeleza;Ni miaka miwili sasa toka niwe katika uhusiano wa kimapenzi na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jf Members Praise the Lord! I suddenly loose my Father this morning, RIP baba mdogo. Ooh Lord Give me strength huu mwaka sijui kuna nini, Nahitaji maombi yenu sana kwa sababu nimechoka kabisa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
K
0 Reactions
91 Replies
8K Views
Kwa nini uzinzi ni dhambi? Watu tumekubaliana kwa ridhaa yetu kula raha, sijamchukua mke wa mtu. Huyu niliyemchukua mimi hana mume, bwana wala boyfriend. Kwanini kwa kulala naye niambiwe mimetenda...
0 Reactions
71 Replies
7K Views
Habari wana JF Hapa mtaani nimeshuhudia ndoa kama 4 hivi zimevunjika na hazijadumu zaidi ya miaka miwili, pia nina rafiki zangu ambao nimesoma nao chuo kikuu nao ndoa zao zimevunjika wakati muda...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Tunapendana nae sana tumeanza tangu primary hadi sasa tupo chuo tumepishana siku nne tu mwaka tupo nae sawa yaa umri.Nimepanga kumuoa yeye ila ndugu na marafiki wananitisha kuwa atanizeekea huko...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kweli sisingizii ingawaje najua majuto ni mjukuu................... sukari nilipoanza kuilamba nilifikiri ni shujaa.................... lakini sasa najuta kwa nini hata...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
kwa nn wanaume ni wahuni sana kuliko wanawake?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
moved to another jukwaa
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Unachukuliaje kumuoa binti aliyekwisha kuzaa labda akiwa O level huko. Au unamsimamo gani kwa mwanamke aliyekwisha kuzaa, utaweza kumuoa akikwambia ana mtoto baada ya wewe kukaa naye wiki kadhaa...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Hivi kwa nini sisiwanaume tukiwa na uhusiano na mwana mke baada ya mda mrefu huona kama mzigo au anakukera na kuona bora utafute mpya?nakama mkiendele halikama hiyo haijawatokea jua hata mkioana...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
moved to another jukwaa
0 Reactions
1 Replies
2K Views
moved to another jukwaa
0 Reactions
0 Replies
2K Views
moved to another jukwaa
0 Reactions
0 Replies
873 Views
Back
Top Bottom