Mara nyingi tunaangalia mbele na kusema "sijafanya chochote maana ninapo enda ni mbali sana"
Week iliyopita nilikutana na class mates wangu tulio maliza wote darasa la saba (LY,haha)...
Salam wana JF, jamani naomba mnisaidie , kuna mafuta ta kuchua( masaji) hivi ukiyataka yanaitwaje........? je ndio yale pia hutumika ktk suala la ngono (kumlainisha mwenzi wako) akawa anameremeta...
Wajameni naombeni msaada wenu wana JF!!!
Mimi na mume wangu tumeishi vizuri tu kwa muda mrefu mpaka pale alipofanyiwa surgery kubwa ya tumbo mambo yakaanza kuchange. Ingawa alichukuwa muda mfupi...
Hi guys!!
Hope wote mko pouwaaa!!
Nwy leo nlikua naongea na rafiki yangu tukawa tunabishana kuhusu jambo...
Ishu yenyewe inahusu watu wanaopata mimba bila kupanga na kuamua kuzaa. Baadhi ya...
Inatokea kwenye ndoa nyingi, ambapo unakuta mume anamjali mama yake kuliko mkewe. Kumjali nina maana kwamba, yuko tayari kupinda haki, kumuumiza mkewe, kumchukia na kumfanyia visa kwa sababu ya...
Nilikuwa na rafiki wa kike(mwalimu) kwa muda wa miezi kama 3 hivi tokea tuanze uhusiano wetu,Wiki 2 zilizo pita alienda kumuona mama yake kijijini,baada ya jufika huko katika maongezi tu ya...
Heshima kwenu wote Great thinkers, let me share with you This 10 traits of the real man, maana kila siku post za malalamiko ya kufanywa ATM, Mara nataka nioe sina kazi, mara nimetegeshewa mimba...
Nipo kwenye daladala narudi nyumbani, ila yamezuka mabishano hapa kati ya akina dada(wanawake) na akina kaka(wanaume), kuwa ni nani apaswae kula paja la kuku iwapo kitoweo hicho kitapatikana...
By Stella Brikey
It is Saturday evening and this writer and a friend decide to go out for a beer. We choose the Q-Bar in Msasani, which comes highly recommended for its live music. The...
Jamani wana jf hii nataka kuwamegea washikaji kuna binti nilikutana naye SGD kitambo kidogo nilimpenda sana nilimfaham kwa jina moja 2 la REHEMA lakin ghafla akaondoka kwenda dom nilimtafuta bila...
Salaam wana JF, jamani kuuliza si ujinga ,naomba nifahamishwe hivi yale mafuta ambayo hutumika ktk masaji yanaitwaje.....? na hupatikana maduka yepi.......? je ndio yale yale...
Helo jf tatizo hili linanipa msongo wa mawazo kupita kiasi,Baada ya mama wa ex glfrend wangu kunionyesha kwamba yukoje katika ukorofi sasa arejea na kauli mpya ya maridhiano ili nifunge ndoa na...
Hii nimeisikia DW matangazo ya mchana huko Gabon mwanamke mwenye umri wa miaka21 anadai kutengwa na kunyang'anywa mali za urithi baada ya mme wake kufariki... Mama huyua anasema ana watoto wawili...
Wakisha staafu hawataki kurudi kijijini,
wakipokea mafao yao wanawadanganya mama zetu eti mafao yao yamepelekwa kwa wastaafu wa East African Community.
Nyumbani hawaonekani, wanarudi usiku wa...
Pengine ni wengi wangesema shida
lakini je shida ngapi zinakufanya mtembee na mamazenu waaliowazaa kisa ni mabosi wenu jamani
je mitembea nao wanaweza himili kumaliza shida zenu..??wapo wale...
Pengine nilkuwa nafikiri utan nikiwa naenda kauoga bibie akaniita njoo nikasikia kwenye redio kipindi cha magazeti kwamba kuna gonjwa limezuka linaambukizwa' kwa kunyonyana ndimi na mwisho wake...
Sijajua kwa nini wanaweka bei kubwa kupima hii dna nimekaa nikaangalia jinsi
watu wanavyoisihi hasa kwenye mahusiano na kuamini kuzaa nje ya ndoa ni swala
la kawaida kabisa kama mnaishi bila...
wakuu wasalaam!
wakuu ninahitaji tution ya chap chap!
rafiki yangu kanipa heshima ya kuwa best man wake siku ya harusi inayotarajiwa kufanyika siku ya jumapili!
kwa vile issue hii ni muhimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.