Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Hivi inakuingia akilini??kuwa hapa JF utapata kimwana waliopata ni wale wenye bahati zao hapa yeyote mwenye account hapa siwakushobokea atakutoa kamasi!
0 Reactions
35 Replies
3K Views
mapenzi ni kitu kilichopo toka enz, sasa ndugu zanguni....,tuliopo kwenye mapenzi na tuliokuwepo kwenye mapenzi....ulishawah au umewahi kumpenda mtu bila kuweka neno tatizo au neno ila katika...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ebu twambiane mwana JF mwenzangu mimi katika swala la mahusiano mimi hupenda vitu hi hapa:- >Demu Bomba ambae nikitoka naye sijihisi kuwa na mapungufu! >Demu muelewa asiyetaka kunitawala mawazo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ninavyoelewa kaka yake mama ni mjomba wangu na dada yake baba ni shangazi yangu.swali, mke wa mjomba wangu nimwite nani na mume wa shangazi nimwite nani? kwani jamii zingine wanamwita mkaza...
0 Reactions
0 Replies
13K Views
WanaJF, Ni jambo lililo ndani ya mila nyingi hapa duniani kwa mwanamke ku-acquire surname ya mume wake baada ya kuoelewa. Asili ya jambo hili siifahamu, ila kuna jambo ambalo nimeanza kuliona au...
0 Reactions
88 Replies
12K Views
Waheshimiwa mim mwenzenu sina hisia na jambo la mapenzi kwan walionitenda tayari wanatosha...siju wadau mnasemaje je mpo kama mmau
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wakuu naomba kuwakilisha,kama mwezi umepita mtaa jirani na nnao ishi kilitokea tukio la kusikitishaa kama sio kufedhehesha.kuna jamaa aliamia na mchumba wake kama mienzi miwilii hivi.mwanamke wa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Juzi nikiwa nimekaa wa wababa walio kwenye ndo nikawauliza nimagumu gani wanayapata kwenye ndoa? Jibu nililopata lilinikata maini, wanasema ukiwa kwenye ndoa kua mvumilivu na fumba macho coz...
0 Reactions
56 Replies
8K Views
Najisikia kumiss home, najikia kumiss wa-east africa wenzangu. Kuna mwanaJF wa east-Africa yeyote mjini hapa au karibu, walau tu-socialize na kukumbushana ya home kidogo? Kama yupo ani-PM tafazali
0 Reactions
3 Replies
1K Views
I love loves,and i hope you do too. That is why i love loving you. I fell in love with you for the first time i set my eyes on you, I even risked making a risk of myself. I fell in love...
4 Reactions
52 Replies
4K Views
Kuna baadhi ya wasichana wengine ukiwa naye kwenye daladala yeye ana sh10,000, mwanaume ana sh2000, bado atataka mwanaume ndio alipe nauli.Sijui kosa ni kwanini umemtongoza!!, huwa sielewi. Kuna...
0 Reactions
106 Replies
8K Views
Salaam wana Jf. Hivi ngono ina nini? Mapadr, mashekhe, viongozi wote wa dini zote wanafanya mema yote ila ngono inawashinda, watu wanavumilia kusengenya, wizi, unafiki n.k ila wanashindwa kuacha...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
  • Closed
My love figga Fourgive me cause i never meant to hurt you, ni hasira na wivu ndo vilisababisha, nakuomba sana mpenzi wangu unisamehe kwani nimekumiss ile mbaya and it driving me crazy, i cant take...
0 Reactions
1 Replies
881 Views
Kuna wale ambao hawako tayari kutoka kwenye uhusiano mgumu kwa sababu ya mali. Wanaogopa watagawana mali na wenzao, jambo ambalo hawako tayari kulifanya na mara nyingi hawa ni wanaume. Wapo pia...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
"Baba na mama nashukuruni sana kwa mda wote ambao tumekua pamoja, najua nimewakosea na kuwadhalilisha sana,ila pamoja na kuondoka kwangu naombeni mnisamehe. Nitawakumbuka siku zote ntakazo kuwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hebu tujiulize je ni kweli dhana ya ndoa ni kufanya mapenzi? Jibu ni siyo kweli hata kidogo. Hebu tujiulize tena baada ya kuoana na kuishi kwenye ndoa kwa muda fulani wake au waume zetu wakapata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Believe me if you really want a relationship that would last long usimchunguze sana mpenzi wako hasa kwenye SIMU
8 Reactions
125 Replies
9K Views
Naomba ushauri. Baba yangu ana umri wa miaka 65 ametuzaa watoto 12. mtoto wa mwisho ana miaka 27. Lakini Baba ameamua kuzaa na binti (sio mama yetu au mama zetu) mwenye miaka 28. Jamani huyo mtoto...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari zenyu jf natumai ni wazima nyote!kama ilivyo ada jf kuna wachambuzi wa mambo zaidi ndio mana nikaamua kuileta hapa! Nimetengana na glfriend mama yake kapata taarifa kuwa nimetengana na...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
...Emotional Roller Coaster,...are you enjoying the ride or suffering? emotional rollercoaster Term first used by R&B singer Vivian Green in her 2002 single "Emotional Rollercoaster" from...
9 Reactions
224 Replies
19K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…