Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Jioni hii the CITIZEN TV ya Kenya inatuarifu juu ya mwanaumme kakatwa uume wake na watu wasiojulikana na hivyo kufanya nia zao hizi zisijulikane.......Hivi sasa mwathirika huyo yupo hospitali ya...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
hili swali nilikutana nalo nikafikiri ni rahisi tu kulijibu, lakini nikakuta si rahisi kama nilivyofikiri, MEANING OF LOVE,(usi-translate) kwanza nilifikiri ni hisia alafu nikaona kama ni kutoa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Hellow wanajamii wenzangu yamenikuta ya kunikuta. kanikimbia wangu kisa nimefulia. pliz help and tell me what to do.
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Salaam wana Jf. Hivi ni vyema mpenz wako akajua ratiba yako ya kutwa nzma. Mf. Wakat wa kula unampgia simu, unatoka ofisini unampgia, kama ni mama ukianza kupika, ukimaliza, kwenda sokoni. Pia...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna malalamiko mengi ya wanawake dhidi a wanaume. Wanawake wamekuwa wakiwalaumu wanaume kuwa, ‘wana tamaa,' ‘hawaridhiki' ‘hawatulii na kauli nyingine nyingi tu za kuonesha...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
naombeni ushauri kwa hili suala. huko facebook nasikia kuna groups za watu tofauti tofauti, na maanisha group within a group. ni vikundi vya akina mama na akina baba vijana kwa vijana...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Mimi ni bonge la handsome na ki ukweli nakubalika kirahisi sana kwa wanawake ingawa si mtu wa kujali sana masuala ya mapenzi kwa vile ninajua madhala ya kuendekeza sana. Hata hivyo nina tatizo...
0 Reactions
54 Replies
4K Views
Hivi neno UPENDO linamaanisha nini hasa? Maana yake ni nini hasa ukizingatia kuwa imesemwa/inasemwa/itasemwa kwamba upendo ndio uhitaji mkubwa zaidi wa Wanadamu. Tangu wanapozaliwa hadi kufa, watu...
1 Reactions
2 Replies
62K Views
hbr wandugu jana wakata nipo na shemeji yenu tuna vuta raha hapa tembo clab mara cm yake ikabeep nikaichukuwa kucheki ni namba ambayo naikumbuka sana mara sms NJOO CHUKUWA kisha sm ikaita...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Natumani mu wazima wana jf. Naomba mnisaidie wanajf wenzangu kwa hili. mchumba wangu ameamua kunikimbia kisa sina hela. nimechanganyikiwa nisaidieni sijui la kufanya.
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Hii nimeishuhudia kwa baadhi ya wapenzi hapa mjini tabia ya wapenzi kutaka kujua namba za siri za akaunti za wapenzi wao Naamaanisha ATM Cards, Email address na nyinginezo. Je hii ni FAIR..?
0 Reactions
66 Replies
5K Views
wakati nikiwa nabrowse kutafuta movies za kudownload...nikadownload series inaitwa PICKUP ARTIST...jamaa anafundisha watu jins ya kuwa na confidence,jins ya kuanzisha mazungumzo unapokutana na...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Salaam wana Jf. Nimejifunza kuwa msingi wa mapenzi ni imani. Kwakuwa hayasikiki, hashikiki bali unahisi. Pia vitendo havina uthibitisho wa asilimia mia kuwa ni mapenzi ya kweli. Sasa basi naona...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hebu tuchukulie kwamba umeachana na mpenzi wako. Pamoja na kwamba huyu mpenzi ana ukorofi wake, lakini kilichoharakisha hadi ukaamua kuachana naye ni mpenzi mwingine mpya ambaye unaamini kwamba ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimetafakari Sana Kama ni uwezo wa Mwanaume kumhadaa mwanamke hadi akamkubali au mwanamke tu ndio akikubali ndio mambo yanaenda fresh, Kwa jinsi Matukio ya Maisha yaendavyo nimeona Mengi...
0 Reactions
46 Replies
7K Views
Kuna wakati mwanaume anakuwa na kazi nyingi sana, au anatumia muda wake mwingi kwenye kujisomea, hata pale mwanamke anapoonyesha kwamba anahitaji kuwa naye kwa muda fulani. Kuna wakati pia...
8 Reactions
65 Replies
15K Views
Bismi Allāhi Ar-Raĥmāni Ar-Raĥīmi (¯`·._.•In Loving Memory To My father™•._.·´¯) Date of birth 16th June 1944 Day of death 31 August 2010 I stepped...
11 Reactions
50 Replies
3K Views
Etu nao wanafanya kazi kwa malengo
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Hebu tuchukulie kwamba umekwenda kusoma nje ya nchi, au umekwenda mbali sana na nyumbani kwako kikazi. Umekaa huko kwa miaka miwili . unaporudi, unakuta mkeo ni mjamzito! Hebu niambie ungefanya...
0 Reactions
113 Replies
9K Views
Habari JF! nimemuona hana niya ya dhati kwenye matarajio yetu. Ninapoamua siongei nae kwa siku kadhaa...huanza kunibembeleza...najirudi. Haishi kunieleza shida zake namsaidia kadr ya uwezo...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…