hivi ni kwa nini wanaume ambao wameoa au wanao kuwa na gf wakichoropoka pembeni hawatumii kinga?
naelewa kwa maisha ya sasa ku-cheat ni kawaida sana lakini basi tumia akili na utumie kinga...
Kila mu ana namna yake ya ku protect ajira yake. Kuna wengine wanachapa kazi sana, wengine wanawahi sana kazini, wengine wanazingatia perfection, wengine wanatoa rushwa ya pesa, wengine wanatoa...
Hii kitu inaboa sana, utaskia, mbona leo umekua kimya sana? I hate that, mi navyojua kwenye mapenzi anayemkumbuka mwenzie ndo anatakiwa kum call no mata how many times...!! Hii tabia wanayo sana...
Hebu tuchukulie kwamba, umepata taarifa kuwa, kuna dada binamu wa mumeo ambaye alikuwa ameolewa na kuachika amefariki. Na amefariki kwa ukimwi. Wewe na mumeo mnakwenda kushiriki kwenye mazishi...
Naombeni ushauri wadau,nilikuwa miangaikoni nje ya mkoa ninaoishi takribani miezi miwili,nikiwa safarini siku moja mjomba(mdogo wake mama yangu tumbo moja) alikwenda arusha kikazi na huko ndo...
Salaam wadau,
Nimejaribu kuangalia kwa kina maisha ya ndoa hasa hizi za kiafrika, kipekee za kitanzania na nimegundua kuwa wengi wa wanaume huwafanya wanawake kuwa ni "watumwa" wao.
Yaani wanaume...
Cmwelew m2 huyu jamani.nafahamiana nae kwa miaka ming tu kikawaida kbs,nilimtambulisha mwenza wng,anafaham namtt.cha ajabu km wiki mbili mfululizo hv sahz anapga simu usiku tu akiomba tumit,mara...
Jamani mwenzenu nimejifunza kitu kikubwa na ningependa kushare na nyie wenzangu. Katika dunia hii hakuna ndugu wala rafiki wa kweli. Katika rafiki zako wote ulio nao 99.9% si wakweli na ukitaka...
Dedicated kwa wale wanarudi kuangaika baada ya mapumziko ya Eid ul-Fitr na kuacha wapendwa wao.. wazazi, marafiki, ndugu etc..
Gregory Isaacs "Sad To Know (you're Leaving)"...
Aasalam aleikhum wana wa jamvi najua ni cku nyingi ha2jajumuika pa1 hapa.ok leo nimekuja na hili ni kweli kama una uhakika wa kupata maziwa hakuna haja ya kufuga ng'ombe?kwa maana kwamba kama una...
Amani ya Mungu na iwe juu yenu wapendwa wangu.
Najua nimepotea machon mwenu kwa kitambo sasa,lkn sikua na tatizo lolote ni michakato tu ya kimaisha ndo ilifanya nikose muda wakuwa nanyi wapendwa...
WADAU SALAAMU!!
NAANDIKA UJUMBE HUU SAA NANE NA NUSU USIKU IKIWA NI KILIO KIKUBWA CHA MSAADA.
MIMI NI KIJANA WA KITANZANIA MWENYE MIAKA 29,MHITIMU WA CHUO KIKUU (BACHELOR OF PUBLIC...
Msinishambulie sana kwamba namnyanyapaa la hasha hata kidogo.......................
Nimefanya nae kazi kwa ukaribu na kumsaidia sana katika mambo mengi ya kikazi, lakini...
Nashindwa kuamua ni njia ipi ya uzazi wa mpango nitumie,kwani zinazofaa zote zina madhara makubwa,sindano naogopa kitambi,kitanzi maumivu ya tumbo na kansa,kondom ikipasuka ni hatari na zingine...
Jamani wapendwa wa MMU.. mnisamehe kwa lolote litakalotokea leo.. Mie ni muwazi sana.. nimeingia humu leo nimelewa.. so naomba sana ..muivumilie michango yangu.. Mambo ya sikukukuu... si mwajua...
Chukulia kwamba, watu wa mtaani kwako wanaeneza maneno kwamba, wewe unatembea na mke au mume wa fulani, hapo hapo mtaani. Jambo hilo halina ukweli, lakini uzushi huo unapamba moto pale mtaani...
Simu yangu hupata ujumbe wa aina mbalimbali ukiwemo wa utani kutoka kwa wanaume na wanawake. Utani huo unaweza kuwa wa kimapenzi, kifamilia, kikazi au mwingine mwingi. Kwa kazi yangu utani huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.