Nipo dilema wadau...nisaidieni mawazo,
Mimi ni sijaoa..umri unanitosha,
ishu ipo hivi nina girl frnd ambaye ananipenda sana coz nimepitia c2atn kibao still akastand na mim..at the same time kuna...
Wapenzi wengi haswa dada zetu huogopa au kumwonea haya mpenzi wao kumwambia hawana imani naye kuhusiana na vvu kwa hiyo kumshurutisha avae soksi kabla ya...
Mim huwa ni mpenz wa gazet la Mwananch, kuna kipengele cha kutafuta marafiki na wachumba. Nimefanya simpla research nikagundua wengi wao wanaotoa no zao kwenye magazet kwa ajil ya kutafuta...
Hebu fikiria kwamba, umegundua kwamba, mumeo ameishiwa kabisa nguvu za kiume. Bado umri wenu ni ule wa kati, mnahitaji bado kushiriki jambo hilo au pengine mnahitaji hata watoto bado. Je, kama ni...
Yaani sijawahi kuona demu mbaya maeneo ya posta mpya. Ina maana wanawake wabaya wanazuiwa kuingia maeneo hayo, au ni kuwa demu akiingia maeneo hayo anabadilika automatically kuwa mrembo.
Ifuatayo ni sala ya kuombea chupi ya mume baada ya kuifua:-
"Baba naiombea chupi ya mume wangu anapotoka katika nyumba hii, ivaliwe hapa na kuvuliwa hapa tu, kama ataivua sehemu nyingine iwe ni...
Habari zenu wana JF,
Jamani naomba niulize kuna wanaume wengine wanakua na wapenzi wao chumbani wanafanya mambo yao wao wawili ambayo ni siri yao
Ghafla akito hapo anaongelea kwa rafiki yake yale...
Pengine ni utamaduni au nature, lakini ni mara chache sana mwanamke anaweza kumtamkia mwanaume 'nakupenda, naomba tu wapenzi' hasa kama hawajazoeana sana. Pia mwanamke anapokuwa na hamu ya mchezo...
MKE U
Kati ya mambo muhimu ambayo binadamu yeyote huota siku moja akutane nayo ni siku ya harusi kama kaka Gilbert Mongi na dada Bertha Mlay wakati ya sherehe ya harusi yao Istana jijini Dar es...
imebaki wiki moja afunge ndoa cha kushangaza anamegwa na jamaaa mwingine kabisa. kila cku jamaa anatinga kitaa anakula mzigo huku bwana harusi mtarajiwa akisubiri kwa hamu ndoa! ukweli tabia hii...
Kuna wanawake wengi sana ambao wanagombea kupendwa, au wanajipendekeza ili wapendwe. Hawa ni wanawake ambao wana kasoro kubwa kwenye mifumo yao ya kufikiri au ufahamu.
Unaweza kukuta mwanamke...
Hebu tuchukulie kwamba, umegundulika kuwa una maradhi ya zinaa. Inaweza kuwa kaswende, kisonono, pangusa au hata ukimwi. Halafu tuchukulie kwamba una mchumba, mpenzi, mke ama mume. Halafu una...
Hivi inakuwaje mdada akiolewa tu kama alikuwa na marafiki wakiume wengi na ndo walikuwa karibu kuliko wadada mara nyingi wanapungua kama c kuisha kabisa,ila mwanaume akioa tena wadada ndo wanazidi...
Kuna wakati huko Berlin, nchini Ujerumani, kulikuwa na onesho ambapo wanawake walikuwa wakionesha maungo yao kwa malipo. Wanawake hao walikuwa wakionesha maungo hayo kwa wanaume ambao wanaamini...
Sagacity...When they introduced this forum..it was 4 good to go but there's these group of insane ****** who think ths forum is like their damn facebook walls just postn bull shits all day...
Hebu tuchukulie kwamba, umeoa hivi karibuni, kama miezi sita tu iliyopita. Lakini unapokea taarifa za kuaminika kwamba, huyo mkeo ni mke wa mtu. Unaambiwa kwamba, aliolewa na kukorofishana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.