Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wakubwa shikamoon, wadogo habari zenu!! Naomba kueleweshwa ni umri gan ambao msichana hufika na ku2lia na kuacha kuruka ruka{ku2lia na mpz mmoja}?
0 Reactions
22 Replies
2K Views
kwa asilimia kubwa kwa walioko kwenye ndoa utamani na/au kukumbuka baadhi ya vipengele vya maisha walivyokuwa wakiishi wakati wakiwa bachelor, je ukipewa likizo ya mwezi mmoja kuwa off marriage ni...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Utakuta mpenz wako anakuambia "nakupenda kutoka moyon" au "moyo unaniuma sana" je moyo una hisia, si kwamba kila kitu kinafanyika kwenye ubongo?. Tubadilike tuseme "kutoka kwenye ubongo"...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Ni asubuhi ya Ijumaa Tar. 2/09/2011. Rafiki yangu kaniita Tabata Anasema ana mazungumzo na mimi. Ninapofika nyumbani kwake Simkuti, namkuta mkewe naye anajiandaa kuondoka, anamsindikiza...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wandugu nilikuwa safari,nimerudi nyumbani kwangu usiku wa manane nimemkuta mama mkwe kalala na mke wangu chumbani kwangu,na nina nyumba kubwa tuu ya vyumba 4.niwaeleweje hawa watu na nifanyeje...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Kwa kifupi sana ni hivi. Mwaka 1975 nikiwa mwalimu kijana bado, nilifanya jambo ambalo kwa wakati ule wala halikunisumbua ingawa lilikuwa baya sana. Bila shaka, wale wanaokumbuka mfumo wa elimu wa...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Kukosekana kwa malezi ya dhati ya mama kumeonekana kuwa na athari kubwa juu ya kukua kwa mfumo wa neva wa mtoto na hupelekea kuathiri saikolojia ya mtoto. Hii ina maana kwamba...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
"you don't love a woman because she is beautful,but she is beautful because you love her and the definition of a beautiful woman is one who loves you" thnx.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kiswahili is not among the top 10 sexiest accents, uugh!!! The world's top 10 sexiest accents We recently asked our Getaway Facebook community what they thought the world’s sexiest accent was...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
ndugu zangu naombeni msaada wa kimawazo nilikuwa na girlfriend ambaye nilimpenda sana, lakini kwa bahati mbaya nilichukuwa uamuzi wa kumuacha kutokana na kuona ananitesa sana katika mahusiano...
0 Reactions
45 Replies
7K Views
Wasichana huwa wanasema umenipenda au umenitaman!. Je unaweza kutamani kitu ambacho haujakipenda?. Mi nashndwa kuelewa kuwa unaweza kumtamani msichana ambae haumpendi. Nawakilisha.
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Katika rabsha za hapa na pale jamaa kalikwaa gono kwa nyumba ndogo. Baada ya siku kadhaa maumivu makali, kaenda hospital kaambiwa ana gono. Kapewa ma-antibayotik, kapona but siku chache baadae...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Nyie wadada mnaonyemelea waume za watu tunaomba kesho siku kuu muwaache wanaume wakae na familia zao na kusheherekea. Kesho muwe wavumilivu mtafute shughuli yoyoye tu ya kufanya. Acheni ku beep na...
1 Reactions
72 Replies
5K Views
Habari wadau. Naamini kila mtu kwa namna moja au nyingine katika maisha yake alishawahi kuomba msaada kwa ndugu yake akapata au asipate. Na katika kuupata/kutopata msaada huo kuna mambo fulani...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna jamaa mmoja jana amefanya kituko..........alikuwa kakaa kijiweni na rafiki zake, ghafla kwa mbali akamuona mama wa mkewe akija na njia ile kilipo kijiwe chao. Jamaa akakimbia na kujificha...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Nakumbuka zamani kama ulikuwa unataka kunifanya nizimie, niweke mahala na msichana nnayempenda! Sina uhakika kama it was fear au kutokujiamini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani waungwana wapenzi ukurasa huu wa jamii naombeni msaada.minasumbuliwa na utiwa mgongo miaka mitano nazaidi nimehangaika kila hospitali na c.t.scan nimfanya mara2hakuna tatizo lkn ninaumwa
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kuwasiliana kwny simu au online tu bila kuonana?yale ya kusimama gizan yani meeting yenu usiku tu mchana uko busy.au kuweka bayana wa2 wote wawaone na kutambua km ya wema na daimond,au yale...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Jamani hakuna ambae si shahidi wa maswala ya mapenzi kwamba ni kwa jinsi gani yanavyotesa, lakini, ni nani sasa ambae anaweza kuwa ndo anaaminika kuwa na upendo wa kweli? sorry nitakuwa nje...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Kuna Hii Hali imezoeleka sana kwamba Chanzo kikubwa cha Matatizo katika ndoa Nyingi ni Mawifi, Mama Wakwe. Sijawahi kusikia Mashemeji wakilalamikiwa au Baba wakwe wakilalamikiwa. Wanaolalamika...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…