Jaman wana jf nina tatizo moja kwamba kila msichana ninayeanzisha naye mahusiano ya kimapenz huwa hajatulia na mpaka sasa nina miaka 23 nahitaji mchumba wa kufumga naye ndoa je nifanyeje?
Je, umeshawahi kusikia mtu anashitakiwa kwa kuzini na mke wake wa ndoa? Ni swali la kuchekesha kidogo, lakini ukweli ni kwamba, jambo hilo, limeshawahi kutokea.Wapi na kwa nani? Ilikuwa kwenye...
wana jf,haka kamchezo sio kazuri
leo nimepewa kisa na mshikaji wangu hapa nilipopanga
mshikaji kamtokea demu hapa jirani kitambo kabla mie sijahamia na akafanikiwa kuwa na huyo demu ila baadaye...
Natamani tu-share na wewe mwanajamvi,
Una-deal aje na mtu mwenye "bad moods"?
Tupeane xperience!
As tunavyojua kuwa mtu akiwa kwenye "bad mood"
Ni anaweza kukukwaza, ni anaboa wakati mwingine...
hey ladies...
there is something that i fail to comprehend. most ladies claim to know that most guys just want sex but yet wen a guy is upfront abt wanting to have sex with u, you take offense to...
Licha ya kwamba watanzania wana matatizo mengi hasa ya kiuchumi na kisiasa bado tatizo la mapenzi, mahusiano na urafiki ni changamoto yao ya kila siku. Utashangaa nikikwambia kuwa MMU (Mapenzi...
..Habari ndio hiyo, Wanawake sasa wataweza kukojoa wakiwa wamesimama kama Wanaume baada ya Ugunduzi wa kifaa hiki.
Duh hizi haki sawa sasa zinapitilizasource: JD Blog
Wapendwa MMU,
Salaam kwenu wote in the name of love.
Wadau, kuna kijana mwenzetu mmoja amekumbwa na mkasa mzito saana. Miaka kama 2 imepita, akiwa kwenye daladala aliachiwa mtoto na mwanamke...
Mine are:
1. My daughter - she's my #1 fan, my pride and joy, my flesh and blood, my everything.
2. My parents - what can I say...If it wasn't for them I wouldn't be who I am today
3. Water -...
Asallam aleikum wanajf. Jamani kuna shemeji yng alimpa msichana mimba na kumkatisha masomo na kuamua kuish naye tn bila kuwajulisha wazazi na ndugu zk. Wazaz wa mume walipogundgua wakamshaur...
Hello JF!
Nilikuwa mtu wa kubadili wanawake kama nguo, sikuwahi kuwa na upendo wa dhati ktk maisha yangu kwa wanawake, but tangu nimeanza kutumia hili jukwaa la mapenzi nimejifunza mengi na...
Wapendwa WanaJF.
Natumaini wote mu wazima........naombeni msaada wa namna ya kushauri.
Ni rafiki yetu kifamilia, kwa muda mrefu yeye na mumewe wamekuwa kwenye migogoro ya hapa na pale ya kindoa...
Mimi ni msichana mrembo, msomi, aged 26, kuna kaka mmoja (30) ana mke wake na watoto wawili,he is handsome, has a cute wife ,familia yake ina furaha,
Mada> huyo people kanizimia kitambo na for...
Habari za zenu wakuu nimamkini mpopoa. Wahenga walisema sikio halina mpaka. cku ya leo nimepata kusikia malumbano ya wawili ambao nawafahamu kiasi ila walikuwa wanalumbana kuhusu mambo ya kudu...
Source: Power FM Radio
Katika kipindi cha PATAPATA leo hii asubuhi, kipindi ambacho kinarudiwa jioni kila siku saa 1.15 nimesikia simulizi ya binti mmoja mwenye umri wa miaka 16 aliyefumaniwa...
Nilipoanza kazi nilionywa na wenyeji wangu juu ya huyu mama mfagizi wa hapa ofisini. Yeye ni mke wa mtu, na ni mama mtu mzima. Sijui kutokana na ugumu wa maisha au tabia tu, alikuwa na mchezo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.