Uzoefu unaonyesha watu wengi hufumba macho wakati wa kupiga denda na wakati wa kubusiana,kama unabisha jaribu kupiga busu uone kama hautafumba macho,swala ni kwanini naombeni majibu
Ushauli kwa vijana ambao hamujao zingatia kuchagua wachumba, achana na wasichana wenye madigree wasumbufu kinoma, kama unaye pole na muombe mungu atakusaidia uishi nae. Am sory for inconviniences...
Kwamba wanawake wengi ambao wameolewa wanapoamua kutoka nje, hutoka na waume za watu, na sio wanaume ambao hawajaoa.
Haifahamiki sana ni kwa nini wanawake walioolewa hutoka nje na wanaume...
Jamani hebu pata picha, nimetolewa kijijini nimeletwa mjini kuolewa na mtu ambaye hata sijawahi kumuona na simfahamu kabisa. Mtu huyu ni mlevi kupindukia, haachi matumizi nyumbani, tunadaiwa...
Suppose una miaka kama sita ndani ya ndoa, na una watoto pia.....! Mwenzi wako amekuwa na siri kubwa ambayo hajawahi kukushirikisha, nawe pia hujawahi kupata....! It is obvious that people do not...
Tangu february nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu mzozo wa libya mpaka sasa ambapo vyombo ya kimagharibi vinadai kuwa majeshi tiifu kwa kanali M Ghadaffi yanadhibiti sehemu ndogo ya mji wa Tripol...
Jamaa yangu yuko nje ya nchi na mkewe yuko tz. Sasa anasema ati wanatumia webcam kufanya mapenzi. Wanakuwa wanaongea na kuonyeshana sehemu za siri huku wakizisugua hadi kila mmoja anakojoa. Halafu...
Chukulia kwamba mpenzi wako anakosea mara kadhaa kutaja jina lako. Inawezekana siyo katika hali ya kawaida, bali hata wakati wa kushiriki tendo la ndoa. Je ungefanyaje kama jambo la aina hiyo...
Kila niangaliapo wanaonizunuka nahisi kuibiwa kama wanavyoibiwa wao. na ukiangalia kwa undani wengine wanajua kuwa wanaibiwa, wengine wanahisi lakini pia wapo ambao totally hawaelewi kama...
Assume one day ukaenda kupima damu ukakutwa umeambukizwa HIV au nduguyo ametest positive(just assumption), utaendelea/utamshauri kuwa na mipango ya kuoa/kuolewa na kuzaa watoto? Kwa nini?
Ni wazi unawajua wanawake ambao wanaishi katika ndoa ngumu za manyanyaso hadi unafikia kuuliza, ‘hivi huyo mwanaume amempa kitu gani kikubwa hivyo?' Wanawake hawa nao wanakuwa wamefikia...
First of ol,nawapenda wanajf,..jaman,mbona hizi headings cjui titles sometimes na maelezo vinakuwa haviendani,2navutiwa na titles maelezo daah,ndo nini sasa
Habari tena wanajf..namefanya tathimini,wanajf nimegundua tunamasihara,yani tupo kwa jili ya kupoteza muda.wachache sana utakuta wanaongea serious,jamani mtu mpaka aeleze tatizo lake ni kwamba...
Za mida hii wanajf.nisaidieni kimawazo...nilibarikiwa kuwa na mtoto niliezaa na mzaz mwenzang,mtoto akiwa na miez miwil akanibwagia mtoto na kwenda kuolewa.nililea mwenyewe mpaka mtoto kafika umri...
jamani mie nataka kuuliza wanaume wanawezaje kufukuzia demu kwa muda mrefu au kutumia pesa katika kutuma sms au kumtoa outing na vizawadi vidogo vidogo? mie nimejaribu lakini baada ya siku 3...
Fahamu kwamba mwanamke uliye naye ana siri nyingi alizoficha zikiwemo chache ambazo hukuwahi kuzifikiria hata mara moja.
Je, ulikuwa unafahamu kuwa kila kitu mwanamke anachonunua kuanzia nguo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.