Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Hebu tuchukulie kwamba, ukiwa umekaa nyumbani kwako, anafika mgeni. Huyu mgeni ni mtoto wa miaka 10 hivi. Mkeo anamkaribisha na anaingia sebuleni ulipo. Anasalimia na baada ya salaam, mkeo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
mwanaume kunyonya mashine ya m'ke/ a man to lick her g/friend's ass?!
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Mpenz wangu,ambaye ndiye mtarajiwa wangu nampenda sana but problem ni kwamba kinywa chake huwa kinatoa harufu flan mbaya but huwa naogopa kumwambia! Ni kwamba me na yeye hatuish pamoja,but...
0 Reactions
85 Replies
12K Views
Kuna jamaa mmoja kanisimulia kitu ambacho kwangu mimi ni ajabu, ana wanawake kadhaa nje ya ndoa, mke wake amekuwa akifuatilia sana simu yake. Sasa jamaa kaamua kubuni mbinu kwa kuajili katibu...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Mkeo mahari umemlipia laki tatu, gari yako umenunua milioni 200. Rafiki zako wakikuazima gari unawapa, vipi ikitokea mmoja akuazime mkeo kwa dakika moja tu?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimefikiria haya maisha nimeona ni mafupi sana kutokana na mambo yanayotokea katika nchi yetu na katika jamii kwa ujumla ajali/ufisadi na magonjwa na mambo mengi mengi!! nimetamani sana  JFs...
0 Reactions
0 Replies
799 Views
Wapendwa marafiki salamu, Jana nlimpigia simu rafiki yangu. Alipokea akiwa na simanzi kubwa. Kumbe ndio alikuwa kapokea habari ya msiba wa kaka yake. Alikuwa analia na kuongea kwa shida...
12 Reactions
295 Replies
16K Views
Hebu tuchukulie kwamba, mzazi wako wa kike yaani mama yako anafanya mambo ambayo unaamini anakudhalilisha. Hebu tuchukulie kwamba, umejua au umepata taarifa kwamba, mama yako anatembea na kijana...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Nawasalimuni wote, niko kijijini kwetu, watu ni wakarimu, wenye upendo na wadadisi mno. Amini usiamini JAMII FORUMS inafahamika hadi huku. Wenyewe wanasema JF ni mtandao wa Kikwete unaotumika...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Siko hapa kuwakebehi wanawake ama dada zetu lakini hii habari ni ya ukweli na iko-based na my own personal experience huko ughaibuni na kwa sasa hapa Dar. Nimejaribu mara kadhaa kutafuta rafiki...
1 Reactions
65 Replies
7K Views
Mila na desturi zetu zinatufundisha au kutuelekeza kwamba jinsia zetu zinasema pia kuhusu thamani zetu. Tumeambiwa na kwa kiasi kikubwa tunaamini kwamba wanawake ni dhaifu kwa wanaume. Neno...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Jamani huu mwimbo nimeupenda sana una mafundisho flani juu ya mapenzi embu sikilizeni na nyie Lady Jay Dee Ft: Mr. Blue - Wangu (www.bongostarlink.com) - YouTube
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natanguliza mblele shukrani zangu za dhati kwenu wanajamvi.... Mwanzo nilianza hivi; Naomba msaada wa utaratibu katika kuomba uchumba kwa wachaga wa kibosho,. Ikafata hii; Naombeni msaada katika...
10 Reactions
45 Replies
4K Views
Kijana wangu wa karibu kaniomba ushauri.Yeye anaishi Dar na kapata mpenzi anayeishi na kufanya kazi Mtwara. Anasema anampenda sana na Inshallah wakijaliwa angependa amuoe.Tatizo nii hii distance...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Jaman,kukupenda kote na umaskini na shida ulizonazo,nikagombana na ndugu zangu,nikavumilia yote,2kashiriki kwenye furaha.wote waliamini tunapendana tho sikuwah kukuamin lakin nilikpenda kweli.leo...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Kila mtu ana kumbukumbu ya mahali au mazingira yaliyomkutanisha na mwandani/honey/mahabuba/mpenzi n.k wake wa sasa., mfano mie nakumbuka kilichotuunganisha ni "madesa" kwa wale waliopitia...
0 Reactions
120 Replies
14K Views
Kama kubaka ni hali ya mwanaume au mwanamke kulazimisha kufanya tendo la ndoa bila hiyari ya mwingine, basi wanawake wengi sana walioko kwenye ndoa hubakwa na waume zao kila siku. Kubakwa huku...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tabia ya wewe unapokua faragha na mwenzi wako.. either mmepumzika chumbani....mmetoka out. may be fo lunch... au matembezi tu ya kawaida.. Alafu wewe watumia muda huo kuanza leta habari za Bosi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimpe? Je, ni muhimu wanandoa kusalimiana mnapoamka asubuhi?Kwanza fahamu kwamba wanandoa wanapokaa muda mrefu baadhi ya vitu huanza kuchakaa kimapenzi. Hata hivyo upendo na wema husaidia...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Sunday, August 21, 2011Usijaribu! SWALI:Hello mimi ni dada ninayeishi Iringa nina umri wa miaka 18 kwa bahati mbaya mpenzi wangu amenipa mimba na kutokana namna alivyo baba yangu Naamini...
2 Reactions
47 Replies
6K Views
Back
Top Bottom