Pengine waweza jiuliz a kwa nini wanaume wengi hata wakutane na wanwake kama malaika wasiojua kutoka nje lakini wanashindwa kujiheshimu??je wewe ni mmja wa haka kagonjwa??
Wenye uzoefu...
Ramadhan kareem!
kama ilivyo ada watu tunapenda mambo ambayo wenzi wetu wanayapenda hasa katika suala la mapenzi.
Lakini je ushawahi kujiuliza udhaifu ulionao mwenyewe?
Haya sasa tuambiane...
mh wana jf nisaidieni..mimi naishi na mjomba wangu na yeye ndie kama mzazi wangu kwa hapa jijini,lakini nina mama yangu mzazi yupo mkoani huko na hapa jijini nasoma chuo mwaka wa pili naingia wa...
du hii migao imezidi huku arusha leo ni siku ya tatu hatujaona umeme , mafuta pia mgao shell zote zatoa mafuta kwa mgao , maji pia mgao bila umeme maji hakuna huku, chondechonde msije kuleta migao...
Nipo hapa kijiweni kama kawaida nang'arisha viatu,washkaji kama kawaida wamejaa kijiweni wakilonga kila mtu alilonalo analiwasilisha na mijadala imepamba moto hapa.Kwa kweli kijiweni kuna raha...
Wana JF, niliwahi toa mada yangu hapa kuhusu ufungaji wa ndoa kwa maharusi walio wengi siku hizi unakuta tayari bibi harusi ni mjaa mzito, sasa hii ndo staili ya kisasa? hebu fungua hiyo linki...
Bila shaka wewe msomaji unayesoma hapa utakubaliana na mimi kuwa umeshawahi kuzisikia kauli hizi kutoka kwa wanaume pale anapozungumziwa mwanamke mzuri kwa sura na umbo.
Kwa kawaida vipimo vya...
Hapa Tanzania ikitokea ikatakiwa watoto wapige kura za siri kumchagua mzazi wanayempenda sana je kati ya baba na mama yupi atapata kura nyingi zaidi katika makundi yafutayo na ni kwanini unafikiri...
asalam aleikhum ! asee ni hiden fact kwamba wengi tumezoea kuwa wivu ni mali ya mapenzi yamhusuyo mwanaume na mwanamke waliokatika mahusiano ya mapenzi lakini tafakari situation hizi,i will make...
mimi ninakaa na kaka yangu na shem ambaye pia tunaishi na mtoto wa dada yake (huyo shem) ambaye mimi nina mahusiano naye ya mapenzi siri now ni kama mwaka 1 umeshafika,nileinda chuo...
Inashauriwa kuwa ukimfumania mwenzi wako-mke/mume, usipige kelele ili watu wasijue,maana watakucheka kuwa mpaka mwenzi wako kafika hatua hiyo wewe una dosari mahali au huwajibiki ipasavyo ndio...
Lilia kibali cha mungu
pengine weewe ni wale wanaohudhuria harusi za watu tangu uzaliwe wewe ni kuhudhuria
na sasa unazeeka huna mke ama mume leo nakupa njia ya kumwomba mungu akusaidie hili...
Wanajamvi hivi ni umri/muda gani wa watoto wanaozaliwa wanastahili kupishana kati yao ili waweze kupata vizuri huduma stahiki na mpango mzima wa afya zao?Je kuzaa nako kunastahili kuzingatia umri?
Kuna rafiki yangu maisha yake yalikua mazuri sana alikua mjasiriamali mzuri amepata hela za kutosha.
kwa bahati mbaya miezi kama 4 nyuma alivamiwa na majambazi wakampora kiasi kikubwa cha hela...
Habarini wanajamvi wote lakini zaidi waishio Arusha,..
Leo ninaleta ombi langu la dhati kwenu,. lakini kabla sijawasilisha nieleze kwanza kwa kifupi kilichonisukuma humu leo..
Katika haya maisha...
Nilikuwa field wilaya moja siku wiki chache zilizopita, nikiwa kwenye utendaji kuna dada aliniona akavutiwa nami ila sikuwahi kuongea naye. Kuna rafiki yake ambaye nilifanikiwa kufahamiana naye na...
Ndugu wana MMU,
Hivi majuzi nilipata nafasi ya kutembelea mitaa ya watu wa kawaida na kukutana na maisha halisi ya Watanzania. Nilijihisi na kukubali kuwa nimetengwa (detached) na maisha ya...
Mara nyingi haya nayasoma kwenye magazeti, ila yowe nililosikia juzi kutoka kwenye nyumba ya jirani yangu na kupelekea tuamke tukidhani kuna tukio baya limetokea vilinifanya niamini kuwa haya...
Habari wakuu wa jamvi,
Jamani hivi watu wametofautiana sana,unajua kwanini nasema hivyo?utakuta kuna mtu yeye anapenda kulia gizani,yaani giza totoro ndio furaha yake,mwingine yeye anataka angalau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.