Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Hello jf!ebana,yan me kati ya wasichana wangu wote nlio na uhusiano nao,anae nichanganya zaidi ni kicheche,yani huyu hata 2kiznguana kidogo bac me nitajishusha yaishe,huyu ndo nina hisia nae,huyu...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Title yahusika ! song of the day by Jide, i just dedicate to Jf members !
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wandugu mwenzenu nimetokea kumzimia mdada mmoja vibaya.na yeye anajua hilo,sasa celewi kwa upande wake ni hivyo au la..tatizo lingne ni kwamba yuko mbal na ninapoish yaan mkoa mwingne.na nikimtaka...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
caught live on radio cheating
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Habar JF! Siwezi sema nawachukia ila nimesema nimewaona rafiki zangu mpaka wengine hunipigia simu niwashauri. Huku europe ukiwa nae mpenzi huwezi kuwa na stress kwa kuwa anakujali na wewe...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Natumaini wana JF wote muwazima. Mojawapo ya mambo yanayonivutia katika maisha ni kusafiri nchi, ama sehemu mbalimbali na kuiona dunia na kujifunza mengi. Vilevile napendelea sana mambo ya...
1 Reactions
76 Replies
6K Views
Wana jamvini ripoti pokeeni. Kwanza kabisa nashukuru sana kwa ushauri wenu-yote yenye mitazamo tofauti, kwa kweli imeniwezesha kujitazama upya kama tatizo na si kumwangalia mtu mwingine. UAMUZI...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zenu wapendwa! Leo naomba niwaulize swali.Umekutana na mwanamke/mwanaume ambae aliwahi kua kwenye ndoa na anakwambia bila maelezo ya ziada!Baada ya kua karibu sana unaona uulize kidogo...
0 Reactions
206 Replies
15K Views
Nilikua naangalia kipindi cha wanawake live wiki hii chanel 5, nikakutana na maneno kuwa mashuga mami yanapofanya mapenzi na serengeti boy wanawanyonya damu kwa sababu ya tofauti ya umri wao...
0 Reactions
18 Replies
12K Views
Hongera kwa kazi kwa ww unayesoma hii post kwa sasa. Kwa kweli mm binafsi nashangazwa na tabia ya mpz (mke mtarajiwa) wakati tuwapo tumelala ktandan mwenzangu huwa swala la kulala upande wa...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
kwa upande wangu mimi naona kuna ukweli 85% but kwa asian women ni 100% ukweli........wewe je ni maoni tu..
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Imepita miaka kama mitatu hivi niko katika urafiki na bibie lakini hatujawahi kuwa wote kwenye 6 x 6. Mara ya kwanza nilipanga naye lakini baada ya kupata kilaji sawasawa mi mwenyewe niliondoka...
0 Reactions
60 Replies
39K Views
Jamani wadau hii imekaaje katika mahusiano?Eti ukiwa na mpenzi wako(she) halafu kwa hali isiyo ya kawaida ikatokea maporomoko ya hapa na pale ,then yeye akaanza kukupiga mkwara usiiguse simu yake...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Ni siku ya watu wanao tumia mkono wa kushoto (mashoto or left handed). Nakumbuka nirafiki yangu alikua akipigwa sana na mwalimu pale alipokua anaandika kwa kutumia mkono wa kushoto,au akinyoosha...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Share on Facebook Birth Control Pills Affect Women's Taste in Men: Scientific American See...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Jana katika harakati za kutafuta mafuta na kidumu nikajikuta nakatisha maeneo ya Mwananyamala. Kwa kweli nilicho kiona pale siku amini macho yangu kweli ni kizazi kipya au ndo hivyo watu wanapenda...
3 Reactions
33 Replies
13K Views
Hivi ni kwa nini wadada wengi huwa wanapenda kuchezea nywele za vifuani mwa wanaume pindi wanapokua faragha?
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Mpenzi wangu ananikatia simu, anaizima,nikifanikisha kuongea nae anakata atakama nimempigia mwenyewe, sometime anapokea wala aongei, jamani sijui nifanye nini? Nishaulini very sereous
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Baada ya kusimamishwa kazi mambo mengi yalikwama kiasi cha kutimuliwa kwenye nyumba nliyokuwa naishi anga za Sinza. Mama mkwe alinibembeleza sana nikakae nyumbani kwake Tegeta ambako ana nyumba...
0 Reactions
58 Replies
6K Views
Wakati watu waliokuwemo kwenye ndoaa uchunguzi umeonyesha wengi wanatamani kutoka huko kwa namna yoyote ilihali wawe huru pamoja na kutoka kuna wengine wanafikiria je nikitka ntaweza kuolewa tena...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom