Kuna mdada ambaye nimetokea kumpenda sana, at first hakuonekana kuniaccept akanishauri kusaka girl friend.
Niliufuata ushauri wake na kweli nakabahatika kumnasa mdada mwingine. Cha ajabu huyu...
The friendship we have is so rare to find,
We hate to see each other in a bind,
We have made each other laugh so hard we have cried,
We feel each others pain if we are hurt inside,
We always can...
Mara nyingi kinamama mnatusimanga kuwa wanaume ni dhaifu, hatuna uaminifu kwenye kwenye mapenzi in short mnasema we are born cheaters,ngojeni sasa niwaeleze sababu: Wakati ninyi wanawake mmeumbwa...
Do you remember Ocol?
He said,
What is Africa
To me?
Blackness,
Deep, deep fathomless
Darkness;
Africa,
Idle giant
Basking in the sun,
Sleeping, snoring,
Twitching in dreams...
Mambo ni aje wana JF!!
Hatimaye nimerejea tena jamvini. Sio siri huu mwezi naona dada zangu wengi wanavaa mavazi mazuri na ya kupendeza!!
Mavazi yenye heshima mbele za watu na yanayositri maungo...
Wanajamvi natumaini mu wazima wa Afya!<br />
Nimekuwa nikifiria sana kwa muda mrefu na nikaona ni vizuri kushirikiana mawazo,<br />
Ndugu yangu MKESHAJI AMEWEKA CLEAR MAWAZO yangu kwa thread...
Rest.
Take time to refresh your body, mind and spirit.
Throughout the day, find times to stop and breathe.
Stretch your body.
Get up and move.
Plan longer get-aways for total renewal.
You...
Habari zenu mabibi na mabwana? kweli hapa jamvini kunavitu vingi sana nimevipata kutokana na michango yenu kwenye topic au maswali mbalimbali ninayo uliza sasa kunakitu kimoja kinanichanganya sana...
Waungwana naomba msaada wenu, naishi na virusi vya ukimwi yapata miaka 7 sasa,mwenzi wangu ametangulia mbele za haki miaka 4 iliyopita.
Nahitaji kuowa tena, nitampataje atakaye nikubali na hali yangu?
Mwenzenu nimekaa na kutathimini historia ya mapenzi yangu tangu nilivyoanza mahusiano ya kimapenzi, nikagundua kuwa wanaume ambo niliwapenda sana hatukuweza kudumu kwa mda mrefu, ila ambao...
Mimi nafanya kazi taasisi moja ya serikali. Ktk ofisi yetu niko mm na dada mmoja sijaoa na yeye hajaolewa na tumetokea kupendana sana, binti kwa kwel anatabia nzur kwa ujumla yake mpaka kunawatu...
tulikua tunawasiliana kabla ya kuonana na baadaye tukapanga kukutana na kuishia kuwa wapenzi,ni mwaka miwili sasa niko nae. mwanzoni sikuona tatizo,tatizo lilianza pale yeye mwenyewe alipanza...
habari wanajf!kweli cjui huyu wifi yangu ana matatizo au vp maana tangu aolewe ni mwaka mmoja tu umepita lakini ye anachowaza ni lini atapata mimba maana keshatuambia ana mimba karibu mara tatu...
Wasalaam ndugu wapendwa.. Nina mpenzi wangu kwa zaidi ya miaka mitatu,tulifahamiana wakat huo yeye akiwa bado chuoni,nilimpenda kweli na yeye nafikir alinipenda..tumeendelea kwa...
Mwanzon tulikuw tukiend had gol 6, kw ss n bao 1 tu mpak kesh yke ila yy anakuw hoi, lkn baadae mm mnara unakuw full ila nakuw cn ham y kuendelea nay, badal yke huw nataman kupat ki2 kingin lkn...
Na Luqman Maloto
Tupo kwenye Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Leo ni chungu cha 13. Jumatatu tutakuwa tunazungumzia habari ya kuugawa mwezi. Namshukuru Mungu kwamba tunaendelea kukutana kwa njia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.