Mimi naona hizi kitchen party hazina mashiko au tija kabisa haswa kutokana na wadada wengi kutojifunza lolote la maana na kutia aibu pindi waingiapo kwenye ndoa. Utakuta eti wanafundishana kukata...
WE SHALL REMEMBER YOU SIS
KAMA MUNGU ANGEOMBA WATU WA 5 WA KUWARUDISHA DUNIANI NINGEANZA NA BIBI YANGU MZAA BIBI
NA KUMUOMBA ANIRUDISHIE DADANGU REGINA HAKIKA NAJARIBU KUKUMBUKA KILCHOTOKEA...
Khabari ya Jumapili kwa mpigo,
Kuna gynecologist mmoja maarufu sana hapa nchini anasema kati ya wanawake 20 wenye umri kati ya miaka 16 – 35 wanaopelekwa kujifungua, 15 hujifungua kwa njia...
Jew ewe wakumbuka nini ?
Nakumbuka siku nilipolala na mabinti wawili single room separated by pazia. Baadaye mmoja ameolewa na rafiki yangu na mwingine amekuwa rafiki yangu wa karibu. Nikiwa...
Heeelllow wana j to the f.
Yaani ukiambiwa uswazi kuna vituko,basi ndo hivi:-
si unajua wajawazito hupendelea vitu mbalimbali ambavyo kabla ya ujauzito alikuwa hatumii...
Habari wandugu, nilikua na mpenzi wangu kipindi cha nyuma miaka 8 iliyopita
kwa bahati mbaya tulitengana baada ya mimi kusafiri kwa muda wa kama miezi 6
kurudi nikapata tetesi kuwa anatembea na...
Walai wanaume hasa wenye ndoa mnaboa kweli yani huoni hata aibu kumfata msichana unamtongoza afu unamdanganya eti ntakuoa wakati tayari una pete kubwa kidoleni afu ukimwangalia mkewe huwezi hata...
Yana siku zake.....
Wapo wanawake huweza kufika kileleni kwa kusisimuliwa matiti yao tu.Asilimia moja ya wanawake huweza kufika kileleni kwa kuchezewa nyonyo na waume zao au wapenzi wao.Hili...
WanaJF hususan wanaume wenye majogoo yasiyopanda mitungi,
Nataka niwatie moyo kwamba wanaweza kupona kwa kutumia asali pure isiyochakachuliwa. Nina ndugu yangu mmoja ana miaka miwili tangu aoe...
Wana jf wenzangu poleni sana na majukumu ya j3....Wengi najua mmefunga ofisi na mnajiandaa kwa kwesho,ila co mbaya nikiwashirikisha katika hili...Naombeni ufafanuzi juu jambo hili,hivi katika...
kuingia gheto anaingia kiwiziwizi
sababu anaona aibu
hata kiss la shavu njenje hataki
nikimshika mkono mbele ya watu anakasirika
nikimlazimisha anasema mi staki bhana
nikimtambulisha kwa...
hazina akili!!!
utaitelekezaje familia yako kwa penzi la kimada???
mbona wanawake tunacheat ila hata siku moja hatutelekezi watoto tuliowazaa....???au kwa vile hamzai kwa uchungu kama sisi hivyo...
KILA MTU ANA MPANGO WA MAISHA YAKE PENGINE UNAWEKEZA KWENYE UJENZI WENGINE KWENYE BAR NA SSASA
KUNA UWEKEZAJI ENDELEVU AMBAO SIJUI NA WEWE NI MMOJA WA WEKEZAJI WASIOLIPA SERIKALI MAPATO
VISURA WA...
My wife took off her ring after an argument. But there had been instances of arguments for about 2 months with minimal solutions. We have been together for more than 10 years. does this mean that...
Inavyoonekana katika tendo hili la ndoa,, wanaume ndiyo huwa wanasikia raha saaaaana kuliko wanawakem na ndiyo maana huwatoa kwa pesa wapenzi wao. Hivi mwanamke mzima unajisikiaje unapomegwa na...
Jaman wadau mi najiuliza hata sipati jibu wenzetu majuu mwanaume akiku-cheat mara moja tu hiyo ndoa ndio byebye, hata kama ni miaka 2 nyuma ukijua leo ndo imetoka hiyo...... lakini huku kwetu...
Wiki iliyopita nilipata bahati ya kutembelea Arusha, pamoja na kwamba sikupata bahati ya kukutana na wana JF wa pale Arusha nilifarijika sana kwa upendo wao hasa makaribisho yaliyoonyesha kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.