Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

BOB MARLEY'S OWN WORDS ON LOVE... hope you learn something.... "Only once in your life, I truly believe, you find someone who can completely turn your world around. You tell them things that...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Nina girlfriend wangu ambaye nimekuwanaye kwa miaka mitatu sasa.na tumeishi muda wote kwa upendo.jana alikuja kunitembelea,wakati wa maongezi na stori za hapa na pale ndipo nikashka simu yake ili...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Naomba wana MMU mnijuvye...Hivi kiruka njia ni mtu wa namna gani?? Babu DC!!
0 Reactions
48 Replies
10K Views
Kuwa shoga au kubadili jinsia kutoka mwanaume na kuwa mwanamke?
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Wasichana wao mshipa wa aibu ulishakatika...... Kiasi kwamaba hata kama mna Kiss(denda)... Binti anatoa mimacho tu ka balbu...yaani hata aibu ya kuzuga kwao ni zero!! msaada tafadhali... nipo...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Can this be really? To me, ni ungamo la kiibirisi!! KAMA WEWE NDIO MUMEO UNAFANYAJE?? Mke wangu mpendwa! Nimekuwa nikiandamwa na msongo wa mawazo siku za karibuni kwa kuwa sasa nadhani...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Ndoa za siku hizi hazidumu, kina dada wengi hawajui mapishi, hawawezi kujisafisha na kuweka nyumba zao katika hali ya usafi. Hawajui mahitaji ya waume zao, hawajui kuwatunza wala kuwaridhisha...
0 Reactions
46 Replies
8K Views
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
0 Reactions
17 Replies
4K Views
message for those who wish to have real love!! Dont take my word, Little bird, For I'm just like a child That speaks to imitate, Repeating after its mate ''I love you, I love you'' These...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwili wa binadamu ni wa ajabu maana kunamaeneo maalumu ambayo yakiguswa lazima msisimko upande. Wengi wamezoea kuwa hilo lipo kwa wakina dada tu, ila unajua kuwa kuna maaeneo ukiyagusa kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nina rafiki yangu alitengana na mumewe kwa miaka 6 sasa na mwaka jana wamepeana talaka rasmi.Huyu dada ni m2 strong sn kwani alipotelekezwa alijikaza akajisomesha huku anatunza watoto wake na sasa...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Hii ni kwa wale wanaofahamu tu!!Km hujui piga kimya...Hey wanajamvi mi nina swali la kimapenzi ambalo ni- Hivi ni mwanaume gani ana msisimko mkali wa kimapenzi kati ya aliyeenda suna na yule...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Nnamiaka 34 nilioa 2007!nnawatoto wawili.mke wangu amekua tatizo tangu sikutumeoana,baada yakuoana nae week 3 tu nilianza kujuta mpaka tukakutafuta talaka.tumekua tukigombana mara nyingi mpaka...
0 Reactions
101 Replies
12K Views
Niko kwenye mahusiano na mdada wa miaka 28, uhusiano wetu sasa una takribani miezi 9. Kimsingi tumekuwa sawa kwa muda wote lakini kuna kitu kimoja ambacho kwangu kinanishangaza kuhusu huyu mpenzi...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
salam zenu ndugu, mie ni binti wa miaka 22, nimekuwa kama guest member kwa muda mrefu. Sasa nimeamua kujiunga rasmi na forum hususan MMU. Nipokeeni jamani.
1 Reactions
50 Replies
4K Views
Wapenda wana JF habari za leo, Rafiki yangu kazini leo kanieleza mkasa wake nimemuonea huruma sana naombeni ushauri wenu wenzangu. Huyu dada alikua na mpenzi wanapenda sana penzi lao lilidumu...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa wale ambao ni so experienced kwenye masuala ya uwindaji, hebu tugawane haya mauzoefu. Mara nyingi mwanamke akikusumbua sana kukupa uroda, siku akija kukupa Unakuta sicho ulichotarajia...
3 Reactions
43 Replies
5K Views
Heshima yenu wakuu!!nina galfrd wangu hana imani na mimi kabisa,sababu kuu ni tangu alipokutaga txt kwa 4n yangu nime2miwa na mmanzi mwingne...nifanyaje ili kurudsha imani kwake ukizingatia...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
jamani tuacheni matani,mme wa mtu au mke wa mtu ana rahaa yake uwii au nyie mnaonaje?
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Usiku mwema jamani nawatakia good night na my wife zenu. Mimi nami ndo naenda kuangusha na my wife wangu
0 Reactions
60 Replies
4K Views
Back
Top Bottom