Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Kwa faida ya wewe mwenyewe, watoto wako, mwenzio na familia yako kwa ujumla. Inashauriwa kuwa inapotokea wanandoa wametengana kwa mmoja wao kusafiri kwa kipindi cha angalau miezi mitatu, then...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Pale ambapo mtu ana taarifa ya mapema kwamba , mumewe au mkewe anazini na Fulani, kisha akajiandaa kwa silaha na kuwavizia wahusika halafua akawafumania na kumuua mmoja au wote, sheria inambana...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya mabinti ukijitusu kumega (kufanya nae ngono) kuna mawili 1. Kama unafanya kazi lazima upoteze gazi 2. Upoteze uhai Inshort utaandamwa na mikosi mpaka hapo utakapo amua kuachana...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Nawasalimu wote kwa miyo wa dhati. Nina jambo ambalo linanisumbua sana nashare na ninyi mpate kunipa ushauri pls. Mimi ni binti wa makamo, nimeshamaliza chuo na nina kazi tayari. Kuna kaka mmoja...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Ulitumaini uzuri wako ukafanya ukahaba.... kila kijana aliyepita ulimwona anafaa awe mzuri na sura mbaya ulifunua marinda.....weweeee wako wapi wapenzi wako mbona sasa unakonda ......wako waapi...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Mu wazima wanajf wenzangu. Nimekuwa naona watu wakibishana eti ni wakati gani wa kula malavilavi wakati wa usiku. Je, ni wakati wa kulala baada ya chakula, usiku wa manane au alfajiri na kibaridi...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Siku moja mume aliwasili nyumbani akiwa na habari ya kusikitisha kwa mke wake ...! Mume: Mke wangu, nimepokea simu, kuwa mama amefariki dunia. Tafadhali jitayarishe ili tupitie na sokoni ili...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
kuna usemi wa kiingereza usemao ASK YOUR HEART BEFORE U TELL HIM/HER GOODBYE usemi huu unanipa wakati mgumu sana katika kufanya maamuzi magumu.Naombeni ushauri juu ya hili lifuatalo:mwaka 2005...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Wana jf i xpect to get ur advice though am a new member to this site nina gf wangu nampenda na tumeaidiana kuoana badae na kaniambia ye n virgin so suala la sex mpaka tuoane nina wasiwasi naye...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Ni kweli kubakwa ni udhalilishwaji kijinsia na tuendelee kuutupia madongo lakini ni ukweli pia kila inapowezekana mwathirika mtarajiwa pambana kujinusuru na suluba...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Jamani eeh naombeni msaada. Kuku wangu kala mtama wa jirani sasa jirani kaja juu. Anataka anipeleke mahakamani. Msaada jamani.
2 Reactions
98 Replies
6K Views
mimi nina mume wangu niko nae leo miaka sita na nimezaa nae watoto watatu lakini tatizo ni kwamba mume ananitesa sana ananipiga hata nikiwa na mimba ya miezi 8,na pili ni malaya sana anaenda nje...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Kuna dada tuliachana vibaya miaka mingi iliopita na muda huo akataka eti tuendelee kuwa marafiki mimi nikampotezea.Sasa kuna siku moja moja tunagongana mitaani na hunilaumu sana eti kwanini...
2 Reactions
121 Replies
8K Views
Wanajamvi, As usual... katika dimbwi kubwa la mawazo, nimejikuta nashangaa sana kwa kushindwa kuelewa, kati ya emotional abuse and physical abuse kipi kinauma zaidi Nimekua nikisikia akina dada...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna dada nafahamiana naye vyema sana. Baada ya kuachana na mvulana wake akajiapiza kuwa hataki tena mahusiano na mwanaume yeyote na akajiingiza kwenye vitendo vya kiusagaji kiasi kwamba wazazi...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Vijana wake kwa waume wanauza utu wao kwa ajili ya chips mayai na kuku? Hiki chakula kina kitu gani spesheli?
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Utafiti uliofanywa nchini Uingereza umeonesha kwamba wa wanawake hutumia saa 5 kwa umbea, udaku na mambo kama hayo ndani ya siku 1. Soure: tbc, uchambuzi wa magazeti. My take: Kama hali ipo...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Hali inazidi kutisha kila kukicha tuombe yasitufike Cuba: First gay and transgender marriage - YouTube
0 Reactions
0 Replies
831 Views
Kate Moss, George Clooney, Natalie Portman or Cristiano Ronaldo may be many people's ideas of dream dates, but pioneering research that combines economics with biology suggests they may not be...
1 Reactions
48 Replies
8K Views
Back
Top Bottom