wapendwa wanajf
najua humu ndani kuna thread ambazo huwa hazichukuliwi serioes kutokana na mtoaji mada kutokuwa serious,lakini hili langu nahitaji mawazo yenu
nina uhusiano na binti mmoja kwa muda...
Wadau Asalaam aleykumu/Bwana Yesu asifiwe sana.
Wadau naomba mchango wenu kwenye hili, kila atakayechangia awe kwenye mahusiano au ndoa.
Tangu umeanza mahusino, kuoa au kuolewa umewahi kukutana...
Aku
mi siwambii muache kuoana lakini kama kuna muda wakuendelea kuchunguzana embu chunguzaneni tu
mtumpunguzie matumizi ya vikao visivyo na per diem jamani
jana nimeenda kwa jamaa yangu nikakuta...
Katika kipindi cha miaka mitano wilaya ya Songea pekee ndoa 500 zimevunjika kwanini idadi ya ndoa zinavunjika ni kubwa na inatisha hatujui sehemu nyingine hali ikoje
Habari zenu wandugu,
Ni mkasa ulomtokea kaka yangu. Japo nimeuweka in poem form, I hope haujapoteza maana. I hope kuna jambo tutalojifunza..Its areal life story, he is 34yrs now na bado hajaoa...
I know lies are best accepted than the truth,
so please,tell me a lie again.
Tell me a lie Mainda
Say I look familiarThough I know that you don't even know my name.
Tell me a lie
Say you just got...
Wachungaji Msitangazie washirika dhambi ya mtu mwingine! Monday, June 27, 2011
Mchungaji unapotangaza dhambi/makosa ya mtu kwa washirika/waumini kinachotokea ni kwamba...
Jaman wana MMU nataka kushare na nyie furaha nilionayo, nmezama kwenye mapenzi n thnx to God ninaye mpenda na yeye ananipenda pia. Natamani na kutaka penzi letu lidumu!!
Amani iwe juu yenu.
Nimepokea simu kutoka kwa aliyekuwa member wa barza hii Bw Hossam Mohammed Hafif Al Miskry ( HM Hafif) ambaye kitaaluma ni Civil Engineer wa Kalafiy Construction ya Saud...
Siku hizi ukiwa na Kisingizio cha kukwepa kupigwa mzinga na wapenda kuomba hela (mabinti) kwa sababu ya kuwa mbali (but within Tanzania) utasikia, "Nitumie basi 20,000/, 50,000/=, 100,000/= kwa...
Mi nafikiri kile kipengele cha mpaka kifo kitakavyotutenganisha (???) Kiangaliwe kwa jicho la tatu
maana upande mmoja naona kama unaumizwa!!!!!! Uzuri wa mkataba na wote mfaidike nao ni kila mmoja...
Wanajavamvi mimi ni mgeni huku nipo sana jukwaa la siasa leo naomba ushauri wenu wanajamvi la mapenzi.
Jamani nina tatizo ambalo natamani kuachana nalo lakini bado sijaweza.
Nina mke mzuri...
Kwa kuwaheshimu watoto na wazee wasipofuke macho huyu ndie org FI
wengine copy
WWW.WORDHOTSTARS.BLOGSPOT.COM
WWW.MROKIM.BLOGSPOT.COM
WWW.ZAMARADIMKETEMA.BLOGSPOT.COM
wadau wa Jf mambo vp? Kuna bwana anaitwa Gilbert Raia wa marekani mwenye miaka 99 ameishangaza dunia kwa kuoa mara yakwanza akiwa na umri wa miaka 99. Mzee huyo alikuwa mwanajeshi wa marekani...
Mtu anapokosea kwenye uhusiano ni rahisi mtu kulalamika na kutumia kama kigezo cha kuachana haijalishi mmeombana msamaha inakuwaje mazuri mengi ndani ya uhusiano yanafutwa na makosa machache!
Habari,
Hivi karibuni nimeingia kwenye uhusiano mpya na kijana ambaye ninahisi ananipenda kweli.
Tunakaribia mwezi wa pili katika uhusiano sasa, ni mvumilivu na hana haraka na mwili wangu.
Ni...
Kwa mabinti wote Akiwemo afrodenz. hivi nyinyi mnapenda mwanaume awe na sauti gani? nyembamba kama nyinyi ,nyororo, kigugumizi au sauti la besi kama mvuta bangi etc?
Jamani wanawake wa JF nafikiri mtakubaliana na mimi kuwa wanawake wengi tulioko kwenye ndoa sivyo tulivyo. Tumebadilika kutokana na tabia mbaya za waume zetu. wametusababisha tumekuwa na Gubu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.