Habari zenu !
Natumaini wote mnapenda wapenzi wenu wawe na sifa zote mnazozihitaji,
Swali langu ni kuhusu sifa mbili kati ya nyingi za mwanamme.
Kuna wanaume wawili, mmoja ni mwaminifu,hawezi...
Malenga ninawajia, kisima nakisifiaMachoni kinavutia, nakipa mia kwa miaumbo lake asilia, bado halijafuliaKisima hiki kisima, raha kinanipatiaNdani ninavyo ingia, akili zangu zarukaNabaki...
Wakuu wa JF,
Nimekua msomaji hapa mda mrefu na hasa kwenye siasa ila nimeamua kuingia rasmi kwa kuvutiwa na hoja kadhaa.Hata hivyo sitawaeleza chama changu ni kipi ili niwe na mawazo huru.Hili...
Mara kadhaa imenitokea na pia nimesikia wenzangu pia wakishuhudia........wakati mwanaume anapokuwa katika harakati za kuomba uhusiano kwa mwanamke hukumbuna na maswali kama....hivi umenipendea...
Hili nijini linalofanya kazi ya kukutenganisha wewe na bosi wako
jini hili huhakikisha kwa bosi unaonekana kama choo kikubwa
habath
hili ni jini msaidizi linakaa chooni bosi wako akienda...
Hili ni jini linalocheza naakili za watoto zetu..yawezekana abako na mama walitumiwa hili ndio maana
kila kukicha kwenu chuo kikuu ni hadithi ...sasa basi ifike wakati sema imetosha kama unasoma...
Mzazi mwenzangu ameamua kupiga cm na kumtukana kila mwanamke niliye msave katika cm yangu.
Matokeo kanitukania boss wangu .
Naomba ushauri nimfanyeje huyu na hapo cjamuoa bado..!
Hiili ni jini linalosumbua sana ndoa za watu ,hupitia kwa watu kupitia vikosi vyake vidogovidogo vya jini mahaba,
hili jini moto wake ni kuona aupo kabisa na kama ukikomaa ujasimaa na mungu...
Hili ni jini la kuharibu watoto, jini hili limekuwa likisumbua sana hospitalini nahuwa linahama hospital moja baada ya mwingine chakula chake ni damu jini hili ukilikemea anza kulitaja jina haswa...
Hili ni jini la kuharibu watoto, jini hili limekuwa likisumbua sana hospitalini nahuwa linahama hospital moja baada ya mwingine chakula chake ni damu jini hili ukilikemea anza kulitaja jina haswa...
Kuna post ambazo sizielewi elewi humu ndani ya MMU, na style ya Uandishi wake, Hakika zina Match exactly na Shemeji/wifi yenu.
Kuna post nyingine anaomba ushaur ambazo zinagusa Mambo yetu though...
Bwana yesu asifiwe
pengine leo unaweza pata soln ya matatizo yako ya miaka nenda rudi hii ni kwa neema ya mungu tu
ndugu mpendwa pengine umekuwa na shida mbali mbali za familia ikiwemo matatizo ya...
Wanajamvi kwa muda nimekuwa nikiumizwa na hili jambo. Mama mkwe wangu ni kama mke mwenzangu. Mume wangu anapanga budget na mama, kila kitu ni mama. juz kachukua mkopo bank nusu kampa mama afanye...
Yeye Kwanza
Mitazamo ni suala muhimu sana inapokuja issue ya kumfanya mume wako ajisikie raha na wewe chumbani.Kuna tofauti kubwa sana na pana sana kati ya mwanaume na mwanamke na tofauti kubwa...
HABARI WANA JF
Naombeni ushauri kwa hili!
Nina dada yangu ana rafiki yake mpenzi wameshibana sana na kuaminiana kiasi kwamba amekua kama mwanafamilia mwenzetu au ndugu......
Kutokana na maelewano...
Juzi asubuhi nikiwa nyumbani mke wangu alikuja nyumbani huku ameshika gazeti moja la kampuni maarufu kwa kuchapa magazeti ya udaku. Nilimwomba nilitazame(ingawa mimi sio msomaji wa magazeti ya...
Nimekua na rafiki yangu ambaye nilimjua kupitia kwa mpenzi wangu ambaye ni rafiki ya mke wake. Shughuli zote za jikoni, kuosha mtoto, kuandaa mtoto shuleni baba lizima lafanya tena mbele ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.