Kama mnakula ni lazima kila mkimaliza mlo mmoja muoshe vyombo au mnaendelea kuongeza kupakua na kula, mkiwa mmeshamaliza kabisa ndiyo mnaosha vyombo? Inakuwaje kama mmoja wenu kila baada ya kula...
A touchy Love story .. ;-(A Girl Was Tired Of Her Bf's Msgs every nite Which Always Said- I Luv U, I Mis U....One Nite She Received A Msg FroM HiM But Didn't Read It because she though its the...
Dah...tangu huu nijulishwe kuhusu huu wimbo na rafiki yangu umenikaa kichwani kama UBONGO...kama siusikilizi unajipiga wenyewe kichwani.
Tangu jana mchana nimeuplay siku nzima mpaka sasa hivi...
Jamani hawa machangu wanamvuto gani yaani ronaldo,cruch,rooney,,yaani masuper star woote sasa imerudi kwa wachezaji soma hili
wachezaji wa timu ya taifa ya mexico 8 wamefungiwa miezi sita kwa...
Jamani wasalam wanajamvi mm huwa najiuliza sana kuhusu watu kuwa na kasumba ya kukumbushia penzi kwa mtu aliyeachana naye muda mrefu na kila mtu akaenda kwenye njia zake nyingine labda mwanaume...
Mh! Kama ninachoona hapa ni kweli bs kazi ipo... Kati ya wadada niliowaona ktk cm ya fisadi langu, 4 wako hapa nimeona walivyokuwa wamesaviwa ktk cm ndivo wanaappear hata hapa so the guy is JF...
Where to go with your date? You got the number to call, and you know they like you, but what should you do about it? Of course you should make plans to spend time together, but where, and doing...
nina umri usiozidi 31. nina watoto wanne kila mmoja na mama yake. wa kwanza nilimpata nikiwa sekondari, wa pili nikiwa chuoni, watatu nikiwa internship na wa nne nikiwa tena chuoni. kati ya hawa...
1.
Nimepata wa thamani, ni hakika si majungu,
Mwingine sitatamani, nimefunga moyo wangu,
Sikupotea ramani, nimezikubali pingu,
Mimi nawe Naimani, ni kama wingu na mbingu!
2.
Kila nionapo wingu...
Jamaji dada zetu, mbona hivi? Zile blauzi ndogo zinazoacha sehemu kubwa ya mwili mbona zinavaliwa bila kuzingatia hali ya hewa? Leo asubuhi nilikuwa nashangaa njiani baada ya kupishana na wadada...
Imenifanya nijiulize:
a. Inasababishwa na nini?
b. Inafikaje hadi mwanamme anamtwanga mumewe/mpenzi wake
c. Ukitwanga na mwanamke unaenda kushtaki au kumwambia mtu?
Nimesema hivi kwa sababu...
mimi najua humu ni jukwa la great thinkers sasa mtu anpofanya kosa na kumchekea tunajenga
tunabomoa? alafu ukiweka post ili turekebishane ana tetewa kwa kufuta post.
Wasalaam,
ama baada ya salamu mi ni mzima kabisa.
Nasikitika kuwajulisha kuwa tangu sasa mkija ghetto na kuacha nguo zenu kama vile chupi, kanga, sidilia na nyinginezo mtazikuta majivu.
Pia...
Unajua huku jamvini asilimia kubwa watu wanatumia avatar ambazo sio picha za sura zao. Hata ivo kwa ninavyoona mimi, na nadhani ni hali ya kawaida ya kibinadamu, watu wengi humu tunajibu hoja za...
Huyu ndo katoka kazini,kapokewa na mkewe kipenzi kambusu kampa pole ya kazi,mezani tayari kuna supu ambayo ni sharti mumewe anywe ili apunguze uchovu,mke huyu ini darasa la saba,ni juzi tu...
Hii ya moto moto kutoka Clouds. Mwanaume mmoja huko Shinyanga amefumaniwa (tena ndani ya chumba chake na mamsapu) akila uroda na house girl wao. Imekuja kujulikana huwa anamla takribani miezi 6...
Babies Detect Sadness in Voices at Three Months
BABIES as young as three months old can distinguish sad from neutral-sounding voices, according to a new study.
Parts of their brains tasked...
Nina umri usiozidi 31, nina watoto 4 kila mmoja na mama yake, wa kwanza nilimpata nikiwa sekondari, wa pili nikiwa chuoni, wa tatu nikiwa internship na wa nne nikiwa chuoni tena. Wawili kati ya...
Wazazi wa bw arusi kuingia ukumbini, then wazazi wa bb arusi, then bw na bb arusi kuingia ukumbini (wimbo wa kinigeria), then kufungua champaign, then kukata keki, then kupeleka keki kwa wakwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.