Hi! Wakuu!
ni siku njema na jumapili iliyotulia kabisa ikisindikizwa na kaubaridi ka ukanda wetu wa kaskazini, bt wakati wengine wakiwa wanajiandaa labda kwenda kusali au kwenda out au lolote...
Great thinkers habari za weekend.
Nina babu yangu mwenye umri wa miaka 73,bibi alifariki yapata mwaka mmoja na nusu umepita.sasa hivi babu ana mpango wa kuoa mwanamwali kigori wa miaka...
Ukimtongoza tu mdada na urafiki ukijengeka tu baada a muda atakachofanya atataka kufika kwako unakokaa wewe (mwanaume), hapo kwa mwanaume anatafuta nini?
Hamjambo wakuu?
Mimi ni mke wa mtu. tuko pamoja sasa miaka 3 ila mwaka huu mwamzoni tulienda likizo home town kwao na niligundua kua mume wangu alienda party na mpenzi wake wa zamani. Mimi...
Which man/woman should be given another chance?
1. The one who has sex with someone else and confesses
2. The one who has sex with someone else and gets caught then confesses
3. The one who...
Zaidi ya wanawake 250 wa mji mmoja nchini Kolombia wameanza mgomo wa kuwapa unyumba waume zao ili kuishinikiza serikali iifanyie marekebisho barabara inayoingia mjini humo.
Wanawake katika mji wa...
Habari zenu wote?
Mimi nina swali hapa linanitatiza kidogo, kuna rafiki yangu wa karibu, ana mpenzi wake na mahusiano yao yamedumu kwa takribani miezi minne sasa, na kwa kipindi hiki wamekua...
Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara mdada anapokutana na kijana wa kiume anakuwa na mtazamo gani ndani ya nafsi yake? Kuna hadithi moja ya kijana na binti walikuwa wako katika maandalizi ya...
Youve probably heard that men cheat for physical reasons, women for emotional reasons. Sure, theres some truth to that, but when we asked real women around the country to share why they strayed...
Tangu nilipozaliwa na kupata fahamu zangu ninasikia wakubwa na wadogo wanalitamka na kulitumia neno MAPENZI.Naomba wn jf mnisaidie maana halisi kwa sababu linapolituka kwa kijana mfano ukimwambia...
I have my friend, ameshawahi kuwa na uhusiano na wasichana 3 ambao sasa hivi wote wamekuwa machangudoa wanajiuza! Huyo wa kwanza alidumu naye kama mwaka,then wakaachana kuna mshkaji alimuona...
Habari zenu wana Jamvi, yuko dada mmoja ambaye ni jirani yangu kaniomba ushauri ambao binafsi nimeshindwa kumshauri. Hivyo naomba mawazo yenu. Ni kitu ambacho kidogo kimenishangaza. ni dada mwenye...
Tangu nilipozaliwa na kupata fahamu zangu ninasikia wakubwa na wadogo wanalitamka na kulitumia neno MAPENZI.Naomba wn jf mnisaidie maana halisi kwa sababu linapolituka kwa kijana mfano ukimwambia...
We all know about fairytale weddings.
But what about fairytale divorces?
Jack White (of The White Stripes, The Raconteurs and The Dead Weather) and his model/musician wife Karen Elson have...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.