Habari zenu wapendwa wa MMU!!!
Jana nilikuwa napata Lunch maeneo fulani hivi nikiwa na mfanyakazi mwenzangu wakati tukiendelea kupata chakula meza ya karibu na sisi kulikuwa na wasichana watatu...
Katika pilikapilika zangu jamani nimekutana na hili.
Wanawake walikua wakiliongelea swala la waume kuoga kwamba si kujisafisha tu na kupaka sabuni,waoshe na chini ya p***u.
Unaweza ukatoswa na dem...
Ni mwaka mmoja sasa umepita toka rafiki yangu kipenzi wa tokea primaly, sekondary mpaka chuo alipopata ajira ktk halmashauri fulani (sitaitaja jina) kama Afisa Utumishi. Takribani mwezi wa 6 sasa...
hi wana jf,nina mpenzi wangu tuliyedumu miaka mitano sasa but kwa kipindi hiki simuelewi amebadilika,ananfanyia visa mara ohh mimi namdharau na muona boya,simpend but kiukwel nampend na sijawai...
Sijui ni mimi peke yangu ndo naliona hili au kuna wengi pia mmeligundua. Kuna ongezeko kubwa sana la domestic violence (kwa maana ya wanandoa na walio kwenye mahusiano)kwa vijana wa umri wa kati...
...ni mke na mume waliodumu miaka 15 ya ndoa. Wamejaaliwa watoto wawili, miaka 12, na miaka 9. Wazazi wote ni waajiriwa wa serikali. Baada ya kujinyima hapa na pale, mume akaweza kujenga nyumba ya...
Usimfananishe na wengine!
James (si jina lake halisi) ana mshangaa mke wake ambaye baada ya kuzaa mtoto ambaye sasa ana miaka miwili amekuwa akikwepa kuvua nguo na kubaki uchi wakiwa pamoja...
Naskia hata ile ya wanaume wazima kuwa na ID za kike hapa JF ni very strong indication kwamba jamaa ana chembechembe nyingiza kike na zikipata trigger kama vile exposure to mashoga au mabasha nk...
Wapendwa
Nawaamkua!!
Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza hili swali nakosa jibu!
Eti ukimpenda mtu ambaye kwa bahati mbaya tabia zake huko nyuma hazikuwa nzuri (Yaani ana madoa machafu kitabia...
Kipindi cha siku za usoni kati ya mwaka 2004 na5 niliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na dada mmoja lakini baadae baada ya kumgundua ni mbwa mwitu aliyejitanda ngozi ya kondoo niliamua kuachana...
Lugha za upendo
Wakati mwingine ukikosa kuguswa unapata "skin hunger" MGUSO (physical touch)
Kukumbatia, kubusu, kushikana mikono na sex (ktk ndoa) ni njia ya mawasiliano ya hisia za upendo au...
Nimejikuta najiuliza maswali mpaka nikafika mahala hapa.
Kwanini mtu wa karibu mume/mke/msichana/mvulana anapofanya mawasiliano (simu, sms, kuja kusalimu home, kusalimiana barabarani nk) na mtu...
Uvutaji wa sigara katika ndoa:
Wake au waume wa wanandoa ambao wanavuta sigara wamekuwa na wakati mgumu sana katika hisia zao hasa kutokana na tabia ya kuvuta sigara kwa hao partners wao.
Hisia...
Ni mwili mzima!
Haina haja kuchezea kipande tu cha uwanja wakati mnaruhusiwa kiwanja chote na kuonesha skills zote kwa pasi za mbali na karibu loo! Kisaikolojia wanaume wengi (si wote) ni genital...
Ananivutia sana why?
Je, mwili hufaidi kitu gani unapojihusisha na mapenzi?
Mwili kawaida hutoa kiasi fulani cha kemikali ambazo hufanya ujisikie vizuri ukiwa kwenye mapenzi.
Hii husaidia wewe...
Kuna men tulikua tunapendena sana, ghafla akaniambia mi naona tuache kwanza kwa sasa maana mimi bado sijajiweka vizuri kimaisha kama imepangwa time will tellna aliniambia tu kwenye simu...
Habari zenu waungwa,
Nna jambo langu linaninyima usingizi, Kuna Mpenzi wangu wazamani sana nilidhani alikua ananipenda lakini nimegundua hanipendi au ananitumia tu
nilikua nae kwa mda wa miaka 8...
Salama iko wana JF?
Nina jambo kidogo linanitatiza katika karne hii ya utandawazi..
Kuna hii issue ya mahusiano yaliyopo sasa....
Ukijaribu kuuliza mabinti issue ya kuoa na kuolewa utasikia...
Tabasamu
Tabasamu ni njia rahisi isiyo na gharama ya kubadilisha mwonekano wako.
Tabasamu ni kitu gani?
Tabasamu ni dirisha linaloonesha nini kilichopo ndani ya moyo wa mtu, ni kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.