kuna ndugu yangu mmoja ameoa, wanaaminiana sana na mkewe hakuna hata siku waliogombana ila tatizo mkewe amejifungua mtoto mzungu pure hivi karibuni ndugu yangu yeye hakusema k2 japo alikuwa...
Ndugu zangu wanaJF,kuna mtindo siku hz wa akina dada kupenda wanaume wenye vifua vipana regardless ana sura nzuri au mbaya,hv ni nini hasa kinachowavutia wanawake kwa wanaume wenye vifua vikubwa...
A RESEARCH which was conducted by the Moshi-based non governmental entity Network Against Female Genital Mutilation (NAFGEM) has revealed five additional areas of gender harassment and...
Nawasalimu wapenzi.
Mimi ni mmoja kati ya maelfu ya members wa Jf, lakini pamoja na kuwa na majukwaa kibao mimi nahisi nimepagawa na hii forum ya MMU, Na huwa najiuliza mi niko mwenyewe au...
Bikira
Mabinti wa kizulu huko Lamontville Afrika kusini wakisubiri kukaguliwa kama bado ni mabikira huku nyuso zikiwa zimepakwa udongo.
(Picha kwa hisani ya Ellen Emendorp wa NYT)
Kutokana na...
Mimi ni mkazi wa dom,kuna mheshiwa mmoja kwa kweli sisi jirani zake wa hapa area( ) tunampongeza kwani kila ajapo kwa vikao vya bunge huja na mke wake, jioni atokapo huwa anamshika mkono mkewe...
The wheel of life is a valuable tool to help you evaluate what's working and what's not working in your life.
...ni kawaida kusikia mtu anakujia na excuse ya,."..sikuwa na muda!"...lakini je...
Katika kukua kwangu nimeshuhudia migogoro mingi ndani na nje ya ndoa kuhusu mwanamke au mwanaume kuhudumia familia zao(baba,mama na ndugu zako ie kaka,dada na wadogo zako).
Kitu kizuri...
...Big up kwa wanawake warembo wa JF wenye mwanya (kama mpo, ni warembo mjitambue.) W'wake wenye mwanya Mnapendeza sana. Halafu, wote niliobahatika kukutana nao (wenye mwanya-mdomoni) ni warembo...
Mwanamke inasemwa katika vitabu vitukufu si kiumbe cha kupigwa, kunyanyaswa, kusimangwa au kubughudhiwa. Mwanamke ni pambo la nyumba, nuru ya macho, asali ya roho, kato la kiu, upepeo wa jasho...
hi jf members, jamani naombeni mnisaidie, mwenzenu nikisha kutana na binti kimwili huwa nakoswa raha kwa kujihisi kama nimetenda dhambi kubwa duniani, najiona kama nimeathirika hata kama nimetumia...
Wana MMU,
Upendo, Amani na Furaha viwe nanyi. Nilisikia kibao hiki kwenye EA Radio Alhamisi asubuhi.
Kuna huyu Dokta hajafuzu lakini bado anatoa huduma tena kwa kutumia sindano oversize.
How...
Weekend Njema!
Love is a temporary insanity, curable by marriage.
===========================
All married couples should learn the art of battle as they should learn the art of making love...
Yumkini hawa marafiki wawili ambao walisoma wote kuanzia chekechea hadi kidato cha nne na baadaye kutawanyika kila mmoja kiguu kwa njia kwa minajili ya kutafuta riziki ya maisha ..bila ya hata...
kuna ndugu yangu mmoja ameoa, wanaaminiana sana na mkewe hakuna hata siku moja waliogombana ila tatizo mkewe amejifungua mtoto mzungu pure hivi karibuni ndugu yangu yeye hakusema k2 japo alikuwa...
QUESTIONS TO ASK ON YOUR NEW FIRST DATE
1. What is your favorite scene from your favorite book or movie?
Talking about mass media and pop culture can clue you in to similar interests and world...
Nimesikia kuwa ikiwa ulioa mwanamke na ukamkuta tuseme ni mdada tu wa nyumbani hana kazi na elimu yake ni yawaida ikatokea baada ya kuwa kwenye mahusiano au ndoa ukaamua kuendeleza kielimu...
niaje wana jf, mimi ni kijana wa miaka 28, mnamo mwaka 2002 nilikuwa na mpenzi wangu wa kike alikuwa kamaliza A level na mimi nilikuwa nimemaliza o level na nilikuwa nafanya kazi za vibarua(kazi...
wasalaam MMU!
kama ni kuchanganyikiwa ndo nahisi nachanganyikiwa!!
Katika pitapita zangu na kujituma kwangu kumsaka mchumba ambae ni mzuri nilibahatisha kumpata mtoto wa makabila mmojawa...
Zawadi ni kitu ambacho kila mtu awe mzee,kijana au mtoto wote wanapenda,na inakua namaana zaidi kama zawadi hiyo umeletewa na mtu unaempenda. Zawadi si lazima kiwe kitu cha gharama sana ila maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.