Nimetoka kumeet na dada mmoja hivi, ananiomba ushauri, maana yeye hata hajui what to do. Nimeona niwashirikishe, in short mkasa uko hivi,
Huyu dada yupo na bf wake kitambo tu, yeye bado yupo...
kiukweli nimemaliza udom kuna binti nilimwa proach akasema hapana,kisa anadai mi ni handsome sana so siwezi pata wa type yangu hapa chuo,kimsingi i luks attractive even ma rummate tells me,i was...
Habarini ndugu zangu,Naamini hamjambo.
Unajua kuna mambo ambayo ni magumu kumwambia mtu,wakati nikiwa chuoni miaka ya nyuma huko,kunamshikaji tulikuwa darasa moja na bahati mbaya group discussion...
Kila siku nawaza kuhusu nani atarithi mali zangu, naomba kuuliza kama ndio dalili za mwisho wa maisha yangu kukaribia, lakini naapa sitamwandika mrithi mtoto wangu wa kiume kwa sababu mama yake ni...
​Kuna men tulikuwa tunadate ikatokea misunderstanding, yeye ni mwanachuo bado na mimi ni graduate ofcourse sija Do nae as i said in previous topic i posted na tulibrake baada ya yeye...
Hii huwa inatokea sana, alafu mtu akipigiwa simu huwa zinakuja sababu za "nimerenew line" au "nimepoteza simu". Kumbuka hawa wafuta namba wengine ni marafiki tu. Ninachojiuliza> inawezekana watu...
FAIDA KATIKA KIROHO
Watafiti wengi wanakiri kwamba kuna sexual energy kama energy zingine ambayo wakati wa sex ikiunganishwa kati ya mwanaume na mwanamke hasa wakati wa kufika kileleni huweza...
wazazi tumekuwa wazito ktk kutilia mkazo suala la bint zetu kujitunza,ingawa kuna changamoto mingi lakini tunaweza..ewe bint mzuri moja ya factor zinazoweza kukupa mme wa maisha yako ni kujitunza...
Harusi zimekuwa na gharama sana kuanzia maandlizi hadi kufanikisha. Lakini ndoa ngapi ziko kwenye furaha kama wakati wa Kudate? Baada ya kero basi kuachana huwa ni suluhisho kwa wenzi wote...
I am just watching hii documentary ya Demi Moore kuhusu rescue ya wanawake wanaolazimishwa kuwa prostitutes in Nepal na India
It is a very strong and useful statement....I am just trying to...
Nina mpnz tunayependana na kuheshimiana sana, kuna vitu anavyofanya ambavyo nashindwa kuelewa ni kwa nini anafanya hivyo.Anaweza akaja home amevaa cheni ya gold halafu akiondoka anaiacha na...
WanaJF hii kitu inaniumiza kidogo kidogo ingawa navumilia. Mpenzi wangu ambaye nimekaa nae miaka mitatu ni mzuri mno kwa sura mpaka naogopa. Ana kama mvuto fulani na kama kawaida wanaume kutongoza...
nataka kujua hasa nini sifa ya mwanamke leo hii maana kila mwanamke leo utawasikia wakisema mwanamke reception na kusababisha wanawake wengi kuwadaganya wanaume wengi na kusahau tabia, na...
Jamaa mmoja anaishi mji kasoro bahari[morogoro].Huyu bwana ni driver wa magari ya kusafirisha mafuta ya kampuni moja maarufu hapa nchini.Huyu jamaa anaishi pamoja na mama yake ambaye ni mjane...
Good morning/good afternoon/good evening/ good night to yall!!
Nimekumbuka kuna kaka mmoja alikua mpenzi wa mtu wangu wa karibu yani sijawahi ona mtu CONTROLLING kama yule.Alikua...
kwa upande wangu ni sawa coz si mpz wangu nina uhuru wa kumwambia lolote ninalojisikia kwake,lakini nashangaa kwa wasichana wengine wanaona wanaume ndio wanotakiwa kusema ivyo bt kwangu naona kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.