Rafiki yangu ana mchumba wake, Jambo la ajabu na la kushangaza yule mchumba anamueleza rafiki yangu kuwa hampendi anajilazimisha lakini atamvumilia. Mimi na rafiki yangu tumejaribu kumuhoji tatizo...
hivi sitaki kuwa msemajinaomba tuwasaidie wanaume wengi hapa jamvini wanaendeshwa kama moto na wake zao hii ni pamoja na madaraka ya wanaume kujimilikisha wanawake .aiajalishi una kipato kuliko...
Habari zenu tha great thinkers!
Hivi ni aina gani ya chakula au mambo gani yanaweza kusaidia kuongeza nguvu za kiume?coz hili ni tatizo la wengi na linavunja ndoa nyingi,naomba majibu kwa faida...
nimekuwa nashangaa kidogo na msanii maarufu wa zi comedy hasa pale anapowaita jinsia flan kama viburudisho( cjui ni coca cola au juice ya miwa) au mimi ndio mshamba tu, nisaidieni,nielimisheni na...
mibunge hii tujihadhari nayo jamani hasa 2015
simu kuvaa vikuku mpaka bunge linaisha wamemfanya mama wa watu
binti kiroboto nae anahangaika kuvaa kila aina ya mitindo kujaribu
kuwasogelea mama...
Habari zenu jf!kuna mdada mmoja hvi nilimpigaga sound kama miezi miwil imeisha pita,akantolea nje then akanipa sababu yake kubwa ambayo na mimi niliiona ni ya muhimu sana kwamba alikua na...
habari za leo wanajamvi, nimekua nikishuhudia kuwa wanaume wengi ndo wanaokoroma kuliko wanawake, je ni kweli? Nini sababu yake? Je kama demu/mkeo/mumeo anakoroma unajisikiaje? Maana nina jirani...
Hata Ukirukaruka!
Kuna njia nyingi sana za uzazi wa mpango ambazo huweza kuzuia mimba. Pia kuna imani potofu nyingi kama si kukosa uelewa halisi wa namna ya kujikinga ili mwanamke asipate mimba...
At this age and time...
Is it really possible?
For a young man/woman to be sexually pure until marriage?
Inawezekana kweli?
kwa kijana kubaki msafi kimapenzi hadi ndoa?
wewe rafiki wa mume wangu,lakini cha ajabu unampenda mke wa rafiki yako wakati wewe unamke.ukituona tumeongozana unakasirika,huoni aibu?jamani,dunia inaenda wapi?
Is he cheating?
Saturday, 02 July 2011 12:13
digg
What to do when all his pals are gals
By Sharifa Kalokola
THE CITIZEN
He has all the right moves, he is smart, considerate...
Hata Sms!
Maisha yanaweza kuwa magumu na mahusiano (ndoa) yanaweza kuwa magumu pia. Na pia kuishi na mtu mwingine siku hadi siku wakati mwingine huwa ni dhiki kuu (tribulation) hasa kama...
Wanaume bwana!
Kwa nini wanaume wanahitaji sex na wanawake wanahitaji upendo.wanaume huwa frustrated na wanawake kwa kuwa hawapendi sex na wanawake huwa frustrated na wanaume kwa kuwa kila mara...
Wanawake nao...
Wanaume hukatishwa tamaa na wanawake kwa kuwa wanawake hawapendi sex na wanawake hukatishwa tamaa sana na wanaume kwa kuwa wanaume kila mara wanachotaka ni sex.Wanawake hulaumu...
Jamani kawe kuna vituko
embu jaribu kuhamia hata kwa mwezi tu jamani
jana nikiwa natoka kwa job nikapita kuelekea kunyumba nikapita kamto fulani wanaokijua ukifika pale mayfair unaingia kulia...
Accuser's lies jeopardize DSK case, experts say
Former International Monetary Fund leader Dominique Strauss-Kahn leaves New York
Dominique Strauss- Kahn leaves New York State Supreme court...
Jamani wana JF mimi nina tatizo moja kubwa maishani mwangu kuhusu wanawake na matatizo hayo ni kama ifuatavyo;
Kila nikitafuta mwanamke najikuta niko na mchagga, matokeo yake nimejikuta natembea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.