Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Nina 11yrs ktk ndoa ,pia ni mwl wa vijana nasonga mbele - amen, nakumbushia tu mapenzi kabla ya ndoa ni hatari na kuna maumivu mbelee, kuna suala la 'kutendwa'(ulaghai katk mapenzi) kila mtu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wanaume wengi hamfahamu nani anakupenda kweli au msichana gani hakudanganyi......tatizo ni nini?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kumekucha jamani, shime tukajiandalie pensheni zetu...fainali Uzeeni. Tunavyowapiga vikumbo wastaafu wa Jumuiya ya Africa mashariki, na hata wengine kuwadhihaki, ina maana hatukumbuki ipo siku...
26 Reactions
181 Replies
16K Views
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/153715-wana-jf-tumsaidie-kijana-huyu.html Maxence atapokea michango yote ya wana Jamii Forum Na ata toa report baada ya kupokea michango ... ataweka...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
kwa wale tupendao cha mtu,especially mke au mume au wale njoo kwa muda nikuone...we unadandia kwa mbele unajua walitoka wap mpaka hapo ulipomwona wewe anakuvutia?.......mbona twapenda vya mbele.si...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Habarini za asubuhi/mchana/jioni/usiku wana JF wenzangu. Unajua kunakitu nimekiwaza na kukifanya uchunguzi humu JF.Wengi wenu mnatumia fake ID kujitambulisha,sio mbaya kufanya hivo kutokana...
0 Reactions
47 Replies
3K Views
Nawasalimu wote! Naamini kwamba ni suala la kupendeza na la heshima kuwa katika mahusiano ya kimapenzi kwa maisha ya kawaida ya binadamu, lakini pia ni suala la kawaida wapenzi kukosana...
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Baby Weighing More Than One Stone Born In Texas A woman in Texas has given birth to a baby boy weighing 16lb, around twice the average weight of newborn babies in the UK The average weight...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
This is what our neighbouring Kenyans think. I wonder if this apply to Tanzanians as well. Often, the assertion that good men are scarce comes from women. But on the other side of the divide...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wana JF!!! Baba mtu mzimaaa alikuwa anatembea na kabinti aged kama 18/19 hivi ni mwanafunzi wa QT na mbaya zaidi alikuwa anatumia kitanda anachotumia na mkewe wa ndoa. Huyu mzee alitumia...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
katika story, bibi yangu kaniambia ili mwanamke akupende hakikisha mvuto haupotei nkauliza mvuto gani ? akasema sababu zote wanawake wanazotoa ni kukuzuga tu, LACK OF ATTRACTION will make a...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Tunaenda ICU! Baadhi ya Wanaume baada ya tendo la ndoa hujikuta hoi bin taabani. Na wanawake wengi hulalamika sana na hii tabia ambapo mwanaume akishamaliza tu hujikoka usingizi na kuanza...
1 Reactions
44 Replies
6K Views
Najua mtanicriticize ila ndo hivyo imetokea.... Habari zenu kwanza...poleni na hali ngumu ya maisha ndugu zanguni! To the point: Ni binti wa kidato cha tatu...kwa tabia na sifa na maumbile...
0 Reactions
88 Replies
7K Views
Siku hizi kwa kina dada esp. maduu wamesahau kiswahili kabisa na baadhi yao hata hawajawahi kusafiri na kufika Nairobi achania mbali USA/EURO kwa mfano ukikutana na mdada mlimani city ukamuuliza...
1 Reactions
201 Replies
27K Views
Nimejikuta kumpenda msichana mmoja her name is .........., i aproach her but she said she love's somebody else, but that somebody doesnt loves her back as she do.... due to that she decided to...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
habari wanaJF! Napenda kuwasilisha hili: mimi nina rafiki yangu ni graduate mwk huu.tatizo lake ni kwamba anapenda sana ng**o amekuwa akibadilisha wanawake kama nguo n wakati huohuo anachukua na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakwepaji wa mapenzi ya asili ya bwana na bibi siku hizi hujikita kwenye kufanya mapenzi na plastiki (dildo).......................exciting plastic man................baadhi ya watetezi wa mahaba...
5 Reactions
47 Replies
6K Views
Wapwa zangu na mabinamu, Juzi kati hapa kaka mkubwa nlipata dhahma lililonilazimu kutokuwa hewani hapa na kuhamishia kambi hospitali. Nipeni pole tafadhali. Mojawapo ya tiba nilizotakiwa...
2 Reactions
141 Replies
10K Views
Kuna tabia ya wanaume kuleta hawara nyumbani kwake wakati mke na familia wakiwa safarini, yaani huyu mwanaume anafanya mapenzi ni huyo hawara yake katika kitanda cha mkewe wa ndoa. Hivi tabia kama...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
...pengine si jambo geni kusoma hata humu Jamiiforums watu wakijikweza kwa namna moja au nyingine. Huwa najiuliza, Kwanini utumie 'maguvu' kujionyesha u mbora ki hivyo badala kuachia 'Ukweli...
10 Reactions
54 Replies
4K Views
Back
Top Bottom