Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Hivi ni kweli kwamba ukimuumiza mtu ni lazima na wewe uje kuumizwa? Ikiwa ni kweli vipi huyu anayekuumiza, inawezekana analipa yale uliyoyafanya zamani? Ikiwa ni hivyo, inawezekana muumizaji asiwe...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hi marafiki, wanajamii wenzangu, siwezi amini miaka inavokatika, nikiangalia naona kama ni juzijuzi tu, sijui wakati umeenda wapi, all in all namshukuru Mwenyezi Mungu sana sana kwani leo ni...
42 Reactions
188 Replies
11K Views
Jana baada ya kutoka kibaruani_kama kawaida nikakuta mgao wa umeme umeng'ang'ana,nikaona isiwe taabu acha niende bar ya jiran na ghetto nikapoteze muda hapo na marafiki zangu mpaka saa...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Robber who broke into hair salon is beaten by its black-belt owner and kept as a sex slave for three days... fed only Viagra A Russian man who tried to rob a hair salon ended up as the victim...
0 Reactions
0 Replies
950 Views
Kuna mpangaji mwenzetu kamfumania kaka yake (toka nitoke) akizini na mke wa mdogo wake. Je ni adhabu gani ambayo anastahili mke wa huyu mpangaji wetu na pia kaka wa huyu mpangaji wetu? Adhabu za...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
''.................................nashindwa kujizuia kabisa, ni hali tu inayonitokea kila mara ninapokuwa na mke wangu faragha. Kiukweli kila tunapofanya tendo la ndoa, ni lazima niivute taswira...
1 Reactions
74 Replies
4K Views
Ni juzi tu tumesherehekea mtoto wa Afrika/fahari ya Afrika kwa generation ijayo, lakini mbona imekuwa hivi siku hizi za usoni??kwanini hasa??je ni kweli wa kulaumiwa ni wazazi??walimu??,walezi??au...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari zenu wana JF, hivi kizazi hiki kinaelekea wapi jamani ?nimekutana na habari hii nikaona niwape mtafakari na nyie. WANAFUNZI wawili wa kike wa kidato cha pili katika sekondari ya Enyeitu...
0 Reactions
57 Replies
6K Views
1. Texting Instead of Calling Does he text more often than he calls? When a guy likes a girl, he wants to hear her voice. "Texting is not an easy way to communicate - it's an easy way to avoid...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu,naamini mpo salama popote mlipo. Jana niliwaletea kituko cha vitoto vya shule kutelekezwa guest nikawa na maswali mengi ambayo hata ninyi pia mlionekana kuwa nayo kwa jinsi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wale madent wawili waliotelekezwa nyumba ya kulala wageni wametoroka baada ya kuaga wanaenda kula kisha kutokomea jumla!!!!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau mama anaumwa na anataka kukaa na mimi,mke wangu anasema hana furaha kukaa na mama nyumba moja,nimechanganyikiwa nishaurini,nimuondoe mamam au nikae nae na mke wangu hatakuwa na furaha...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Music Blogs > Amplifier > Beyonce's Dad Was Maybe Stealing From Her Beyonce's Dad Was Maybe Stealing From Her Posted Tue Jul 12, 2011 6:47am PDT by Daniel Kreps in Amplifier...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Is 'sex before marriage' the measure of love?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani wana MMU hapa mwenzenu yamenikuta kujifanya mkweli kwa kila jambo....Jana jioni mama karudi toka kwenye mihangaiko yake, kama kawa nikamhug kimahaba, tukakissiana kama, tukavutana kuelekea...
0 Reactions
78 Replies
5K Views
leo katika pita pita yangu sehemu nimekutana na dada mmoja hakiwa na hali ya uzuni sana, nilipoongea naye kwa kina nikagundua BUNGE letu la jamuuri limekula kwake. yeye ana matatizo ya kizazi...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Rihanna, 'whooping up her love for whips and chains.' Photograph: Rex Features Mara nyingi tunaamini ya kuwa wanaumme hutaka kuzamisha sana mkuki na huku akina dada hupendezewa na...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Mara nyingi nimekuwa nikiwasikia watu wanaoamini katika kupangiwa mke. Lakini utakuta mtu anajiwekea vigezo katika elimu, umri, kabila na pengine rangi. Utasikia siwez kuoa mtu aliyeishia std 7 au...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Niliangukia ktk penzi la fisadi wa mapenzi, nikampenda na kwa dhati nilitamani awe mume wangu wa maisha. Mwaka mzima tumekuwa marafiki ila majuzi nilifika anapoishi tulitaka tukamilishe mzunguko...
2 Reactions
86 Replies
6K Views
nasikia watu wengi wakisema ata wanamuziki wanaimba,kwani ukinipa nitakuchezea?ndio maana yake nn?nifungueni kichwa basi.
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Back
Top Bottom