Wapendwa wote, hi. Naomba ushauri.kuna dada nampenda sana kila ninapomuona najiona mdogo na hofu ya ajabu.nataman sana niishi nae, lakini baada ya kumtangazia nia yangu kadai anamtu wake. Wadau...
Probability ya kuolewa kwa wanawake waliosoma huwa ni ndogo mno.nahisi usomi unaongeza kiburi.kuolewa na kiburi havimeshishani.tuwe macho na tujipange.naomba kuwasilisha
Wapendwa wanajamvi nina mdogo wangu anaenda kusoma masters ughaibuni-Swiss kwa hiyo ndugu zangu Wabongo na East Africa kwa ujumla mlio wenyeji huko naomba mmpokee na kumsaidia mambo mbalimbali ili...
Utafiti uliofanywa katika nchi za Botswana, Kenya na Uganda zimebaini ya kuwa wapenzi wanaoishi na waathirika wa vvu wanaweza kujikinga kwa maambukizi ya vvu kwa kumeza kidonge kimoja kila siku...
Mwanaume ni Box
Hapo ana "fix' tatizo usimsumbue! Kama umekuwa kwenye ndoa kwa muda mrefu ni dhahiri kwamba umetambua kwamba kuna tofauti zipo kati yako na mwenzi wako, na hizo tofauti ndizo...
Leo kuna njia mbalimbali za kuwasiliana ila kile kipindi tunaandikiana mabarua ",....kwako wewe uliyembali sijui na upeo wangu..,,.....," dhumuni la barua hii......"jamani barua (sio kadi)...
Kwa moyo wote!
Sababu za kuwa na migogoro kati ya mume na mke mara nyingi ni kwa sababu wanaume hawawaelewi kabisa wanawake (dont understand) na wanawake wanawaelewa vibaya wanaume...
Asubuhi ya leo nimefika ofisini na kukaa chini kuanza kazi.
Kama kawaida ya siku za kawaida baada ya kupata kifungua kinywa katika mgawaha katikati ya jiji la Dar nikaona leo ni siku ya kuchapa...
JF habari,
Jamani me hua najiuliza swali moja,
hivi logic ya kuoa halaf bado mtu mkaishi mbali na mkeo/mmeo inakuawap?
kwanfano mtu ni bachela, na unaishi mbali na unaetegemea kumwoa, mungu...
Kuna kakangu mmoja alisema kuwa anampenda sana mkewe na watoto ila kuna vikero vidogo vidogo anahisi visigekuwapo kama wangekuwa wanaishi mbali na wifi ,sio kwa kumchukia au kwa kukwepa majukumu...
Jamani wapendwa habari zenyu
Nadhani baadhi yenu mnaishi katika Ndoa na wengine mna Boy/Girl Friends. Mimi binafsi nina Miaka mingi sana na Shemeji/Wifi yenu Zena. katika Maisha yetu Kuna siku...
Hallow wapendwa wa hapa MMU, za leo? Jamani mkistaajabu ya Musa utayoana ya firauni! Nadhani ni last week niliwapa story ya I'L KILL HIM 4 MY KIDS, bs jana yametokea ya kutokea, yule dada...
Akatwa Uume Wake na Mkewe Marekani
Kieu Becker
Wednesday, July 13, 2011 10:52 PM
Staili ya wanawake kuwaadhibu wapenzi wao kwa kuzikata sehemu zao za siri imeendelea nchini Marekani ambapo...
Hello wana jf!!nina mdogo wangu wa kiume ambae anatarajia kujiunga na chuo kikuu mwaka huu,huyu bwana mdogo ana galfriend wake ambae pia ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja kilichoko mkoan morogoro...
Heshima yenu wakuu!!wajamen,nina 23yrz na ni mwanafunz wa chuo flani hapa dar,niliwah kuwa na galfriend wa rika langu miaka miwil ilyopita bt niligundua sio mwaminifu kwangu so nkaamua kuachana...
Hivi kuna uhusiano gani kati ya urefu wa mwanamke na mapenzi/kupenda? huwa inanitokea,mwanamke akinizidi urefu huwa naishia mzuka kabisa hata awe mzuri vipi. Nimejaribu kuuliza marafiki wa karibu...
wengi walio kwenye uhusiano mpya huwa wanapenda kumwambia au kumuelezea mpz wake historia yake ya kimapenzi uko alipo toka,utakuta mpz wako anakwambia yaan nilikuwa sijatulia kweli yaani nilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.