Miezi Miwili Mara Moja!
SWALINdoa yetu ina miaka 4 na tunafanya tendo la ndoa mara moja kwa miezi mwili. Kila siku usiku mume wangu husema kwamba amechoka na hawezi tendo la ndoa kwa kuwa...
Salaam JF!
Hili nimelifanyia utafiti wakutosha. Naww liangalie!
Upande wa kina baba ikiwa hajawahi ku do kujua maumvile tafaut tafaut atapooa mke/mpz wa kwanza lazima atatulia kwa kua hakuna...
Je, Nimuonjeshe?
Wakatazama movie hadi...........
Kaka nashukuru kwa kutuelimisha kupitia blog yako ambayo kila mara napenda kuipitia ili kupata maarifa kimahusiano.Nimepata mchumba na sasa tuna...
Nimekuwa nikisoma habari ndani na nje ya nchi (hata Ulaya/Marekani) baadhi ya wanawake hukimbilia kuukata uume wa mpenzi wake na nimekuwa nikijiuliza ni kwa sababu zipi?
Kwa nini asimng'ake sikio...
Auditing Hadi Chumbani!
Kuna wakati mwanandoa mmoja anajikuta yupo ndani ya ganda la yai (eggshell) kwa maana kwamba anajikuta anakabiliana na mke au mume ambaye anadhibiti, anayeamulisha...
Je, ni Kuzidiwa Nguvu au Aibu?
Eti wanaita "Cuddling"
Kaka mimi ni mwanamke wa miaka 26 na nimeolewa. Tatizo ni kwamba kila ninapokuwa na mume wangu tukifanya mapenzi nashindwa hata kumpapasa...
Katika kizasi cha leo, hakuna mapenzi wala mahusiano, swala kubwa ni pochi tuu, una burungutu wapenzi wanakuwa wengi na utapata huduma itakayo. Hakuna pes hakuna mapenzi wala mahusiano.
Wanajamvi naomba msaada wa kisaikolojia kila siku ni ugomvi na mwenza wangu eti kisa kwanini naangalia sana makalio ya wadada.
Jana amenianzishia tifu la ajabu barabaran baada ya kumuangalia sana...
Mume Akupende!
Mume Akupende!
Haijalishi ni kazi gani mume anafanya anastahili kupewa appreciation!
Wanaume wakikutana wenyewe kwa wenyewe kama hawafahamiani swali la kwanza kuulizana ni...
Pengine unaweza kumsaidia mwenzio kufaidika ama kuacha na na haka katabia..haka katibia kako hasa kwenye nyumba za kupanga na mavyuoni..sipendi kwenda mbali binafsi naka hate sana lakini naona...
Nimeingia kwenye ugomvi na girlfriend wangu baada ya kumtamkia maneno mabaya nikiwa na hasira. Sababu ya kufikia hatua ya kumtamkia maneno hayo ni baada ya yeye kunigombeza kwa sababu ya...
Habari WanaJF,
nina rafik yangu {wa kike} alikuwa na mpenziwe.kuna siku jamaa alimpigia simu binti akidai eti yupo nyumba ya kilokole kwa hiyo wasiwasiliane kwa njia yoyote asibip asimtumie...
Baadhi ya wataalamu wa mapenzi wamethibisha kwamba hii kitu stage ni muhimu sana kwenye maisha ya mtu yeyote yule!!!
Namaanisha hivi,
Kuanzia unapozaliwa lazima uwe umejihusisha na michezo...
Yani naandika hapa huku nacheka sana!Wimbo huu wa Mory Cante(sijui nimepatia spelling za hili jina!)ndo nausikia kwenye kituo kimoja cha radio muda huu,nakumbuka kama sikosei kwa mara ya kwanza...
Well...well..well....nani anaamini kwamba hata Bucha likiwa tofauti nyama ni ile ile?! Na wale wanaoamini tofauti hata wasiishe kubadili mabucha kila siku ni nini haswa hua kinawashawishi...
Hodi JF;
Siku za karibuni niliingia kwenye uhusiano na mdada mmoja ambaye nilihisi anafaa kuwa mke. Nikamtokea na kwa bahati nzuri akakubali tuwe wachumba, sasa si unajua tena mwanaume nikataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.