Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wakulu ndo ujumbe nimeupata hapa hebu nishaurini nifanyeje in "COMPUTER TERMS" Only. Nianze na viongozi wangu wakuu Asprin-ODM, St Roya Roy, King TEAMO, Mpwa FIDEL ACID, Kijana Finest, Bigirita...
5 Reactions
207 Replies
13K Views
Just recently,i experienced a story of a beautiful young christian lady whose muslim boyfriend got married to a muslim woman as she watched and waited to take her position as wife number 2.what...
0 Reactions
3 Replies
931 Views
Salaamu zangu natuma, zifike kila mahali, Tunaziomba rehema, za Mungu zituwasili, Hapo siku ya Qiyaama, tuwe chini ya kivuli, Nafunga ndoa natawakali, naoa mke Muumini. Naoa mke Muumini...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kupendeza vile vile kwategemea sana na maumbile ambayo hayajakithiri kwa mlo wa kupindukia........................yaani kuwa slim-fit............................wengi wamejaribu kila aina ya...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Ukimpenda, Hutampiga Utamkumbatia na Kumbusu Bado tunaendelea kulaani vitendo vya wanaume au wanawake kudundana kwenye ndoa kama suluhisho la kutatua matatizo au migogoro inapojitokeza ndani ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna msichana nipo nae kwa uhusiano for about 4 years now, mi nafanya kazi flani hapa Dar na yeye yupo chuo flani Dodoma. Tulianza uhusiaano 2007 ye alikuwa Form 4 na mi nilikuwa Chuo. Ila shida...
0 Reactions
62 Replies
6K Views
Kuna Ndoa Batili na Batilifu???? Kumekuwa na mkanganyiko katika kutambua maana na tofauti ya ndoa batili na ile batilifu. Kimsingi hizi ni ndoa mbili zenye hadhi ya tofauti miongoni mwa wanandoa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wakuu kama ni bahati mbaya bt jlo ndio zake, wametengana tena na mumewe, baba ya wanae mapacha kwa mara nyingine tena. Wakati mwingine nahisi kama vile anataka scandal ya kuuzia ulbum yake mpya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Dear Magulu.... Najua utakuwa unajiuliza maswali mengi kuhusu mimi kuondoka bila kuaga....Nimeamua kufanya hivyo ili kukupa nafasi ya kuweza kusonga mbele na mipango yako. Magulu najua...
3 Reactions
93 Replies
6K Views
Kutafuta mchumba kwa Internet “I will never date a lady through the internet” Watu wengi hutumia mitandao (internet) (hata zile zinaitwa christian dating sites) kwa ajili ya kujipatia mchumba na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
..wanasema wamefanya utafiti. ..hata yule Chief Justice mvaa hereni waliyemchagua anaonekana ni gay. ..angekuwa kijana I would have understood, but haiyumkiniki Mzee wa miaka 65 unavaa hereni...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
From the bottom of my heart kuna mdada mmoja nimempenda na tangu tumekuwa marafiki (wa kawaida tu) zaidi ya mwaka sasa nimeona ana sifa za kuwa wife wangu na tumekuwa tunawasiliana vizuri kama...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ndoa Imara ? Zingatia Haya! FUNGUO ZA KUJENGA NDOA IMARA NA MAHUSIANO YA KUDUMU<!--[if !supportEmptyParas]--> USIKAE NA DONGE MOYONIKitu kizito kuliko vyote kukibena duniani ni DONGE MOYONI...
2 Reactions
6 Replies
6K Views
Mamsapu analia ana lalamika, Mama Mzazi ametutembelea nyumbani. Majuzi wakati alipokaribishwa chakula cha jioni mezani ma mamsapu (mai waifu wangu) , mama alimuuliza mamsapu kama kaniwekea na...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Anamuomba mume wangu jioni na usiku tu! SWALI Hapa kwa jirani yangu kuna mwanamke mrembo sana ambaye ameachwa na mume wake na kubaki mwenyewe kwenye hiyo nyumba. Kitu cha ajabu ni kwamba kila...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kissing kama ni uchafu?????naongelea kulana denda yuk! yuk!!
0 Reactions
14 Replies
1K Views
MAMA MKWE Kuna mabinti wengine wanapoolewa wanakuwa na busara na hekima jinsi ya kuishi na mama mkwe. Huyo dada Kwenye picha ni mfano wa kuigwa jinsi alivyo na hekima na busara kuishi na si mama...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
It was 2007....Mapenzi yetu yalikuwa mazuri(kwa kiwango cha ufaham nilichokuwa nacho)nilimpenda ila yeye hakunipenda kama nilivyodhani!.....Tulikuwa karibu sana na kutokana na baba kulazwa hosptl...
17 Reactions
68 Replies
5K Views
Katika tafiti isiyo rasmi wanaume wanahuruma kuliko wanawake moja ya tabia za huruma ni kutoa ,au kutatua tatizo , ambayo most men have it,ila wanawake wanauchungu tu na si huruma na hii...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ukizima Moja, Zote zinazima! Mwanaume na mwanamke wapo tofauti zaidi kuliko kufanana na hivyo ndivyo walivyo, kukataa haiwezi kubadilisha ukweli.Mwanamke na mwanaume husikia na kuona vitu kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom