Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Kuna demu nilisoma naye primary skul,kipindi hicho 2likuwa wote viranja ktk category ya usafi hapo skul, baada ya hapo 2mekutana mkoa flani 2kiwa vyuo tofauti, sasa anadai ananipenda na anaomba...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hivi unapokuwa unajiandaa kufunga ndoa wewe bibi arusi, halafu ikatokea mshenga wa bi Arusi ni mrembo zaidi ya bi Arusi inakuwa vipi, utajiskiaje????
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani wenzangu mnapata wapi muda wa kujadili mapenzi kwa hali ya taifa ilivyo sasa.... tunakufaa... mie jogoo hata awiki ..kila nikimuita mamsapu stress zazidi... naishia lala bure... tunakufa..
2 Reactions
25 Replies
3K Views
wenye experience ktk hili tusaidiane... eti upatapo safari either ya kikazi, kifamilia au binafsi zinazokulazimu usafiri kwenda mbali au nje ya mkoa humuagaje mpenzi wako? vipi? Kwa stail gan? I...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
I am wondering, no matter how many relationships you might have in your love life, there is one which you never get over. What is the cause of this? Of course the bad side of it is that it...
1 Reactions
35 Replies
2K Views
kumbe tulikosea kuwa na kauli mbiu ya "tanzania bila ugonjwa wa mbu" inawezekana, tungesema kuwa "tanzania bila umeme" inawezekana. Ndiyo inawezekana bila umeme maana tumeza, na tena "mgawo wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
‪mambo ya mombasa kenya (ushoga)‬‏ - YouTube
0 Reactions
1 Replies
959 Views
Kwanini mna fake orgasm?
0 Reactions
13 Replies
1K Views
mawasiliano ni moja ya njia ya kudumisha mapenzi kwa sababu mawasiliano yanaleta ukaribu zaidi na inaonyesha hisia ni jinsi gani unavyomjali na kumpenda kuliko vle unavyokaa kimya bila ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wazazi waligombana ,mama akadai talaka yake at the time wamegombana baba alichukua uamuzi wa kuhama nyumbani na kwenda kuishi kwingine. Sisi (4 child)tulibaki na mama nyumbani,mama alienda...
0 Reactions
41 Replies
3K Views
Mara ya mwisho kumsifia mke/mume/mpenzi wako ilikua lini?! Kumsifia mwenzi wako haswa mkiwa faragha kuhusu mwili wake/sura/umbo/sauti n.k kunaongeza kujiamini kwake.Fikiria mwanamke ambae hata...
9 Reactions
53 Replies
4K Views
Wana jamii, Ndugu yangu amekuwa akimlea mtoto msichana aliye fikiri ni wake ,mtoto anaishi na nyanya yake lakini ndugu yangu humtembelea mara kwa mara na humlipia fees, medical na mambo mengine...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wana JF?? Wewe ni kijana umeoa miaka kadhaa iliyopita na mnaishi mkoa mmoja na wakwezo, umebahatikam kupata mtoto mmoja katika hiyo ndoa yako! Mkeo yupo karibu saaaana na baba yake kiasi...
0 Reactions
16 Replies
15K Views
Wakuu kuna hii tabia ya wanaume kupenda kuchungulia/kuangalia hasa mwanamke anapokaa vibaya(uchi) na sehemu ya ndani ikaonekana, inaonyesha wengi huvutiwa kuangalia hadi wakati mwingine unaweza...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Roses are red, violets are blue, I have 5 fingers, the middle ones for you.
0 Reactions
5 Replies
948 Views
Nadhani wadau wengi mtakubaliana Thanks ilikuwa na raha zake....hii "like" imekaa kimagamba zaidi meaning Kizamani na haina tija Bring back Thanks Chelsea B
0 Reactions
5 Replies
881 Views
Jaman mimi ninampenzi lakini hatakai kabisa niguse simu yake! yaani namtunza kweli na kumpa kila anachotaka lakini yeye inaonekana anamtu mwingine! N WATAALAMU WA IT, NAOMBA SOFTWARE YA...
0 Reactions
65 Replies
6K Views
Takwimu zinaonyesha kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume duniani kote ndio maana wanaume wengine wanaoa wakee wengi na wengine wanaoa mmoja lakini nje pia wapo ili haki itendeke kwa wote, sasa...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Bride-to-be Rachelle Friedman and her groom, Chris Chapman, give new meaning to the marriage vows pledging to love, honor and support one's partner "in sickness and in health." One year after the...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
FlasMwenzenu yamenikuta, yaloukuta mtete nilijiona ukuta, yasingenifika mentor kaniona wa kupita, nimebaki hali tete sijui nipigane, au kipepeo nimuache. Labda nianze hivi... "I wanna be with...
7 Reactions
84 Replies
6K Views
Back
Top Bottom