Mambo jf, ninarafiki angu ana boyfrend wake ni mlemavu na wanapendana sana,(kwa maelezo yake lkn)na urafik wao una 2 years mpaka sshv,boy amempa mimba huyu myfrend na anataka achukue jumla ttzo...
Jamani JF hebu nisaidieni,kuna mke wa mtu ananipenda, yaani kanitamkia mwenyewe kwamba nafanana na mumewe aliye masomoni nje ya nchi. Nilipomuuliza zaidi anataka nini akaniambia kwamba nimpe...
Najua wengi wetu mmeshawahi kushuhudia au kuishi ndani ya single parenting ama maisha ya magomvi muda wote .namaanisha kuwa mzazi kati ya migongano ya kimahusiano .
Mimi (ex. st) RR nawashauri...
Wana Jf habari zenu, kwanza natanguliza shukrani kwa wote wanaoleta na kuchangia mijadala yenye tija kwani imekuwa ikinijenga kila siku. Wadau nilikuwa na "Penpal friend" wa kike, toka nikiwa...
1. Ni kutojiamini kwa wanaume au ni uzuzu na kushikiwa akili? 2. Ni kujihami kwa akina dada? 3. Hivi huwezi kumkataa mtu mpaka ugawe namba yake 4. Unajisikiaje kupigiwa simu na kukatazwa kupenda...
Ni miezi sasa imepita tangu nijivue gamba la mapenzi. Nimebaki mpweke ili kuepuka maumivu ya roho. Nilimdamp huyu mtu baada ya kugundua nilimpenda sana kiasi kwamba nisingeweza kuishi nae kwa raha...
Hivi kibongobongo wapenzi kupeana maua kama zawadi na anayepewa ua kuonyesha furaha to the maximum kwamba kairidhia hiyo zawadi kwa dhati huwa ni hisia za kweli toka moyoni au maigizo tu...
Natafuta mrembooo mwenye umri kuanzia miaka 24-26 awe mpenzi wangu.....bt awe tayari kuwa nami kwa upendo kabisa awe na kazi yake.....awe tayar kupima.......
Heshima kwenu Great thinkers ndani ya Kapeti!!
Ni suala ambalo kiukweli linanichanganya sana, lakini nahisi kwa kuweka mikono na akili zetu pamoja naweza kuwa na UAMUZI SAHIHI WA KUCHUKUA...
Katika tafiti ndogo nilizofanya maeneo ya Ubungo maeneo ambayo kuna vituo vya tuisheni, kipindi cha likizo ya mwezi wa sita, nimegundua kwanza kuna vibanda vingi sana vya chips maeneo hayo, pili...
Habari zenu wanajamvi!
Naomba msaada wenu wa mawazo katika hili!
Nina GF wangu yuko Arusha me nko Mwanza, huyo binti 2likuwa 2naelewana sana na ofcourse alikuwa anaonyesha kunipenda na pia...
Kipo chama chenu kitaanzishwa muda sio mrefu,kwa maelezo zaidi wasiliana na Gerald Hando au Paul James wa Clauds Fm,au sikiliza Power breaks fast,mtaweza kupeleka malalamiko yenu kisha kufanyiwa...
Hi wana Jf!
Nina jambo linanitatiza jamani, vijana wa sikuizi wamekuwa na tabia kutaka vitu ambavyo tiyari vimesha garamikiwa na wenzao, naomba nitoe mfano mmoja uliyo hai, kijana mmoja alimpata...
Kuna tabia imezuka sikuhizi na kadiri muda unavyoenda inajipatia umaarufu kwa baadhi ya vijana wa kiume,tabia yenyewe ni wanaume kuvaa nguo zinazobana na kushika kisawasawa maungo yao hasa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.