'Kidada' kwa kihehe ni tabia ya kususa...nilimuuliza rafiki yangu wa huko ira akaniambia ni katabia flan kanakoendekezwa kwa sana na wadada wa huko...huyu rafiki akahitimisha ukikijulia hicho...
Mara nyingi wanaojiita wapendanao, waachanapo hutokea kauli kama, nakutakia maisha mema, Mungu akujalie huko uendako na kauli nyingine zinazofanana na hizo. Mara hizi kauli humtoka muachwa. Swali...
Amwaga fedha kumpoza msichana wake wa kazi
Monday, July 04, 2011 10:59 AM
BAADA kutoweka nyumbani kwake kwa takribani siku nne kukimbia dhahama aliyemsababishia msichana wake wa kazi imedaiwa...
Top 100 things that attract women to men 1. Clear, beautiful and healthy looking eyes. Eyes provide an insight on the level of health of the individual, and healthy eyes indicate a healthy...
Ulikuwa haumfaham miaka michache,au pengine wiki au siku chache zilizopita,halafu leo unasema hauwezi kuishi bila yeye,unashindwa kula na kulala,very funny!!!!
WE talk about "sex games" and it sounds so jolly, but arguments about just what sexual behavior is and isn't OK cast a big cloud over some couples' lives together.
In general, I would say that...
Natanguliza shukurani dada zangu,
Hivi kwanini kina dada hujipamba hata kama ni mzuri wa kuzaliwa?
I mean wenye nyele nzuri wanzitoa na kuweka mawigi ,weusi wanajipaka madawa kuwa weupe,gharama...
So what do wives want from their husbands? Read on.
1. Stability. Maybe this is a tad cliché, but women WANT to feel safe and secure. They want to know that the man in their life is going to...
...umeenda ukweni kuchumbia rasmi,
baada ya utambulisho na wenyeji kuwapa muda 'mjisikie mpo nyumbani' , Baba mkwe anakutupia swali la papo kwa papo; ..." eti kijana, iwapo tumepata ajali...
What are dreams for..?
To be dreamt and then forgotten...or remembered but then forsaken?!
I ask for I dont know..weather to hold on to them or let them go!
Your face so visible and...
hili sebene linalopigwa kwenye bar ya jiran na maeneo ninapoishi linaniboa. Linampa wazimu my girlfriend kila ajapo gheto, imefikia hatua hatujadili mambo yetu wala kufanya mambo mengine ya...
mambo vip wana jf nahisi mko poa! Mi na ili tatizo nahis limeshakua kongwe ktk maisha yangu pindi ninapotaka kutongoza, nikiwa nimempenda bint ambae anavi2 ambovyo hwa navitaka, hwa hata...
Nina rafiki yangu...more of a mentee lakini tumefahamiana kwa muda so we relate more as friends. Jana amenipa shock of the half-year! Ok, i'm not judging him but kwa kweli alinishtua..
aliniambia...
kwa muda sasa nimekua nikitokea mademu na kua muwazi kwao hasa pale anapotaka kujua msimamo wangu kuhusu ndoa,huwa nawaambia ukweli kua cna nia ya kuoa mapema hivyo tuwe lovers tu,mara baada ya...
Amani iwe kwen....!!
Je ni upi utaratibu mzuri wa ki-Tanzania wa kumvalisha mtu pete ya uchumba ?...maana hua naona wengine wanavalishana mbele ya marafiki,wengine wanafanyiana supulize (oooh baby...
Kwa wanaume, Hivi inakuwaje, inapotokea msichana anapokutokea akakuomba namba kwa sababu za kimsingi, (MASUALA YA KAZI, BIASHARA, ETC.) baadaye anaanza kukutext msg za ajabu ajabu. Baada ya muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.