Sijui kama ni wanawake wote wanalijua hili, lakini wakati mgumu kabisa anaokabiliana nao mwanaume ni pale anapopanga namna ya kumtongoza (approaching) mwanamke anayempenda sana......................!
Najua kuna watakao ona hii post yangu ni pumba..sijali..... Najua kuna watakaonibeza kwani sina muda mrefu hapa JF..sijali....
with all due respect kwa members wa JF MMU..yaani caliber zote ..mtu...
salaam wakuu,habari yenu? natumaini weekend inaenda swadakta kabisa,popote mlipo mpatapo chochoche kitu. Kitu kikubwa kinachonipa hamasa kuandika thread hii ni swala ambalo wengi pia linawakumba...
habari wakuu,
Siku mbili tatu hizi kuna binti nimekuwa nikichati nae kupitia e.mail, yeye yupo senegal.
Katika mazungumzo/kuchati huku kuna hali isiyo ya kawaida anataka kuja nayo kwangu...
Siyo siri baadhi ya mademu wa uswazi wananishangaza sana! yaani wakitongozwa na mwanaume mwenye gari
ni wepesi sana kumkubali huyo mtu kuliko mwanaume ambae hana gari. Mwenye gari anaweza kubeba...
Wanajamii nawasalimu kwa jina la Mungu aliye hai....mimi kunakitu hua kinanisumbua eti kwa kawaida mnatakiwa kutofautiana kivipi katika umri kati ya mke na mme maana utakuta wengine wanasema oooh...
Wakuu,
Takribani siku 30 zijazo sitakuwa na access na Mitandao ya Internet - Naenda kwenye "Retreat" Parokiani kwetu - Kabashana
Kwa kipindi hicho chote itakuwa ni kufunga na kusali masaa 24...
wahenga wa jukwaa hili nina shida moja nahitaji msaada wanu.
leo nina game moja ya mchangani na nimeikamia sana.
nataka kuongeza nguvu kidogo ili nipige round za kutosha.
ni wapi naweza pata...
NIMEFANYA ANALYSIS NIMEONA KWAMBA, WADADA WENGI WA KICHAGA NA WAPALE WAPENDA SANA KUOLEWA NA WAKAKA WA NYANDA ZA JUU KUSINI na KANDA YA ZIWA,but wakishaolewa na kupata mali zingi nakuzaa mtoto...
ni kawaida watu wengi hata hapa jf kuzungumzia faida za kuwa na mpenzi
na hasara za kutokuwa nae.....
pamoja na yote mtu anaweza kuamua kuwa single kwa maana ya kutokuwa na mpenzi
lakini mara...
Tumepokea Taarifa hii kwa masikitiko makubwa sana.. Iwaje mtu umuue mwenzio tena kinyama na Shoka kisa umepunjwa kitoweo Jamani Tunaenda wapi?.. na kwa mtindo Huu tutafika? Basi Bofya hapa usome...
habari zenu wana-jamvi!
Eti unawezaje kumshauri mtu jinsi kupunguza hasira(i mean kukasirika haraka au hasira kali) na kuwa na wivu kupindukia hasa ktk mapenzi??..nawasilisha.
Mwananchi Jpili 17 Julai 2011. Mwanamke mwenye saloon ya kike na ambaye ni mkali wa judo ambaka mwanaume kwa siku tatu mfufulizo katikia chumba chake. Kwanza alimpiga judo mpaka huyo mwanaume...
Katika maisha hapa duniani, yakupasa kutambua ya kwamba
Mungu yupo kwa ajili yako na wewe upo kwa ajili ya utukufu wake
usiwe mpweke
usijilinganishe na wengine, wewe ni wa kipekee,jikubali jinsi...
Can 'friends with benefits' work?
First posted: Thursday, July 21, 2011 2:00:00 EDT AM
What happens to the friendship when beers with a buddy turns into bedroom fun?
As yet another...
Jameni,
Am currently going through a tough time. I had no idea how women felt like wearing thongs every day of the week.
You see, I was caught red handed by my live-in girlfriend of one and a...
Baada ya kuwa mywaji wa BIA kwa takribani miongo minne huwa najiuliza ni kwanini mtu anakukuta baa - hujamwalika wala hajakualika mnasalimia anakaa meza yake na baada ya muda anakuagizia kinywaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.